Tabia inayonikera ya baadhi ya wanaume

Tabia inayonikera ya baadhi ya wanaume

Huyu inaonekana wenzake wanatongozwa zaidi yake! Hapa katumia design tu kulalamika maana sioni kero iko wapi wakitongozwa wakubwa wadogo wanene wembamba e.t.c.
Lazima huyu binti hatongozwi ila anashuhudia sana wengine wakitongozwa!
Ingekua yeye ndio anakereka angesema kwa kutongozwa (which is very unlikely for a women) angesema ila hapa kuna kawivu tu!

Usijali dada, jiamini, vaa vizuri, nukia utatongozwa tu na wewe hata kama una DNA phenotype ya marehemu Remmy Ongalla may he RIP.

hiv ulikaa muda gani na kufikiria cha kuandika kabla ya kuandika? Any way, unauhuru wa kuongea!!
 
Wewe unakua wapi ku observe huyo mwanaume anaetongoza kila mtu?
Na kama wewe umetongozwa ukakataa kinakukera nini ukiona na mwenzako mwingine katongozwa?
Kutongozwa ni a one on one encounter inakueje ikukere wewe wa pembeni? Mimi nimeshindwa kuelewa argument yako unless wewe hutongozwi hivyo unasikia kawivu kidogo. Maana ukikaa na mabest unasikia story za kutongozwa na wewe huna current reference hata 1.
Haiwezi zikapita siku 2 sija tongoza, i love the challenge, kuna mdau hapa kasema practice makes perfect, so i'm after perfection.

kumbe na wewe ni type ya wanaume hao nnao waongelea. Endelea kupractise usije ukawa domo zege
 
Mbona ni mazoezi ya kawaida tu. Usipofanya hivyo mistari inaweza kupotea banaa.
 
ukimwona mwanamke mzuri ni haki yako kumtongoza...

lakini kumbuka sio kila mwanamke mzuri ni type yako, vingine vya wakubwa jmn....labda zinakuwaga sio akili zao wanapotongoza kwa sbb wapo wanapsukumwa kutongoza na ujasiri wa viroba, bhangi na pombe
 
Mleta uzi hongera kwa kufurahisha genge, but you don't mean what you presented here.
 
lakini kumbuka sio kila mwanamke mzuri ni type yako, vingine vya wakubwa jmn....labda zinakuwaga sio akili zao wanapotongoza kwa sbb wapo wanapsukumwa kutongoza na ujasiri wa viroba, bhangi na pombe

nisaidie kuwaeleza!
 
Habarini za usiku wapendwa,

kunatabia ambayo binafsi inanikera kwa baadhi ya wanaume sasa sijui inatokana na nini! Tabia yenyewe ni ya kutongoza tongoza ovyo kila mwanamke au msichana atakayekutana naye katika mazingira yake ya kila siku, yani awe mzuri au mbaya yeye ni kutongoza tu, awe kamvutia au hata hajamvutia yeye ni kutongoza tu, kamzid umri au mdogo kwake atatongoza tu!

Mfano mwanaume wa namna hii;
kama ni doctor- 90% ya wagonjwa wa kike watatongozwa

huwa nashindwa kuelewa hivi ni tabia au nini kinawasumbua? Au virusi! Mawazo yenu wakuu

Wengine ni tabia na wengine ni naweza kuita ni ujinga na ushamba ndani yake vinawasumbua..unakuta mtu mtaani kwao wanamwita handsome basi kwa akili yake anapata ujinga kudhani kila mwanamke atamkubali..kutwa kucha anashinda anatongoza tuuu...na wakati mwingine pia inakuwa ni matatizo ya akili!
 
hp ht mm huwa nachoka, yn wanaume mnatia aibu mtu mwingine ht robo hamuendani lakini yupo tu na yeye kufuata mkumbo kutongoza sizr si yake! Tabia mby

Kwangu mimi kila mwanamke ni size yangu hata kama ni first lady,
Hilo suala la kuendana unalijua ww,
 
Back
Top Bottom