Tabia ya kijinga kupenda penda small talk, Inabore

Tabia ya kijinga kupenda penda small talk, Inabore

Kuna wenye pesa hawana shida ya upwiru na wako wapweke sana.
Hao ndio nimesema hawana imagination.

Ukiwa na pesa unashindwaje ku imagine namna ya kuzitumia itakayokuondolea upweke?

Unapataje upweke ukiwa na pesa katika dunia hii ambayo unaweza kusoma kitabu, kuangalia movie, kwenda gym, kwenda dinner, kualika watu waje kwako dinner, kuzurura mitandaoni, ambako kote huko unaweza kukutana na watu wapya ukaanzisha mahusiano mapya?

Hapo ni wewe tu una lack of imagination.
 
Then tell me , nimekupigia kukujulia hali ndugu yangu, nikuelewe.

Sasa, nambie nyingi, blah blah ndio nini Ngabu, hata uko state ndivyo mnafanya hivyo???
Watu tumetofautiana bana. Ni muhimu kulizingatia hilo.

Kila mtu hawezi kujielezea vile wewe utakavyo au upendavyo.

Kuna kipindi nilikuwa nakereka sana na watoto wanaponiganda. Kila niendako na wao wanataka kwenda. Kila nikiongea kwenye simu wanataka kujua naongea na nani.

Baadaye nikaja kugundua kuwa huwa wananimiss sana ninapokuwa mbali.

Na wao kuniganda ndo njia yao ya kujieleza kwamba huwa wananikosa ninapokuwa sipo.

Watu wote hawawezi kujieleza vile utakavyo wewe na si ajabu hata wewe una vijitabia ambavyo ni kero kwa wengine.

Cha muhimu ni mtu kuwa muelewa, mvumilivu, na kukubali kuwa wote hatuwezi kufanana.
 
Hao ndio nimesema hawana imagination.

Ukiwa na pesa unashindwaje ku imagine namna ya kuzitumia itakayokuondolea upweke?

Unapataje upweke ukiwa na pesa katika dunia hii ambayo unaweza kusoma kitabu, kuangalia movie, kwenda gym, kwenda dinner, kualika watu waje kwako dinner, kuzurura mitandaoni, ambako kote huko unaweza kukutana na watu wapya ukaanzisha mahusiano mapya?

Hapo ni wewe tu una lack of imagination.
Umeandika gym nimejikuta nacheka. Nipo sehemu ambayo haina gym na hawana mpango wa kua nayo.

In a week or two naenda kua mtu wa kwanza kua na gym huu mji.
 
Tatizo hatujui kuji express
Unatakiwa umpigie mtu umwambie nimejiskia upweke nikaona nikucheki ndugu yangu hata tuongee mawili matatu kama una wasaa wa kuongea... yani hata mpaka hapo tu mshaongea

Kûna Tiktok, kûna Jamiiforum, kûna Instagram, kûna Facebook, kûna DStv, kûna Ps Station, Mtu anapataje Upweke?

Au Unazungumzia kutokuwa na Pesa?
 
Nimelisoma hili andiko nahisi linashout ile mbaya.. bro una ugonjwa wa afya ya akili wahi haraka hospitali.
 
Kuna wenye pesa hawana shida ya upwiru na wako wapweke sana.

Upweke Kwa zama hizi labda úwe Huna Pesa
Mitandao ya kijamii kama Jamiiforum, Tiktok, Instagram, haya kûna Ile ya Dating site na apps Ambazo unasosholaizi mpaka na wazungu Kwa kupitia Simu.

Kûna PS station, kûna DStv, kuna movies, kûna gym, kûna swimming Clubs,
Upweke unaupataje?
 
Umeandika gym nimejikuta nacheka. Nipo sehemu ambayo haina gym na hawana mpango wa kua nayo.

In a week or two naenda kua mtu wa kwanza kua na gym huu mji.
Kwa watu tulio resourceful na tulio self motivated, if it comes down to it, wala hatuhitaji gym.

Naweza kupiga tizi kwa kutumia mwili wangu tu.

Push ups 500 zina replace bech press vizuri tu 🤣.

Walking lunges badala ya squat machine.

Ndoo mbili badala ya dumbbell au barbell.

We just make it do what it do 😀.
 
Watu tumetofautiana bana. Ni muhimu kulizingatia hilo.

Kila mtu hawezi kujielezea vile wewe utakavyo au upendavyo.

Kuna kipindi nilikuwa nakereka sana na watoto wanaponiganda. Kila niendako na wao wanataka kwenda. Kila nikiongea kwenye simu wanataka kujua naongea na nani.

Baadaye nikaja kugundua kuwa huwa wananimiss sana ninapokuwa mbali.

Na wao kuniganda ndo njia yao ya kujieleza kwamba huwa wananikosa ninapokuwa sipo.

Watu wote hawawezi kujieleza vile utakavyo wewe na si ajabu hata wewe una vijitabia ambavyo ni kero kwa wengine.

Cha muhimu ni mtu kuwa muelewa, mvumilivu, na kukubali kuwa wote hatuwezi kufanana.
I agree to disagree.

Ila as long as its my phone and my time once nikiona au kusikia "niambie, niambie" nyingi basi hapo ndio mwisho wa conversation yetu, huwezi kunipotezea muda kijinga, huko ni kunivunjia heshima.
 
Umeandika gym nimejikuta nacheka. Nipo sehemu ambayo haina gym na hawana mpango wa kua nayo.

In a week or two naenda kua mtu wa kwanza kua na gym huu mji.
Ukiwa na pesa halafu unataka gym unaweza kuweka gym hata nyumbani.

Halafu ukiwa na imagination unaweza kuwa na gym simple but very effective, kwa sababu kuna mazoezi mengi sana ya calisthenics unaweza kufanya bila kuhitaji gym yenye vifaa vingi complicated.

Process ya kujifunza kufanya mazoezi ya calisthenics tu, ni kitendo cha kujifunza kinachokuondolea mawazo ya upweke.

Upweke mara nyingi ni boredom, na boredom ni matokeo ya lack of imagination.

Mtu mwenye active imagination hawezi kuwa bored kwa sababu anaweza kufikiri vitu vingi sana vya kufanya.

Mimi nina vitabu kama vyote, vingi sijavisoma, na vingine vipya vinaongezeka kwa kasi kubwa, na mimi napenda kujua mambo mengi.

Hapo upweke naanza kuupata vipi?

Ndiyo kwanza nakuwa sitaki kupoteza muda na watu, nataka kufanya mambo yangu mwenyewe zaidi.

Halafu unanipigia simu kufanya small talk nakuwa irritated kama OP Mla Bata .
 
Wasalaam,


Wakuu, hivi ni mimi pekee yangu hii kitu/tabia ndio inanibore au nyie wenzangu inakuaje mnapokutana nayo

Unakuta mtu anakutafuta whatever ni texts conversation au call, unamuheshimu vizuri tu kwa kurespond text/call yake after a second utasikia "nambie" ,

Damn! What the fu*k should i be supposed to tell you?

Mpaka unajiuliza is this girl/guy dumb or something?

Unawezaje kumtafuta mtu na huna kitu cha msingi/maana cha kumwambia alafu yeye ndio akuambie.

I know myself i'm not a kind of a guy ninaependa "small talks" ila hii kitu inabore sana, tena ipo kwa wingi kutoka kwa watoto wa kike mpaka najiuliza hawa watu hawana kazi za kufanya, uswahili au labda ni aina ya ugonjwa wa akili ambayo watu wanayo,

kiukweli inanikwaza sana au sijui ndio uzee unaniita.


Wasalaam.
Uko wapi....
 
Aah, sasa mwenyewe anaona akikosa mkopo baada ya kujizungusha si kosa lake, maana kawinda bila papara halafu kakosa nyama.

Lakini, akiomba mkopo kwa papara, akanyimwa, ataona labda kanyimwa kwa sababu hajafuata itifaki za salamu na kujuana haki kwanza.

Watanzania hata wakikutana kwenye mikutano ya siasa introductions tu inaweza kuwa saa nzima, upinzani na CCM.
😂😂 Now it makes sense, thats typical swahili way.
 
NDio hivyo mkuu
Mimi sio mtu wa kusema sema niambie ila kuna muda nakumbwa na hizo situation najikuta natamani kuongea na mtu tu roho imejawa upweke akili zetu kuna muda zinasumbuliwa na vitu havielezeki.. kwahiyo ukisikia tu mtua anakwambia niambie anahitaji counselling huy
Well understood, thanks for filled me in.

Unahisi kwanini wasichana wengi wanashindwa kujielezea, aibu, kukosa confidence au ndio yale mambo mnataka mwanaume ajiongeze kwenye kila kitu?
 
Back
Top Bottom