Tabia Nane za watu wapole

Tabia Nane za watu wapole

Unaona sasa!??? ....yaan we ndo typical mkuu

Hivi Mimi nimekosea huniambii ( na binadamu huwa na tabia ya kurudia kitu,) ntarudia tena huniambii, hivi mi ntajuaje nakosea?

Sasa hiyo ndo tabia yenu mkuu, umeona ulivyosema akikosea humwambii na unamsamehe bila yeye kujua! Haaa haaa...huo sasa sio msamaha mkuu ni unahifadhi vinyongo, siku makosa yamekuwa mengi coz binadamu hafanyi kosa moja, ni mwendo wa multiple mistakes kwa kwenda mbele....sasa basi mlivyo nyie yakijaa kifuani unakumbushia kila kitu na kisasi juu ....hatari sana!
Ujue tabia unazozieleza wewe zipo kwa watu tofauti tofauti hata kwa wasio wapole,si kwamba kila asiye mpole ukimuudhi lazima akwambie.

Mimi siweke kinyongo ila ninauwezo wa kustahmili maudhi hata kama anayenifanyia hivyo ananifanyia kusudi.
 
Na wachawi ni hao hao mkuu.....huoni wengi wa wachawi ni wanaongoza kwa ibada na kitaa ni wanakuwa hawana maskendo.. Wapole na wakimya kumbe behind the scene ni nuksi

Chini ya jua hakuna siri, wakifichuka kila mtu anahisi anaota!!!

Wee chunguza mara nyingi watu wa matukio ya kutisha kama huwaga ni waruwaru or wapole na wakimya?!
Naona kila sifa mbaya mnawatupia watu wapole sasa sijui hata mtu mpole sifa yake ni ipi?
 
Watu wengi niliokuwa nafanya nao kazi walikiwa wananiona hvyo hd Mzee anakwambia ningetamani kuwa na mkwe wa hivi, wengine aisee bro Nina mdogo wangu wa kike niko radhi kabisa kukuunganishia, wengi walikuwa hawajui uchafu wangu wao wanaangalia tu hizo Tabia wanazoziona, watu wapole huwa wanaficha sana uchafu wao in reference to me.
 
Kuna tofauti kubwa sana kati ya mtu Mpole, Mtaratibu na Mnyenyekevu.

Mtu anaweza kuwa mpole lakini si mtaratibu

Mtu anaweza kuwa mpole lakini hana unyenyekevu.

Mtu mpole ni yule asiye mkali na si Mgomvi.

Ila pia watu wengi wapole wana hekima, Uvumilivu na busara.

Kwa upande wa pili...watu wapole huwa wakireact kwa hasira ni wabaya sanaaa kuliko wale wanaojulikana kuwa ni Wakali.

Pia watu wapole wengi wao ndio wanaowafaidi sana wanawake na pia ndio wanaoongoza kuwa na watoto wa nje ya ndoa.
Najiona mwenyewe kwenye hii!!
 
Tofauti ya upole na unyenyekevu ni nini?
Naombeni mniambie
Kibiblia, Mtu Mpole ni Yule mwenye saburi /Uvumilivu yaani hakurupuki ktk jambo lolote lile ,lkn Unyenyekevu m. y. ni ile hali ya kujikubali kuwa hujui jambo Fulani na kuwa tayari kusahihishwa na pia kutambua karama za wenzio na kuwa tayari kuwaruhusu wenzako kuonyesha karama zao. Kwa ufupi ni kujikubali kwa yale unayoyaweza na pia kwa yale usiyoyaweza kuruhusu wanaoweza wafanye /wakusahihishe.
 


kuna' baazi' ya majina ukimuta mwanaio tegemea atakuwa muongeaji !mie nahis nimeathiriwa na jina aisee ! sema kosa ukosee uolewe na mwanaume wanaeoongea naye uwiiiii kuta zinawaka moto haha km ndege msituni wanavyolia !teh teh
 
Back
Top Bottom