ERoni
JF-Expert Member
- Jan 9, 2013
- 54,726
- 127,673
Hakuna "great thinker" awezaye ongea u.pupu huu. It's just too childish and stupid....naona baadhi ya magreat thinker..wamepaniki....cool down...

Kwaiyo unataka vya bureeee
kabisa,mtu anaweza hata kukuchoka upesi kwa kuombaomba
si ndio znatoa mbegu ya kukumwagia mkunduni
Wewe huombi?
hii ni nipe nikupe - ni uhusiano usio na msingi ila ni wa maslahi. wewe boyfriend unataka kuinjoy urembo wake na mwili wa huyo mdada kabla hujamfata mdada mwengine na yeye akapata mwingine- na hivi vina gharama kuna hairdresser na mengineyo kwa hiyo lazima ulipe - solution funga ndoa na pisa yoyote utakayo tumia unajua unajenga kwako
Habari zenu marafiki, nimekuwa najiuliza hivi hii ni tabia, desturi,sheria au kujiendekeza tuu.
Utakuta mdada anafanya kazi na anapata mshahara mzuri lakini mdada huyo kutwa kuomba hela kwa boyfriend mara baby hela ya saloon, cjui nguo na mengineyo.
Utajiuliza huyu hela zake anafanyia ninI, akiamua kukupa mwenyewe its okay ila sio kila saa utasema unamdai?
Wadada tubadilike jamani kuomba omba sana utazoeleka hata siku ukipata shida ya serious mtu atashindwa kukusaidia coz ni kawaida yako.
Wengine sasa sio hata kwa boyfriend tuu yaani yeye asikuzoee kidogo tu kosa kesho yake ataomba hela.
Hii ni tabia mbaya jamani tubadilikeni hata siku ikitokea umeomba hela mtu anashangaa anajua kweli umebanwa coz sio kawaida yako
Ni hayo tuu🙂

thamani yako ni ipi hasa mpaka useme mpenda vya bure,we kujipendezesha ni wajibu wangu?
hawa ndo wanawake wa dot com tulionao
Ndio maana wengi hamuolewi coz, mwanamke wa kuweka Pesa mbele sio wa kuoa coz hajakupenda amependa hela.... hao na wa kupiga tu... kuolewa huolewi ng'ooo