Red Giant
JF-Expert Member
- Mar 9, 2012
- 15,650
- 21,014
- Thread starter
- #61
unataka kusambazia wenzako TB? mbona mkojo au haja kubwa hujisaidii barabarani? unajua kiafya mate ni hatari kuliko mkojo.itakuwa ngumu.kikubwa unatakiwa ujue hii ni nchi ya amani kbsa.Na kila raia ana Uhuru wa kuishi atakavyo kikubwa sheria ya nchi isivunjwe.khs mate tutatema mpk watu wachanganyikiwe.kikubwa ni kutema kwa pozi ucje mtemea mwenzio