Tabia ya kijinga kupenda penda small talk, Inabore

Tabia ya kijinga kupenda penda small talk, Inabore

Mzee una stress itakuwa...Mara kibao tuu Wife au Bi mkubwa anaweza kupiga simu na hana jipya la kukwambia zaidi ya kukusalimia.
Umeelewa kweli nilichoandika? Ushasema wife, haina shida. We unaweza kumtafuta mtu usie na uhusiano wa karibu alafu ukamwambia "nambie" akuambie nini sasa hapo??
 
Watanzania wengi hawana tabia ya kwenda straight to the point.

Mtu anaweza kuwa anataka mkopo, akaanza kukutafuta wiki hii kwa small talk, mzinga anakupiga wiki ijayo.

Ili usimwambie kuwa kakupiga mzinga wa hapi kwa papo.

Anakuvuta akikuwinda kwanza 😂😂😂
Tukiwapiga vizinga vya papo kwa hapo wanatukataa, utaambiwa yaani wewe umenitafuta leo tu leoleo unanipiga kizinga..

Kuna mtu alikataa kunisafirishia mzigo kisa nimemtafuta kwa sababu hiyo, na alisema wazi kua labda ningemjulia hali kwanza hata siku tatu kabla, nilishangaa ila sikua na namna.
 
Ndiyo hivyo.

Mimi bora mtu aniambie kabisa anachotaka mara moja, kuliko aniwinde siku tatu halafu najua kabisa huyu ananiwinda nangojea anijaze kwenye 18 zake tu.
 
Wasalaam,

Wakuu, hivi ni mimi pekee yangu hii kitu/tabia ndio inanibore au nyie wenzangu inakuaje mnapokutana nayo

Unakuta mtu anakutafuta whatever ni texts conversation au call, unamuheshimu vizuri tu kwa kurespond text/call yake after a second utasikia "nambie" ,

Damn! What the fu*k should i be supposed to tell you?

Mpaka unajiuliza is this girl/guy dumb or something?

Unawezaje kumtafuta mtu na huna kitu cha kumwambia alafu yeye ndio akuambie.

I know myself i'm not a kind of a guy ninaependa "small talks" hii kitu inabore sana, tena ipo kwa wingi kutoka kwa watoto wa kike mpaka najiuliza hawa watu hawana kazi za kufanya, uswahili au labda ni aina ya ugonjwa wa akili ambayo watu wanayo,

kiukweli inanikwaza sana au sijui ndio uzee unaniita.

Wasalaam.
Mi mtu akisema niambie huwa namwambia subiri takutafuta.. hapo ndo mazima mpaka anajistukia
 
Wasalaam,

Wakuu, hivi ni mimi pekee yangu hii kitu/tabia ndio inanibore au nyie wenzangu inakuaje mnapokutana nayo

Unakuta mtu anakutafuta whatever ni texts conversation au call, unamuheshimu vizuri tu kwa kurespond text/call yake after a second utasikia "nambie" ,

Damn! What the fu*k should i be supposed to tell you?

Mpaka unajiuliza is this girl/guy dumb or something?

Unawezaje kumtafuta mtu na huna kitu cha kumwambia alafu yeye ndio akuambie.

I know myself i'm not a kind of a guy ninaependa "small talks" hii kitu inabore sana, tena ipo kwa wingi kutoka kwa watoto wa kike mpaka najiuliza hawa watu hawana kazi za kufanya, uswahili au labda ni aina ya ugonjwa wa akili ambayo watu wanayo,

kiukweli inanikwaza sana au sijui ndio uzee unaniita.

Wasalaam.
Ni uzee mkuu, rudi kwenye mfumo wa barua na posta. Wakikutafuta Ni kwa mambo ya msingi tu mkuu.
 
Umeelewa nilichomaanisha?

Piga simu nambie, nimekukumbuka, nilitaka nikusalimie, thats cool. Sasa wewe unapiga simu alafu unanambie mimi nikuambie, nikuambie nini sasa?
This is a very serious problem kwa watanzania wengi..unakuta pia mtu anaweza kuwa hakujui na haumjui, kapewa namba yako kwa ajili ya kupata huduma ambayo either unaitoa...badala sasa atume sms yenye content ya salam, utambulisho wake na lengo mahsusi la kukutafuta...utashangaa unapokea meseji inayosema "mambo vp"... ! yaani hapo sasa anataka mchati kwanza, bulshit! Nadhani ishu kubwa ni wengi kutojua kwenda straight to the point, plus kupenda blaa blaa.
 
Back
Top Bottom