heartbeats
JF-Expert Member
- Feb 10, 2014
- 8,019
- 13,266
Mnanisema sasa jamani, mi mpole mpak nimepitiliza asee ila kiukweli sijawah gombana na mtu miaka mingi sana but nikikerwa nakuwa na hasira nikiongea nahis kama siongei mimi maana naona kama maneno yanapandiana so nakuwa mpole tu