Tabia Nane za watu wapole

Tabia Nane za watu wapole

Most of them mkuu...

Umalaya wa kichini chini, yaani wengi wa habari...si anajua yy mpole watu hawashtukii

Chunguza wale wanaokamatwa na wake za watu, tabia zao kitaa kila mtu huwa anashangaa!
Huwa wanapewa sana mizigo kwa sababu hawatoi siri.
Siku mkija kusikia mnabaki midomo wazi kumbe mwenzenu anatafuna mwaka wa tatu.
 
9. Ni wapigaji Punyeto wazuri sana tu tena kimya kimya kama walivyo wakimya.
fd0446ed3e3255e78892f773e0928c73.jpg
 
Kiburi jamani!
Unaweza kudhani kuwa ni mkimya au mpole kumbe kibri kinamtembea kwenye damu....kikikomaa wanaita kiburi cha uzima!
Ukimkwaa huyu........
 
Hawezi kukubadilikia bila sababu, ulivoelezea ni km awali wewe ulimhesabu km ni boya na inaelekea ulimburuza mahali ndo maana alikugeuka ili ajiokoe. Mjusi ukimfukuza saaana anageuka kuwa nyoka.
Hata paka ni rafiki mzuri lkn jifungie naye chumba kimoja kisha anza kumpiga uone kitakachotokea. Anageuka kuwa chui na anaweza kukutoa macho na udogo wake ule. Ukweli ni kwamba mtu mpole ni mvumilivu sana na mwenye subira sana lkn siku uvumilivu ukiisha kwa unayomfanyia anageuka kuwa mbaya kuliko mtu mkali unayemfahamu.
 
Na mimi Nilitaka niulize ili.
Mkimya si mzungumzaji lkn mpole ni zaidi ya kutokuwa mzungumzaji. Mpole huwa amepambwa nuru ya huruma na unyenyekevu wakati mkimya anawwza kuwa si mzungumzaji lkn ni katili sana.
 
Aisee me na hao watu sijui wapole sijui wakimya wamenikalia kushoto sana, they are so boring and annoying....

most of wakimya na wapole hua na roho mbaya sana na hata record ya dunia inaonesha silent killers wote ni hao wapole na wakimya....
 
Wengi mnazani ni wapole siyo wapole bali ni "wakimya " Hata Majambazi wengi Kama siyo wote ni wakimya kabisa! Jambazi haongeagi ! Upole ni tunda la Roho Mtakatifu biblically Mtu mpole ni Mtu aliye jaa subra ya hali ya Juu mfano unamtukana na kumdhalilisha hadharani lakini anakusamehe bure bila kukushtaki wala kukulipiza visasi, Mtu mpole Hata ulimkanyaga makusudi anagugumia maumivu na kuwa tayari kujusamehe bure Hata Kama utahifanya siyo Wewe uliyemkanyaga! Nitaendelea badae!
 
Watu wengi tunaozani ni wapole siyo wapole bali ni wakimya tu, wengi wao wamejaa viburi na visirani mioyoni mwao ! Mtu mpole lazima amruhusu Roho Mtakatifu ndani Yani Yake amtawale bila hivyo ni ukimya tu hakuna upole! Hata wachawi wengi ni ama wanakuwa wacheshi kupitiliza Au wakimya sana!
 
Hata wanaume wengi watakusaidia kuwa wake zao wakiwa nje huko Ofisini na kwingineko wanaonekana ni wakimya lakini wakiwa majumbani mwao ni gubu mwanzo mwisho moto unawaka! Siri ya moyo wa mwanadamu aijuaye ni Mungu pekee!
 
watu wapole na wakimya ni washenzi wa tabia kabisa. Wanavumilia sana sana sana sana sana sana sanaaaaa........ila siku moja tu uzalendo umshinde mtu wa namna hiyo,mguse tu kidogo uone majibu ya rocket za korea kaskazini.
wakifikia hatua hii ,huwa hawana kurudi nyuma na kusamehe.
 
Kuna tofauti kati ya upole na ukimya maana kuna watu ni wakimyaaaa lkn ni wana roho mbayaaaa tena wengine ni wakatiliiii na wengine wanaongea sana lkn ni wapolee na wenye roho nzuri
 
Back
Top Bottom