Yoda
JF-Expert Member
- Jul 22, 2018
- 65,217
- 111,905
Kuna tofauti kubwa kati ya anti-social na upweke.ni anti-social hao. unakuaje na upweke na una pesa? hai-click akilini.
Kuna tofauti kubwa kati ya anti-social na upweke.ni anti-social hao. unakuaje na upweke na una pesa? hai-click akilini.
Upweke ni tatizo la kushindwa ku connect na watu, sio suala la kuwa na vitu vya kukufanya busy tu. Mtu mpweke anataka kuwa karibu na watu na ku interact nao ila anashindwa.Ukiwa na pesa halafu unataka gym unaweza kuweka gym hata nyumbani.
Halafu ukiwa na imagination unaweza kuwa na gym simple but very effective, kwa sababu kuna mazoezi mengi sana ya calisthenics unaweza kufanya bila kuhitaji gym yenye vifaa vingi complicated.
Process ya kujifunza kufanya mazoezi ya calisthenics tu, ni kitendo cha kujifunza kinachokuondolea mawazo ya upweke.
Upweke mara nyingi ni boredom, na boredom ni matokeo ya lack of imagination.
Mtu mwenye active imagination hawezi kuwa bored kwa sababu anaweza kufikiri vitu vingi sana vya kufanya.
Mimi nina vitabu kama vyote, vingi sijavisoma, na vingine vipya vinaongezeka kwa kasi kubwa, na mimi napenda kujua mambo mengi.
Hapo upweke naanza kuupata vipi?
Ndiyo kwanza nakuwa sitaki kupoteza muda na watu, nataka kufanya mambo yangu mwenyewe zaidi.
Halafu unanipigia simu kufanya small talk nakuwa irritated kama OP Mla Bata .
Nikifanya push ups hua nafikia plateau mapema sana halafu naanza kucut. Ndiyo sababu hua nadeal sana na weights.Kwa watu tulio resourceful na tulio self motivated, if it comes down to it, wala hatuhitaji gym.
Naweza kupiga tizi kwa kutumia mwili wangu tu.
Push ups 500 zina replace bech press vizuri tu 🤣.
Walking lunges badala ya squat machine.
Ndoo mbili badala ya dumbbell au barbell.
We just make it do what it do 😀.
Kuna ukweli hapa.Tatizo hatujui kuji express
Unatakiwa umpigie mtu umwambie nimejiskia upweke nikaona nikucheki ndugu yangu hata tuongee mawili matatu kama una wasaa wa kuongea... yani hata mpaka hapo tu mshaongea
🤣🤣🤣 Niache bhana 🥴Nambie "mahi diha"
Ni lazima uchanganye ili kuondoa hiyo hali ya ku plateau.Nikifanya push ups hua nafikia plateau mapema sana halafu naanza kucut. Ndiyo sababu hua nadeal sana na weights.
Hua nafanya push ups zaidi ya hizo. Spartan push ups, incline push ups, triangle push ups, niliwahi andika hadi uzi humu.
Ndiyo hiyo lack of imagination.Upweke ni tatizo la kushindwa ku connect na watu, sio suala la kuwa na vitu vya kukufanya busy tu. Mtu mpweke anataka kuwa karibu na watu na ku interact nao ila anashindwa.
Hao ndio rafiki zako sasa, ilikuwaje ukawa nao ?Umeelewa nilichomaanisha?
Piga simu nambie, nimekukumbuka, nilitaka nikusalimie, thats cool. Sasa wewe unapiga simu alafu unanambie mimi nikuambie, nikuambie nini sasa?
Ngoja nimanifest na hiyo levelUkiwa na pesa halafu unataka gym unaweza kuweka gym hata nyumbani.
Halafu ukiwa na imagination unaweza kuwa na gym simple but very effective, kwa sababu kuna mazoezi mengi sana ya calisthenics unaweza kufanya bila kuhitaji gym yenye vifaa vingi complicated.
Process ya kujifunza kufanya mazoezi ya calisthenics tu, ni kitendo cha kujifunza kinachokuondolea mawazo ya upweke.
Upweke mara nyingi ni boredom, na boredom ni matokeo ya lack of imagination.
Mtu mwenye active imagination hawezi kuwa bored kwa sababu anaweza kufikiri vitu vingi sana vya kufanya.
Mimi nina vitabu kama vyote, vingi sijavisoma, na vingine vipya vinaongezeka kwa kasi kubwa, na mimi napenda kujua mambo mengi.
Hapo upweke naanza kuupata vipi?
Ndiyo kwanza nakuwa sitaki kupoteza muda na watu, nataka kufanya mambo yangu mwenyewe zaidi.
Halafu unanipigia simu kufanya small talk nakuwa irritated kama OP Mla Bata .
Labda nikufafanulie kwa upana zaidi,Ndiyo hiyo lack of imagination.
Ni kama mwanamme domo zege anaona mademu lakini anashindwa kujiongeza aanze vipi kuwaongelesha.
Wakati kuna vitu vingi sana vya kuanza kumuongelesha mwanamke.
Suala la Imagination pia lina uhusiano na intelligence/IQ pamoja na mazingira. Kama umezaliwa na intelligence ndogo huwezi kuwa na Imagination kubwa na haliwezi kuwa kosa lako.Ndiyo hiyo lack of imagination.
Ni kama mwanamme domo zege anaona mademu lakini anashindwa kujiongeza aanze vipi kuwaongelesha.
Wakati kuna vitu vingi sana vya kuanza kumuongelesha mwanamke.
Kuna mwamba waga ananipigia then ananiambia nambie Huwa na pose kidogo then ndiyo anaanza kufunguka sasa"Nambie"
"Am surviving, how about u?"
"Niko poa"
"Ok, stay safe"
Hua namaliza hizi texts kwa mtindo huu.
Mara nyingi "Nambie" ni text ya mtoto wa kike. Sina mshkaji anayenitext hivyo.
Huyo naye hana imagination tu.Labda nikufafanulie kwa upana zaidi,
Mfano hapa bongo kuna mtu haamini Mungu/dini, hapendi mpira, hapendi mada za ngono sana, hapendi stori za uchawi na uganga na hapendi umbea ila kila mtu aliyezungukwa naye hayo ndio mambo wanayazungumzia zaidi, mtu kama huyo lazima awe mpweke sana. Vitabu, games, movies na enjoyment nyingine haziwezi kutosha kuchukua nafasi ya socialisation ya mtu.
Huu ni mfano mmoja tu ila ipo mifano mingi ya kuwafanya watu wawe wapweke.
Sijasema ni kosa lako, nimesema ni lack of imagination.Suala la Imagination pia lina uhusiano na intelligence/IQ pamoja na mazingira. Kama umezaliwa na intelligence ndogo huwezi kuwa na Imagination kubwa na haliwezi kuwa kosa lako.
Mchizi anakupigia halafu anasema nambie?Kuna mwamba waga ananipigia then ananiambia nambie Huwa na pose kidogo then ndiyo anaanza kufunguka sasa
Ni nature tu hatuwezi.. tumeumbwa na uso wa aibu sisiWell understood, thanks for filled me in.
Unahisi kwanini wasichana wengi wanashindwa kujielezea, aibu, kukosa confidence au ndio yale mambo mnataka mwanaume ajiongeze kwenye kila kitu?