witnessj
JF-Expert Member
- Mar 22, 2015
- 28,839
- 47,746
Haaa haaa...angalia na observe jamii inayokuzunguka inasemaje kuhusu wewe?Mimi sijijui kwa kweli sijui mpole,mkimya au mapepe nipo nipo tu![]()
![]()
![]()
Haaa haaa...angalia na observe jamii inayokuzunguka inasemaje kuhusu wewe?Mimi sijijui kwa kweli sijui mpole,mkimya au mapepe nipo nipo tu![]()
![]()
![]()
Hapana,watu wapole ni kama watu wengine kwa maana nao hutofautiana tabia na si kwamba wote wapo hivyo hivyo hufanana.Hamna mkuu...napenda nikimkosea mtu aniambie hapo hapo niombe radhi mambo yaishe tusonge mbele ( sababu hakuna mkamilifu na naweza fanya kitu mi nikaona poa kumbe yy nimemkwaza mbaya)...sasa hawa watu hakwambii wala nini siku ya kurevenge ndo utajua balaa lake![]()
...maisha gani sasa hayo!
Hizi ndio sifa za watu wakimya:
1. Sio wacheshi
2. Wana kiburi
3. Sio rahisi kukubali kosa alilo fanya
4. Ni watu waku jitenga
5. Hawapendi uguse vitu vyao
6. Ni wazuri kwa u spy / upepelezi
7. Ni watu waku jiweka local sana hata kama fedha ipo
8. Hawana muda sana wanawake.

Haaa haaa...u made my mchana mkuuUtapendaje uku we ni mwanaume
Au unataman wanaume wenzio???
aseee inaelekea ajuna wako ulikua mpole sana?
mpka nmemkumbuka..jua sijaona kama yeye kwa tabia hiyo ya upole..mkuu umehit targetKuna tofauti kubwa sana kati ya mtu Mpole, Mtaratibu na Mnyenyekevu.
Mtu anaweza kuwa mpole lakini si mtaratibu
Mtu anaweza kuwa mpole lakini hana unyenyekevu.
Mtu mpole ni yule asiye mkali na si Mgomvi.
Ila pia watu wengi wapole wana hekima, Uvumilivu na busara.
Kwa upande wa pili...watu wapole huwa wakireact kwa hasira ni wabaya sanaaa kuliko wale wanaojulikana kuwa ni Wakali.
Pia watu wapole wengi wao ndio wanaowafaidi sana wanawake na pia ndio wanaoongoza kuwa na watoto wa nje ya ndoa.



Khantwe,Huyo alikuwa tapeli tu kama matapeli wengine hakufanya hivyo kwa sababu ya upole
Most of them mkuu...Mmmh hii baadhi sio wote..... kupenda chini haijalishi mpole..mapepe..chakaramu..mchangamfu..ni tabia tu ya mtu...
Haaa haaa.....wanachukulia upole wao kama advantageNyingine watu wapole na wakimya WANAONGOZA KWENYE KUANGALIA VIDEO ZA NGONO MTANDAONI .......TRUST ME![]()

Unyenyekevu ni uonga na upumbavu kwa sasaTofauti ya upole na unyenyekevu ni nini?
Naombeni mniambie
Tena sifa yao kuu ni kufanana tabia!Hapana,watu wapole ni kama watu wengine kwa maana nao hutofautiana tabia na si kwamba wote wapo hivyo hivyo hufanana.
Wauaji kweliHuo ndio ukweli, wakimya wengi ndio watekelezaji mauaji, wachawi nk
Mimi siyo mpoleHalf half![]()
![]()
![]()
HAKUNA WATU WABAYA NA KUWAOGOPA KATIKA DUNIA HII KAMA WATU WAPOLE AISEEE.
HAWA WATU SIKU AKIJA KUKUBADILIKIA NDIO UTAMJUA NI MTU WA AINA GANI YAANI HAWA NI WATU WASHENZI SANA AISEEEE.
MIMI NILIKUWA NINA RAFIKI YANGU MPOLE SANA LAKINI MWISHO WA SIKU ALIKUJA KUNITAPELI HELA YANGU NA AKANIBADILIKIA KAMA SIO YEYE VILEEEE

Sana tu Mkuu..... Nawajua ...ukishika smartphone yake ingia kwenye Chrome type ... www. Afu yenyewe itamalizia www.xvideo.comHaaa haaa.....wanachukulia upole wao kama advantage![]()
![]()
![]()





wahanga wa mafuriko ya SelfieUnajua watu ambao ukiwaudhi wanakwambia hapo hapo ni wachache na si kwamba et watu wote wacheshi wako hivyo bali ni tabia za baadhi ya watu.Tena sifa yao kuu ni kufanana tabia!