Tabia ya kutematema mate barabarani huniudhi sana

Tabia ya kutematema mate barabarani huniudhi sana

Aiseee kwa kweli mi hakuna kitu nachukia kama hicho....hata kama nlikuwa nakula mtu akatema mate ananiharibia mudi yote

huna njaa wewe hata unye hapo nikiwa nina njaa naendelea kula huku na kuangalia
Kitu ambacho sina ni kichefuchefu labda niwe mgonjwa
 
huna njaa wewe hata unye hapo nikiwa nina njaa naendelea kula huku na kuangalia
Kitu ambacho sina ni kichefuchefu labda niwe mgonjwa

Bora nione ma.vi sio mate au makohozi aliyotema mtu
 
usiombe upande gar 1 na mmasai ye hachagui pa kutema etiii

Haha haa asee!!!!
Na kupeng'a asee akishanusa ugolo wake sasa ukiwa ndani huko kwenye shina ndio utasema basi!!!!
Akishaweka kitu yake hapa kwenye lip ya chini kwa ndani!!!

Sie bhana sometimes aaaanh!!!!
 
US gani wamekataza kutema mate mbona sijasikia? Jamani kuna vichefuchefu vingine ni sugu mweh!
niliona story jamaa kapigwa faini huko florida kwa kutema mate barabarani.
 
Mleta uzi nashauri utembelee china, nahisi utarudi airport hapo hapo!
 
Mleta uzi nashauri utembelee china, nahisi utarudi airport hapo hapo!

mleta mada kaleta kwa lengo la kujifuza kama una wachina rafiki zako na wanajua kiswahili basi wakati ndo sasa wa kuanza nao taratibu kuwaelimisha na sidhani kama ni sifa eti kwa wachina ndo stail mazuri tujifunze mabaya kuyakemea na kuwaelimisha ustaarabu au unaogopa kwa jili ngozi nyeupe.....changes begins with you!
 
aisee kama ndo hivyo basi usiombe jitu kama hilo likae siti ya mbele then we nyuma afu liteme mate bahat mbaya yakupate usoni si utajichubua sura nzima

Hahahaha...na nauli atanilipia sasa..
 
Jamani na wenye mimba zetu ina maana tuwe tunatembea na makopo au????
 
mi nauliza tu swali.kwahiyo MTU akitaka kutema mate ameze au?au MTU akijickia kutema mate ateme wapi km barabarani ni kero,au ndani?
 
Tatizo ustaarabu wengine walipata F hasa ukizingatia somo hili halifundishi mashuleni/vyuoni , sasa haya tuyavumilie tu wakuu . Halafu kuna wanaoongea huku wakirusha vimate inakeraje.
 
Jamani na wenye mimba zetu ina maana tuwe tunatembea na makopo au????
Duh umenikumbusha mbaali kweli nilikua natembea na kopo , basi nilikua nauweka kwenye mfuko kila mara naonekana nachungulia ndani ya mfuko kumbe mwenzao nilikua natema.
 
kiukweli wanaboa wengine unakuta makohozi yani ni taaabu tupu
 
Nadhani duniani waarabu wanaongoza kwa kutema mate ovyo barabarani jamani.
 
Back
Top Bottom