Habarini za usiku wapendwa,
kunatabia ambayo binafsi inanikera kwa baadhi ya wanaume sasa sijui inatokana na nini! Tabia yenyewe ni ya kutongoza tongoza ovyo kila mwanamke au msichana atakayekutana naye katika mazingira yake ya kila siku, yani awe mzuri au mbaya yeye ni kutongoza tu, awe kamvutia au hata hajamvutia yeye ni kutongoza tu, kamzid umri au mdogo kwake atatongoza tu!
Mfano mwanaume wa namna hii;
kama ni doctor- 90% ya wagonjwa wa kike watatongozwa
huwa nashindwa kuelewa hivi ni tabia au nini kinawasumbua? Au virusi! Mawazo yenu wakuu