Nalendwa
JF-Expert Member
- Aug 9, 2016
- 7,466
- 13,031
Hapana aseeh, sijiweki kabisa kwenye hili kundi.
kuna' baazi' ya majina ukimuta mwanaio tegemea atakuwa muongeaji !mie nahis nimeathiriwa na jina aisee ! sema kosa ukosee uolewe na mwanaume wanaeoongea naye uwiiiii kuta zinawaka moto haha km ndege msituni wanavyolia !teh teh
Asante BwaiWatu wengi niliokuwa nafanya nao kazi walikiwa wananiona hvyo hd Mzee anakwambia ningetamani kuwa na mkwe wa hivi, wengine aisee bro Nina mdogo wangu wa kike niko radhi kabisa kukuunganishia, wengi walikuwa hawajui uchafu wangu wao wanaangalia tu hizo Tabia wanazoziona, watu wapole huwa wanaficha sana uchafu wao in reference to me.

![]()
![]()
![]()
![]()
Mungu nae wa ajabu, mcharuko anapewa mpole ili kubalance mambo.
Mnakosea sana mnapoleta dharau kisa mpole,ukiniletea dharau lazima nikuonyeshe kutokubaliana na dharau zako.HAKUNA WATU WABAYA NA KUWAOGOPA KATIKA DUNIA HII KAMA WATU WAPOLE AISEEE.
HAWA WATU SIKU AKIJA KUKUBADILIKIA NDIO UTAMJUA NI MTU WA AINA GANI YAANI HAWA NI WATU WASHENZI SANA AISEEEE.
MIMI NILIKUWA NINA RAFIKI YANGU MPOLE SANA LAKINI MWISHO WA SIKU ALIKUJA KUNITAPELI HELA YANGU NA AKANIBADILIKIA KAMA SIO YEYE VILEEEE
Ndiyo ukweli mkuu, hadi huwa najifikiria, mbona watu wengi wananichukulia hivi???, nikajua ni sababu ya upole wangu. As any other person nina mengi tu mabaya.Asante Bwai![]()
![]()
Hahaha sasa hapo huo upole ni upi maana kila sifa mbaya wanazo wao?Sifa yao ni wapole mkuu..![]()
![]()
![]()
![]()
Kuwa mpole haikufanyi kuwa perfect kwamba wewe huna mapungufu kama binaadamu wengine.Watu wengi niliokuwa nafanya nao kazi walikiwa wananiona hvyo hd Mzee anakwambia ningetamani kuwa na mkwe wa hivi, wengine aisee bro Nina mdogo wangu wa kike niko radhi kabisa kukuunganishia, wengi walikuwa hawajui uchafu wangu wao wanaangalia tu hizo Tabia wanazoziona, watu wapole huwa wanaficha sana uchafu wao in reference to me.
Kutafuna vp tena huko?Watu wapole washenzi sana. Wanakutafuna huku hujitambui unakuja kushtukia ushakwisha.
Ah basi hapo unafurahi kabisa.Asante Bwai![]()
![]()
Yani upole wako mtu anaugeuza ujinga halafu anataka ukubali tu.Mnakosea sana mnapoleta dharau kisa mpole,ukiniletea dharau lazima nikuonyeshe kutokubaliana na dharau zako.
Hili naunga mkono!Kweli, ila umesahau moja. Akiishiwa uvumilivu ni mbaya kuliko simba na si wepesi kusamehe.
Uko sahihi kabisa!upole unazaliwa nao ila unyenyekevu unaweza jifunza.
kwa mimi ninavyoelewa.
Duh kuna ukweli fulani!Muogope sana mtu mpole kwa maana mimi ni mpole lakini tabia zangu za kisiri nazijua mwenyewe, mara nyingi mtu mpole huwa ni ;
Mkorofi
Malaya sana
Mgomvi
Huwa na akili sana
Sure!Watu wa pole ni silent killers! Ogopa sana mtu mpole.
Huyo rafiki yako alikua sio mpole ila ni mkimyaHAKUNA WATU WABAYA NA KUWAOGOPA KATIKA DUNIA HII KAMA WATU WAPOLE AISEEE.
HAWA WATU SIKU AKIJA KUKUBADILIKIA NDIO UTAMJUA NI MTU WA AINA GANI YAANI HAWA NI WATU WASHENZI SANA AISEEEE.
MIMI NILIKUWA NINA RAFIKI YANGU MPOLE SANA LAKINI MWISHO WA SIKU ALIKUJA KUNITAPELI HELA YANGU NA AKANIBADILIKIA KAMA SIO YEYE VILEEEE
Tabia nane za watu wa pole.
1. Wanafikiri sana kabla ya kutenda, sio wakurupukaji
2. Ni rahisi kuwaamini
3. Wako tayari kutoa msaada.
4. Ni wazuri kuwa nao kama marafiki
5. Ni wasikilizaji wazuri
6. Wanazielewa hisia za wengine
7. Wanaweza kudumisha mahusiano yao na wengine na ni rahisi kukaa kwenye uhusiano kwa muda mrefu
8. Ni wagunduzi.