Tabia inayonikera ya baadhi ya wanaume

Tabia inayonikera ya baadhi ya wanaume

Duuuuuu mtoa mass ni Kuwa umejionea au unataka sifa eti awe mzuri au mbaya sidhan kama unawatendea khaki.

haukunielewa ndugu, namaanisha wanaume wa dizain hii huwachagui, hii ndio maana yangu
 
By nature men are canal creatures . Full stop kama unabisha jifunze toka wanyama wengine mwanaume kutongoza bwana !!!!!!
 
kutongoza ni sayansi na pia ni sanaa! ni taaluma kama taaluna nyingine usipoitumia ujuzi unapungua
 
Nisipokutongoza ntapelekea wewe(mwanamke) kuzidisha vipodoz ambavyo vitaathiri afya yako.

"TONGOZA KWA AFYA YA AKINA DADA"
 
Ni DNA hiyo.
Inawezekana kweli,kuna mzee mmoja mpaka leo anatongonza tongonza tu,wanae wa kiume wamefuata.Wake za watoto kutwa kulalamika kwa mama mkwe wao,anawajibu wamefuata kwa baba yao.Sasa sijui baba yao aliitoa wapi?
 
eenh mtu wanamna hiyo hayupo dunia
ye hata vichaa anatongoza..!?
we umewai mwona ..!?
 
Mhh,ila hata kias kina hitajika..mie ni kidume,ila kuna wengine wanazid i see,mtu ana mke na watoto,ila angalia anao watongoza sasa..utacheka,wengine wanajua ni watu wazima wana mabomba makubwa ila hivyo viji sket wanavyo tafuta sasa..hatakama ni uanaume,sio kias hicho,sio kila mtu tu,eti kisa ameota bre.asts..
 
Habarini za usiku wapendwa,

kunatabia ambayo binafsi inanikera kwa baadhi ya wanaume sasa sijui inatokana na nini! Tabia yenyewe ni ya kutongoza tongoza ovyo kila mwanamke au msichana atakayekutana naye katika mazingira yake ya kila siku, yani awe mzuri au mbaya yeye ni kutongoza tu, awe kamvutia au hata hajamvutia yeye ni kutongoza tu, kamzid umri au mdogo kwake atatongoza tu!

Mfano mwanaume wa namna hii;
kama ni doctor- 90% ya wagonjwa wa kike watatongozwa

huwa nashindwa kuelewa hivi ni tabia au nini kinawasumbua? Au virusi! Mawazo yenu wakuu

Sasa hapo kinachokukera ni nini hasa?... maana hii dunia imejaa kero mkuu, sasa ukiziweka na hizo ambazo hazikuhusu... dah
 
Habarini za usiku wapendwa,

kunatabia ambayo binafsi inanikera kwa baadhi ya wanaume sasa sijui inatokana na nini! Tabia yenyewe ni ya kutongoza tongoza ovyo kila mwanamke au msichana atakayekutana naye katika mazingira yake ya kila siku, yani awe mzuri au mbaya yeye ni kutongoza tu, awe kamvutia au hata hajamvutia yeye ni kutongoza tu, kamzid umri au mdogo kwake atatongoza tu!

Mfano mwanaume wa namna hii;
kama ni doctor- 90% ya wagonjwa wa kike watatongozwa

huwa nashindwa kuelewa hivi ni tabia au nini kinawasumbua? Au virusi! Mawazo yenu wakuu

Kama natongoza ba sikubaliwi ntaendelea KUTONGOZA.
Kama natongoza na cjapata mwenye vgezo ntaendelea
Kama natongoza na mtu anakuwa ready kwa friend match ntaendelea
Kama natongoza na Pepo linachangia Tutaendelea tu
Kama natongoza saaana kupitiliza basi tuombeane ili roho za kutamani na za uzinzi zitoke katila nafsi na miili yetu.
 
Back
Top Bottom