KikulachoChako
JF-Expert Member
- Jul 21, 2013
- 19,770
- 39,537
More practice make it perfect
sio sifa bwana wakati mwingine jitu linaona hamuendani kabisa ila linatongoza tu!
ha haa! Ukipungua ndo udomozege unakunyemelea!
Na nyie huwa mnajisikiaje mkitongozwa?
Nimeshawahi kuwasikia baadhi ya wanawake wanalalamika kuwa huwa hawatongozwi...
mie inategemea shemeji na mazingira ya mtongozaji. lol. tusalimiane basi kwanza.
Hivi kumbe sijakusalimia eenh...mambo yako aje aje shemeg la mimi!!!
Mazingira yapi ya mtongozaji wayahafiki na yapi huyaafiki??
Kuwa na adabu wewe.Bwana wako alikupataje?Unajua ametongoza wangapi kabla hajakupata wewe?Unajua anaendelea kutongoza wangapi baada ya kukupata wewe?Pambavni ushamba na umapepe!!!mxiuu wanakeraga kishenz yaani
Kuwa na adabu wewe.Bwana wako alikupataje?Unajua ametongoza wangapi kabla hajakupata wewe?Unajua anaendelea kutongoza wangapi baada ya kukupata wewe?Pambav