Tabia ya kuomba omba sio nzuri kwa wadada

Tabia ya kuomba omba sio nzuri kwa wadada

mbona we mwenzako hakuombi hela lakini anapendeza? Kwani mpaka uwe ombaomba ndo upendeze?

Ukiona vyaelea ujuwe vimeundwa maisha bila free P yanawezekana, ndomana wenzenu wasioweza wameunda urafiki na sabuni.
 
Hata mi napataga shida kuwadefine wadada wa namna hii. Yaani wanajua tu kwamba wao ni wa kuombaomba tu hata kama wana uwezo. Alafu kesho wakisimama majukwaani wanasema 50/50. Inaonyesha kabisa from within ni tegemez hata kama ana uwezo wa kujitegemea

Yaani halafu mwisho wa siku tunataka haki sawa kwa namna hii hatutafanikiwa kama tutashindwa kusimama kwa miguu yetu wenyewe,kila kitu support tupewe support kwa vitu ambavyo ni vikubwa na vya muhimu kuna vitu vya muhimu zaidi ya hela ya salun na kucha hata mtu akikupa hela nayy anajisifu kwamba ile hela imeenda kufanya jambo maana
 
kwani unapendeza kwa ajili ya nani?kama huwezi kujipendezesha basi baki mchafu,kwahiyo ukikosa wa kumpiga mizinga hujipendezeshi?

Akibaki mchafu utamsogelea wewe???? Umemkuta msafi anajipenda endeleza game huwezi kaa kando acha wanaoweza, mbona viatu mnanunua size zenu.
 
Akibaki mchafu utamsogelea wewe???? Umemkuta msafi anajipenda endeleza game huwezi kaa kando acha wanaoweza, mbona viatu mnanunua size zenu.
kwahiyo unajipendezesha ili uuzike au usafi binafsi?
 
Akibaki mchafu utamsogelea wewe???? Umemkuta msafi anajipenda endeleza game huwezi kaa kando acha wanaoweza, mbona viatu mnanunua size zenu.

Kwahy unakuwa msafi ili upendwe sio kwa ajili yako binafsi
 
kwahiyo unajipendezesha ili uuzike au usafi binafsi?

Unavyoona wewe sawa, tatizo mnaparamia visivyo size zenu mnaanza kulia lia, tafuta size yako uone kama utakutana na hizo habari.
 
kama huwezi kuhudumia mbunye piga magoli ya mkono kama maradona

Angalia domo lako lilivyo linaongea kama shimo la choo.. Ke.nge maji wewe..

Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
 
Ukiona vyaelea ujuwe vimeundwa maisha bila free P yanawezekana, ndomana wenzenu wasioweza wameunda urafiki na sabuni.

sasa tofauti na wale wanaonunuliwa inakuwa wapi hapa? Au ni ile tu kwamba yule anakuwa wa one time nawe ni wa mda kdogo
 
Angalia domo lako lilivyo linaongea kama shimo la choo.. Ke.nge maji wewe..

Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums

kwani mitazamo tunafanana ??
kwani unafikiri sijui kutukana ?
chunga sana haya maisha tu
 
mkuu pesa kitu gani bana! wewe mpe tu...mtu anakupa papuchi yake unaichezea...wakati hata haujamtolea mahali halafu unaleta ubahili!! we mpe tu mkuu. ila me nawapongeza sana wadada wa bongo hata sio wachoyo, ukiomba tu wanakupa bila ya tatizo hata hawakutangazi. me dame akitaka pesa nampa maadamu papuchi yake ni halali yangu kuichezea ninavyotaka...
 
hii ni nipe nikupe - ni uhusiano usio na msingi ila ni wa maslahi. wewe boyfriend unataka kuinjoy urembo wake na mwili wa huyo mdada kabla hujamfata mdada mwengine na yeye akapata mwingine- na hivi vina gharama kuna hairdresser na mengineyo kwa hiyo lazima ulipe - solution funga ndoa na pisa yoyote utakayo tumia unajua unajenga kwako
 
Unavyoona wewe sawa, tatizo mnaparamia visivyo size zenu mnaanza kulia lia, tafuta size yako uone kama utakutana na hizo habari.
kwahiyo size yako ni yule wa kumpiga mizinga.
 
kama najua unazo, ukiniomba skupi af na mimi sku mojamoja nakuomba.....kwan sh.ngapi?
 
Angalia domo lako lilivyo linaongea kama shimo la choo.. Ke.nge maji wewe..

Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums

Kila ntu na nntazamo wake jaman hupasw kumtukana mtu cz haya ni maoni tu ya mtu hakuna aliye sahihi wala aliyekosea bali ni kila mtu na mtazamo wake

kwani mitazamo tunafanana ??
kwani unafikiri sijui kutukana ?
chunga sana haya maisha tu
 
Back
Top Bottom