Habarini za usiku wapendwa,
kunatabia ambayo binafsi inanikera kwa baadhi ya wanaume sasa sijui inatokana na nini! Tabia yenyewe ni ya kutongoza tongoza ovyo kila mwanamke au msichana atakayekutana naye katika mazingira yake ya kila siku, yani awe mzuri au mbaya yeye ni kutongoza tu, awe kamvutia au hata hajamvutia yeye ni kutongoza tu, kamzid umri au mdogo kwake atatongoza tu!
Mfano mwanaume wa namna hii;
kama ni doctor- 90% ya wagonjwa wa kike watatongozwa
huwa nashindwa kuelewa hivi ni tabia au nini kinawasumbua? Au virusi! Mawazo yenu wakuu
ni ushamba na umapepe!!!mxiuu wanakeraga kishenz yaani
Wewe unakua wapi ku observe huyo mwanaume anaetongoza kila mtu?Habarini za usiku wapendwa,
kunatabia ambayo binafsi inanikera kwa baadhi ya wanaume sasa sijui inatokana na nini! Tabia yenyewe ni ya kutongoza tongoza ovyo kila mwanamke au msichana atakayekutana naye katika mazingira yake ya kila siku, yani awe mzuri au mbaya yeye ni kutongoza tu, awe kamvutia au hata hajamvutia yeye ni kutongoza tu, kamzid umri au mdogo kwake atatongoza tu!
Mfano mwanaume wa namna hii;
kama ni doctor- 90% ya wagonjwa wa kike watatongozwa
huwa nashindwa kuelewa hivi ni tabia au nini kinawasumbua? Au virusi! Mawazo yenu wakuu
Sawa nimekuelewa muuza nyama.pambavuu mwenyewe!una uhakika gani mie na bwana?afu kama sina adabu njoo nifunzee!!siyo kila anayevaa koti jeupe daktari wengne wauza nyama!
pambavuu mwenyewe!una uhakika gani mie na bwana?afu kama sina adabu njoo nifunzee!!siyo kila anayevaa koti jeupe daktari wengne wauza nyama!
anakuwa yuko field
anapima uwezo wake wa kutongoza asije kuwa domo zege!
Kuwa na adabu wewe.Bwana wako alikupataje?Unajua ametongoza wangapi kabla hajakupata wewe?Unajua anaendelea kutongoza wangapi baada ya kukupata wewe?Pambav
India wanaanza kwanza na masongi, maua hadi akutamkie baadae sana.
virusi vnatoka wap tena hapa?
hiyo inaitwa sampling!!! lazima ufanye probability ili utoke na kitu cha maana bana!!
sasa we uking'ang'ana na ladha moja kila siku, si utakosa appetite!