Tabia Nane za watu wapole

Tabia Nane za watu wapole

"False Prophets"

We see them every day
Movin' up and down
Holding their bibles in their hands yeah
Going to church every Sunday
Telling people they're Christians yeah
Ye man, we read in the Bible
And overstand
It's telling us of all the false prophets
When the Messiah's
Gonna come down here
Dem a gonna say these words
Jesus I wanna be like you

[Chorus:]
False prophets lies and elution

A dem a go around
Lamping da creation yeah
I and I no like da Babylon style
I and I no like da Babylon style
'Causa dem a go around lampin' Jah creation
Dem a go around telling dem lies
Jesus I wanna be like you

[Chorus:]
False prophets lies and elution
 
watu wapole bwana ni hatari sana sitaki nijisemee lakini naona mtoa maada kama kaniumbua hivi!!!

kwa kweli mimi ni mkimya/mpole sio mkimya kutokuongea hapana naongea panapobidi.

Naweza nikakaa na kitu moyoni kibaya ulichonitendea zaidi ya mwaka na usijue.

Naweza nikacheka na wewe lakini huwezi jua kilicho moyoni mwangu juu yako kibaya/kizuri

sijawahi kukasirika, unaweza kunitukana kabisa matusi ya nguoni lakini nikapuuza na kuondoka nikiwa nacheka

Nikiwa nashida sio mwepesi wa kuitangaza mpaka nipigane mwenyewe nione mwisho wake.

sio mwepesi wa kusamehe kwa kweli.

Napenda sana kusaidia(niliwahi kukutana na mama stend nikiwa na mambo yangu alikuwa safari sehemu akawa ameishiwa nauli na sehemu anayoenda bado alikuwa hajafika nilikuwa na 10000tsh tu mfukoni nilimpa ile hela yote).

ni mengi sana.
 
Mkuu mtu mpole anaweza kuwa ameepusha shari nyingi kwa sababu ya upole wake,ila siku moja hata akiongea kwa ukali basi watu husema watu wapole ni hatari yani hawafikirii yale uliyokuwa ukiepusha wao hukumbuka hilo tukio moja tu.
 
kweli mkuu!!

mimi kuna jamaa aliwahi kunitukana kabisa tena matusi makubwa sana akiamini nitamkunjua ngumi lakini sikuweza kufanya hivo na yeye hakuamini nilivyoondoka pale huwezi amini niliondoka pale kwa kucheka hatari hata watu waliokuwa pale waliniona bwege sana.

miaka mi4 baadaye nikakutana naye sehemu nyeti sana nikamkumbusha kwamba jamaa unakumbuka mwaka Fulani uliwahi kunifanyia kitu Fulani kwanza akashangaa sana akaniambia bwana samahani nikwambia wala sioni sababu ya wewe kuomba msamahani nikaondoka pale bila kuongea chochote.
 
Sasa ngoja nikueleweshe kitu kimoja ukielewe...

Ukimya na upole ni vitu tofauti but almost vinaenda sambamba

Mtu mpole mara nyingi anakuwa mkimya, huwezi kuta mtu mpole hapohapo akawa muongeaji ni very rare sana

Sasa kwangu mimi kivyovyote vile ukiwa mpole or mkimya sikupendi, coz nina experience ni watu washenzi sana ktk hii dunia!
Tusamehe bure....Tupe nafasi nyingine na ikiwezekana iwe ya mwisho hakika hatutakufanya ujute tena..mara kwanza tulipitiwa tu.
 
Hizi sifa zote ninazo mkuu,changamoto nazopitia no pale napochukua maamuzi mazito baada ya kukwazika utasikia wanasema "anajifanya mpole kumbe mnafiki" nadhani maisha yangu yote sipaswi kukosea hivo nimekua making sana ktk maamuzi yang
 
Kweli, ila umesahau moja. Akiishiwa uvumilivu ni mbaya kuliko simba na si wepesi kusamehe.
Inakuwa hamna namna mkuu, maana unakuwa umepotezea mengi. Mwisho wa siku, unasema sasa basi.
 
Sasa ngoja nikueleweshe kitu kimoja ukielewe...

Ukimya na upole ni vitu tofauti but almost vinaenda sambamba

Mtu mpole mara nyingi anakuwa mkimya, huwezi kuta mtu mpole hapohapo akawa muongeaji ni very rare sana

Sasa kwangu mimi kivyovyote vile ukiwa mpole or mkimya sikupendi, coz nina experience ni watu washenzi sana ktk hii dunia!

Witness wakati nasoma hii reply yako najenga picha kama nakuona live hasa hapo "washenzi ktk hii dunia". Doh ni vizuri
kupenda upendapo hasa katika uteuzi wa marafiki.
 
HAKUNA WATU WABAYA NA KUWAOGOPA KATIKA DUNIA HII KAMA WATU WAPOLE AISEEE.

HAWA WATU SIKU AKIJA KUKUBADILIKIA NDIO UTAMJUA NI MTU WA AINA GANI YAANI HAWA NI WATU WASHENZI SANA AISEEEE.

MIMI NILIKUWA NINA RAFIKI YANGU MPOLE SANA LAKINI MWISHO WA SIKU ALIKUJA KUNITAPELI HELA YANGU NA AKANIBADILIKIA KAMA SIO YEYE VILEEEE
Vipi hukumla
 
Kuna tofauti kubwa sana kati ya mtu Mpole, Mtaratibu na Mnyenyekevu.

Mtu anaweza kuwa mpole lakini si mtaratibu

Mtu anaweza kuwa mpole lakini hana unyenyekevu.

Mtu mpole ni yule asiye mkali na si Mgomvi.

Ila pia watu wengi wapole wana hekima, Uvumilivu na busara.

Kwa upande wa pili...watu wapole huwa wakireact kwa hasira ni wabaya sanaaa kuliko wale wanaojulikana kuwa ni Wakali.

Pia watu wapole wengi wao ndio wanaowafaidi sana wanawake na pia ndio wanaoongoza kuwa na watoto wa nje ya ndoa.
🏃🏃🏃🏃🏃
 
Mi binafsi sipendi mume /rafiki au mtu yeyote anayehusika na Mimi awe mpole!

Ni aina ya binadamu wanafiki mnoo na anaweza hata kukupoteza ktk huu uso wa dunia na usiamini

Mi napenda watu mapepe/ micharuko maana ni rahisi kumgundua nyanja zote
Dada wity. Na tako lake 😍😍😍😍
 
Upole ni mtaratibu
Unyenyekevu ni kunyenyekea pale umepata shida na mtu akakusaidia hio shida yako
Hapo unatakiwa umnyenyekee pindi unapohitaji msaada
Kumbe Unyenyekevu unaendana shida, kumbe wanaposema fulani mnyenyekevu, kwa sababu vinaendana ni kama wanasifu shida zake.
 
Back
Top Bottom