Tabia ya kijinga kupenda penda small talk, Inabore

Wasalaam,

Wakuu, hivi ni mimi pekee yangu hii kitu/tabia ndio inanibore au nyie wenzangu inakuaje mnapokutana nayo

Unakuta mtu anakutafuta whatever ni texts conversation au call, unamuheshimu vizuri tu kwa kurespond text/call yake after a second utasikia "nambie" ,

Damn! What the fu*k should i be supposed to tell you?

Mpaka unajiuliza is this girl/guy dumb or something?

Unawezaje kumtafuta mtu na huna kitu cha kumwambia alafu yeye ndio akuambie.

I know myself i'm not a kind of a guy ninaependa "small talks" hii kitu inabore sana, tena ipo kwa wingi kutoka kwa watoto wa kike mpaka najiuliza hawa watu hawana kazi za kufanya, uswahili au labda ni aina ya ugonjwa wa akili ambayo watu wanayo,

kiukweli inanikwaza sana au sijui ndio uzee unaniita.

Wasalaam.
Don't take it personal ni mambo ya kawaida kabisa .
 
Kama ukiwa mbali na nyumbani utashukuru hata hiyo 'nambie' ya huyo anayekukumbuka.

Ova
 
Ni bora muongeage tu hata ujinga, kuliko huo muda atumie kupiga nyeto
 
Wasalaam,

Wakuu, hivi ni mimi pekee yangu hii kitu/tabia ndio inanibore au nyie wenzangu inakuaje mnapokutana nayo

Unakuta mtu anakutafuta whatever ni texts conversation au call, unamuheshimu vizuri tu kwa kurespond text/call yake after a second utasikia "nambie" ,

Damn! What the fu*k should i be supposed to tell you?

Mpaka unajiuliza is this girl/guy dumb or something?

Unawezaje kumtafuta mtu na huna kitu cha kumwambia alafu yeye ndio akuambie.

I know myself i'm not a kind of a guy ninaependa "small talks" hii kitu inabore sana, tena ipo kwa wingi kutoka kwa watoto wa kike mpaka najiuliza hawa watu hawana kazi za kufanya, uswahili au labda ni aina ya ugonjwa wa akili ambayo watu wanayo,

kiukweli inanikwaza sana au sijui ndio uzee unaniita.

Wasalaam.
Uzee tuu unakuita ndg.
Mpaka mtu kupoteza 'nauli' yake kukutafuta lazima uelewe upo rohoni mwake na neno 'nambie' ni neno la kuwekana sawa katika kuanzisha maongezi ama kupima 'muhu' ya maongezi ya upande wa pili.

Hivi upande wa pili usikie hiyo 'niambie' inatoka mdomoni mwa kidosho unayemfukuzia kwa 'gharama yoyote', moyo hauwezi kukujaa furaha tele na kuanza kutiririka... 'Arrrh baby, sikia kama iyo'ela niliyokutumia haitoshi si useme tyuu, kwani nimekataa kuongeza mpaka uninunie, hallow hallow, dah kakata'...! 😁😁😜
 
Mi nikiwaga na upweke huwa namuangalia Chanell heart, Nyomi banxx, Jane wilde, natasha nice, Harley dean, Luna corazon nikimaliza hapo usingizi unanishika nalala.
Sasa katika ulimwengu kama huo ambao una mambo mengi ya kufanya kupita muda uliopo, mtu anapata vipi upweke kama si lack of imagination tu?
 
Wasalaam,

Wakuu, hivi ni mimi pekee yangu hii kitu/tabia ndio inanibore au nyie wenzangu inakuaje mnapokutana nayo

Unakuta mtu anakutafuta whatever ni texts conversation au call, unamuheshimu vizuri tu kwa kurespond text/call yake after a second utasikia "nambie" ,

Damn! What the fu*k should i be supposed to tell you?

Mpaka unajiuliza is this girl/guy dumb or something?

Unawezaje kumtafuta mtu na huna kitu cha kumwambia alafu yeye ndio akuambie.

I know myself i'm not a kind of a guy ninaependa "small talks" hii kitu inabore sana, tena ipo kwa wingi kutoka kwa watoto wa kike mpaka najiuliza hawa watu hawana kazi za kufanya, uswahili au labda ni aina ya ugonjwa wa akili ambayo watu wanayo,

kiukweli inanikwaza sana au sijui ndio uzee unaniita.

Wasalaam.
Hata hii mada ni small talk. Nyani haoni kundule. Watu wanaleta mada fikirishi na wewe unaleta majungu ya jilkoni
 
Wasalaam,

Wakuu, hivi ni mimi pekee yangu hii kitu/tabia ndio inanibore au nyie wenzangu inakuaje mnapokutana nayo

Unakuta mtu anakutafuta whatever ni texts conversation au call, unamuheshimu vizuri tu kwa kurespond text/call yake after a second utasikia "nambie" ,

Damn! What the fu*k should i be supposed to tell you?

Mpaka unajiuliza is this girl/guy dumb or something?

Unawezaje kumtafuta mtu na huna kitu cha kumwambia alafu yeye ndio akuambie.

I know myself i'm not a kind of a guy ninaependa "small talks" hii kitu inabore sana, tena ipo kwa wingi kutoka kwa watoto wa kike mpaka najiuliza hawa watu hawana kazi za kufanya, uswahili au labda ni aina ya ugonjwa wa akili ambayo watu wanayo,

kiukweli inanikwaza sana au sijui ndio uzee unaniita.

Wasalaam.
Mzee una stress itakuwa...Mara kibao tuu Wife au Bi mkubwa anaweza kupiga simu na hana jipya la kukwambia zaidi ya kukusalimia.
 
Hii haina noma, hususan kwa mtu wako wa karibu.

Nafikiri Mla Bata anaongelea watu usio na mahusiano nao ya karibu hivyo.

Halafu kuna watu wanapenda kuongea kwenye simu kwa masaa.

Vi story story tu, masaa.

Why?
 
Wasalaam,

Wakuu, hivi ni mimi pekee yangu hii kitu/tabia ndio inanibore au nyie wenzangu inakuaje mnapokutana nayo

Unakuta mtu anakutafuta whatever ni texts conversation au call, unamuheshimu vizuri tu kwa kurespond text/call yake after a second utasikia "nambie" ,

Damn! What the fu*k should i be supposed to tell you?

Mpaka unajiuliza is this girl/guy dumb or something?

Unawezaje kumtafuta mtu na huna kitu cha kumwambia alafu yeye ndio akuambie.

I know myself i'm not a kind of a guy ninaependa "small talks" hii kitu inabore sana, tena ipo kwa wingi kutoka kwa watoto wa kike mpaka najiuliza hawa watu hawana kazi za kufanya, uswahili au labda ni aina ya ugonjwa wa akili ambayo watu wanayo,

kiukweli inanikwaza sana au sijui ndio uzee unaniita.

Wasalaam.
Kweli
Convo za aina hii huwa zinakera.

Au mtu anaanza kukutafuta
"Mambo"
Poa vipi?
"Safi"

Unaendelea kumuuliza
Mzima?
Anajibu " yuko poa hofu kwako"
Unajibu hujambo.

Anaishia hapo
Na wewe unaishia hapo..
Kesho atarudi tena hivyohivyo..

Mimi huwa naacha kujibu muda fulani..hadi nikipata muda nitaingia kujibu..convo inakuwa ileile "Niambie".
Sina usemi.
Basi
Halafu mtu baadaye anaanza kukusema kuwa unajisikia.
........
Hivi huwa tunapaswa kujibu nini?
 
Anataka akupige kibomu ukiona hyo kauli, kwa usalama wako mkuu kimbia haraka sana 😂
 
Hii haina noma, hususan kwa mtu wako wa karibu.

Nafikiri Mla Bata anaongelea watu usio na mahusiano nao ya karibu hivyo.

Halafu kuna watu wanaoenda kuongea kwwnyw simu kwa masaa.

Vi story story tu, masaa.

Why?
Thats it, thats it! Thanks for clarification kiranga, i got zero problem with that for my kinfolks
 
Kweli
Convo za aina hii huwa zinakera.

Au mtu anaanza kukutafuta
"Mambo"
Poa vipi?
"Safi"

Unaendelea kumuuliza
Mzima?
Anajibu " yuko poa hofu kwako"
Unajibu hujambo.

Anaishia hapo
Na wewe unaishia hapo..
Kesho atarudi tena hivyohivyo..

Mimi huwa naacha kujibu muda fulani..hadi nikipata muda nitaingia kujibu..convo inakuwa ileile "Niambie".
Sina usemi.
Basi
Halafu mtu baadaye anaanza kukusema kuwa unajisikia.
........
Hivi huwa tunapaswa kujibu nini?
You see, thats my point, if you got somethin' you wanna share, then spit out, how come mtu hatuna ukaribu unanitafuta daily eti unanisalimia, thats insane.
 
Back
Top Bottom