Tabia ya kuomba omba sio nzuri kwa wadada

kwahiyo size yako ni yule wa kumpiga mizinga.

Mimi sikupigi mizinga nikiona mpenda vya bure nakupiga chini, bahati nzuri niliyenaye anajua wajibu wake bila kuambiwa anatekeleza.
 
Dedication:
Miss Independence (independent queen) by Neyo feat. Jimmy Foxy et al
 
thamani yako ni ipi hasa mpaka useme mpenda vya bure,we kujipendezesha ni wajibu wangu?
 
kama najua unazo, ukiniomba skupi af na mimi sku mojamoja nakuomba.....kwan sh.ngapi?

Hahahahaaa hapo utaskia shida kibaaooo halaf kibao kitarud kwako ........ila kiukweli mi na bf wang tunasaidiana akiwa hana nampa ila sio kila mara tukiwa na shida tuu
 
Dedication:
Miss Independence (independent queen) by Neyo feat. Jimmy Foxy et al

Yaaap hivi ndo inatakiwa veeeery independent hivi unaona shida gan ukiwa umetoka out na bf wako thn ukalipa bill inapendeza sn sio kila kitu mwanaume analipa siku mojamoja tunaweza jaman
 
Mimi sikupigi mizinga nikiona mpenda vya bure nakupiga chini, bahati nzuri niliyenaye anajua wajibu wake bila kuambiwa anatekeleza.

Kwani ww hupewi? Basi ww hupendi mtu unapenda hela..
 
Hahahahaaa hapo utaskia shida kibaaooo halaf kibao kitarud kwako ........ila kiukweli mi na bf wang tunasaidiana akiwa hana nampa ila sio kila mara tukiwa na shida tuu
aisee umentamanisha neha mimi, nisaidieni na mimi bas..
 
Last edited by a moderator:
Kwani si wote tunasikia raha au raha kwa mwanaume tu

Endelea kujidanganya na huo mfumo wa kila mtu anajiskia raha ndio nyie wanawake wazuri mnaishiaga kuwaita shemeji.......isiwe tabu mwanaume wangu kanzoesha pesaaa na anajua wajib wake ipasavyo......vijana wanuka mkojo mara nyingi hupenda vya bure
 
Hela yangu utapata kabla cjakuvulia chupi... nkishakuvulia kwendraaaaaa..... mnarudisha maendeleo nyuma
 
Back
Top Bottom