Tabia Nane za watu wapole

Tabia Nane za watu wapole

HAKUNA WATU WABAYA NA KUWAOGOPA KATIKA DUNIA HII KAMA WATU WAPOLE AISEEE.

HAWA WATU SIKU AKIJA KUKUBADILIKIA NDIO UTAMJUA NI MTU WA AINA GANI YAANI HAWA NI WATU WASHENZI SANA AISEEEE.

MIMI NILIKUWA NINA RAFIKI YANGU MPOLE SANA LAKINI MWISHO WA SIKU ALIKUJA KUNITAPELI HELA YANGU NA AKANIBADILIKIA KAMA SIO YEYE VILEEEE
Mtu mmoja (huyo rafiki yako ni mtu sio watu) huwezi mtumia kutoa hukumu
 
Tunaenda sambamba sasa...mkimya anakusnitch bila wewe kujua ndo napowachukia sasa!

Mpole anachukia ila anajifanya yuko okay

Ila mcheshi/ muongeaji ukimuudhi analipuka hapo hapo na life goes on, so far hawezi kukuficha kitu yaani ni hawakaagi na kitu rohoni ni wanakerekaga fulani hivi which is good!

Umeona huo utofauti wako wa watu watatu sasa? So mimi nimeamua kuachagua fungu la tatu, coz ninawafahamu mnoo
Mimi sijijui kwa kweli sijui mpole,mkimya au mapepe nipo nipo tu
 
Mi binafsi sipendi mume /rafiki au mtu yeyote anayehusika na Mimi awe mpole!

Ni aina ya binadamu wanafiki mnoo na anaweza hata kukupoteza ktk huu uso wa dunia na usiamini

Mi napenda watu mapepe/ micharuko maana ni rahisi kumgundua nyanja zote
Utapendaje uku we ni mwanaume
Au unataman wanaume wenzio???
 
Back
Top Bottom