Mwachiluwi
JF-Expert Member
- Mar 10, 2022
- 33,488
- 65,834
Tabia hizi zina kela watu wengi
1) Mtu anaekula na unamsikia kabisa anavyo tafuna Mdya mdya mday
Hii sio sawa tena mbele za watu ase
2) Unywaji wa chai hii shida ya taifa anaivuta kabisa fvuuuu fvuuu
Inashusha heshima sana unakuta mtu kaulamba vizuri unywaji wa chai ndio uho
3) Mtu anae koloma
Kuna watu wanakoloma vibaya mnoo kama generata bovu au gari moshi ase
4) Kucheka kuna watu baada ya kucheka mnachekesha watu yaani mnacheka vibaya sana mtoto wa kiume au wakike unacheka unajiachia mdomo wazi mpaka unalushia watu mate vibaya hii
Ongezea yako nyingine