Tabia hizi za wageni zinakera


K

KIMIYAKIMIYA

Senior Member
Joined
Mar 2, 2014
Messages
118
Points
250
K

KIMIYAKIMIYA

Senior Member
Joined Mar 2, 2014
118 250
Hakuna mtu ambaye hajawahi kuwa mgeni na kama bado lazima siku moja utakuwa ugenini, kuna vijitabia ambavyo vinaweza kuwa kero kwa wenyeji wako bila ya wewe kujua.

Binafsi sipendi mgeni anayenitembelea ana simu lakini hana chaja, hivyo ratiba ya kuchaji simu yake inaingiliana na mimi mwenyeji huku akitoa visababu visivyoeleweka vya kwanini hana chaja.

Hebu turushie vitabia vya wageni vinavyokera ili tujirekebishe tukiwa ugenini.

Uzi huo leta sindano tuwashone

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Iselamagazi

Iselamagazi

JF-Expert Member
Joined
Sep 26, 2011
Messages
2,655
Points
1,500
Iselamagazi

Iselamagazi

JF-Expert Member
Joined Sep 26, 2011
2,655 1,500
Yaani mgeni wako kuomba chaja tu unakimbilia JF asubuhi hii kuanzisha uzi!
Nadhani wewe binafsi una matatizo makubwa zaidi ya huyu mgeni wako unayemlalamikia.

Si ajabu unahesabu hata kila tonge la ugali analopeleka kinywani mwake. Vitu vingine ambavyo ni trivial potezea brother!
 
uhurumoja

uhurumoja

JF-Expert Member
Joined
Mar 2, 2014
Messages
1,969
Points
2,000
uhurumoja

uhurumoja

JF-Expert Member
Joined Mar 2, 2014
1,969 2,000
Yaani mgeni wako kuomba chaja tu unakimbilia JF asubuhi hii kuanzisha uzi!
Nadhani wewe binafsi una matatizo makubwa zaidi ya huyu mgeni wako unayemlalamikia.
Si ajabu unahesabu hata kila tonge la ugali analopeleka kinywani mwake. Vitu vingine ambavyo ni trivial potezea brother!
Chini kasema "uzi huo leta sindano tuwashone"kazi kweli kweli

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Numbisa

Numbisa

JF-Expert Member
Joined
Dec 12, 2016
Messages
127,481
Points
2,000
Numbisa

Numbisa

JF-Expert Member
Joined Dec 12, 2016
127,481 2,000
Huyo huyo mgeni anaisunda kwenye mizigo yake hio chaji na kuondoka nayo akiwa njian utaona sms oooh samahani nimejisahau nikaondoka na chaji hapo ni mkazi wa mikoa mitatu toka ulipo
 
Ndumbula Ndema

Ndumbula Ndema

JF-Expert Member
Joined
Jan 12, 2018
Messages
6,186
Points
2,000
Age
51
Ndumbula Ndema

Ndumbula Ndema

JF-Expert Member
Joined Jan 12, 2018
6,186 2,000
Uzi wa kipuuzi sana huu....JF ishaingiliwa na members wa Facebook... zamani tulikua tunatumia JF kama chanzo cha taarifa na maarifa muhimu,leo tunaingia JF tunakutana na mambo ambayo haya add value kabisa kwenye maisha yetu....inauma sana,ndio maana wengine tumehamia kwenye platform za kimataifa kama Tapatalk,Quora n.k maana huko tunaweza kujadiri mambo ya maana,au tukajifunza vitu vipya,...katika dunia ya leo ya kibepari ubongo unahtaji kulishwa na kujazwa maarifa na taarifa ambazo ni muhimu,....tuliifaidi sana JF miaka ya 2010-2015 lakini baada ya hapo wambea wa Insta, Facebook nao wamejiunga...sasa ukiingia tu unakutana na post ya "uume wangu mdogo,naweza kumridhisha?"like seriously!!.... nowadays we think very small,we are not great thinker any more.....lakini tutafanyaje sasa inabidi tuzoee!

Sent using Jamii Forums mobile app
Mjadala wa kipuuzi kabisa huu
 
Baby Nimah

Baby Nimah

JF-Expert Member
Joined
Oct 31, 2018
Messages
373
Points
500
Baby Nimah

Baby Nimah

JF-Expert Member
Joined Oct 31, 2018
373 500
Aiseee! Nikiwa mgeni wako itabidi niwe nikula nimeshiba niwe nahela ya lala Lodge
 
Ndumbula Ndema

Ndumbula Ndema

JF-Expert Member
Joined
Jan 12, 2018
Messages
6,186
Points
2,000
Age
51
Ndumbula Ndema

Ndumbula Ndema

JF-Expert Member
Joined Jan 12, 2018
6,186 2,000
JF ikiwa kila muda ina nyuzi ngumungumu na motomoto,members wataugua homa na maumivu ya kichwa.Patachosha.Waacheni na wengine watoe yao.
Zipo hoja hata kama si ngumu ila zinajadilika sasa hii eti mgeni aje na charger kwako unajadili nini sasa hapo
 
kashesho

kashesho

JF-Expert Member
Joined
Oct 19, 2012
Messages
4,971
Points
2,000
kashesho

kashesho

JF-Expert Member
Joined Oct 19, 2012
4,971 2,000
Ndio maana siku hizi watu hawatembeleani mnaongelea bar kila mtu anaenda kwake😂😂
 

Forum statistics

Threads 1,285,928
Members 494,830
Posts 30,879,298
Top