Hahahaaa. Etiii. Unaanzaje rafiki.Wakazieni tu. Wanaume tulio wengi huwa tunajitafakari sana hadi kufikia hatua ya kumtongoza mwanamke ambaye anaheshimu na kujiheahimu, huwa tuna kajiuoga fulani kaasili kale lakini kama unajirahisi rahisi mtatandikwa mizinga na vitumbua mnaliwa hadi mtashangaa. Tabia hii naona inaanza kushika kasi hasa sehemu za miji. Naanzaje kuomba hela kwa mwanamke na kengele zangu nimezining'iniza! seeeeeeeh!
Na wanajua kbs pa kuwashika, utanyonywa Hajar hadi upararaizi, kama una mshono atahakikisha anakufumua ili tu akuahike hahahaaaa, kina mama mna kaziKweli kabisa rafiki na hasa wale wanaojua hawapindui kwao yaani anajua akiomba kwa kile kiasi anachopendewa basi hawezi nyimwa.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Wakazieni tu. Wanaume tulio wengi huwa tunajitafakari sana hadi kufikia hatua ya kumtongoza mwanamke ambaye anaheshimu na kujiheahimu, huwa tuna kajiuoga fulani kaasili kale lakini kama unajirahisi rahisi mtatandikwa mizinga na vitumbua mnaliwa hadi mtashangaa. Tabia hii naona inaanza kushika kasi hasa sehemu za miji. Naanzaje kuomba hela kwa mwanamke na kengele zangu nimezining'iniza! seeeeeeeh!
Maamaee zao,.wala sirogwi halafu uzuri hawajifichagi yaani mwanzoni tuu unamjua huyu hamna kitu ni tapeli tuuNa ukikutana na wa hivo jipange nakwambia- atakulia vumbi la kongo kama una mshono anaufumua hakiyanani!!
Niache hata kubeba zege huko eti nimekaa nakusubiri babe umeenda kunihangaikia nyoookoooooooh!Hahahaaaa. Wengine wanaolewaga mbona. Teh teh teh.
Si hawataki kuhangaika.
Hahahaaaa. Ila Mbalizi wewe Mungu anakuona aiseee.Na wanajua kbs pa kuwashika, utanyonywa Hajar hadi upararaizi, kama una mshono atahakikisha anakufumua ili tu akuahike hahahaaaa, kina mama mna kazi
Wangeweza kuzaa walahh ningewaoa mm...Hahahaaaa. Wengine wanaolewaga mbona. Teh teh teh.
Si hawataki kuhangaika.
Tuko nao mtaani wanajisifu, utawasikia aaah yule nimemshika hapindui hapaaa!Hahahaaa. Etiii. Unaanzaje rafiki.
Vile vijanaume sababu mie naviitaga vijanaume ndio zao hizo na wala havinaga haya na soni kama ulivyojisemea rafiki.
Hahahaaa. Ndio hapo sasa rafiki. Lol.Niache hata kubeba zege huko eti nimekaa nakusubiri babe umeenda kunihangaikia nyoookoooooooh!
hivi mahusiano yapo kwaajili ya kugegedana tu na kushare furaha tu???Heri ya pasaka wapendwa
Naombeni kuuliza swali jepesi tuu hivi inakuaje pale mahusiano yanapoanza hata mwezi hamjafikisha mmoja anaanza kumpiga mwenzie mizinga ya kumuomba mwenzie hela mara ohh naomba uniazime 100,000 nitakurudishia keshokutwa huyo ni mwanaume mzima na akilizake, hatujamaliza week mzinga mwingine uniazime milion 1 nitakurudishia next week hapo hajarudisha ile laki kwakweli mimi huwa naboreka sana pale mwanaume anapoanza kujishushia hadhi mapema hivi kwa mwanamke, nachojiuliza ni kwanini uniombe hela mimi? Je kabla hujanijua ulikua una mkopa nani? Kwanini usiwakope rafiki zako au ndugu zako kwanini uje kwangu wakati mimi kwako bado ni mgeni? Hii tabia ni mbaya mno kwakweli naninailaani vikali kwani mahusiano yetu ni ya hela?
Jamani kuna kidume kiminijia nikakiona kistaarabu fulani hivi halafu kitulivu na miahadi kibao mara nataka nikufanyie hivi nataka nikufanyie vile mimi kimya namuangalia tuu maana sijazoea mapenzi kuyalinganisha na vitu sasa mwenzangu yeye nazani anafikiri mimi ni Mwanamke wa dizain hizo zakuona mapenzi ni materialists, mimi mapenzi sio vitu ni mtu mwenyewe sasa mwanaume anapoanza kuniomba hela mimi mtoto wakike ni zaidi ya udhahifu je usingekua unanijua ungeenda kumuomba nani? Nilikua nimekupa credit kibao ila sasahivi umenitoka moyoni kwangu kabisa nimekupa hizo hela kiubinadamu kama mtu tuu sio mpenzi na ole wako usinilipe najua utasoma tuu hapa ukae ukijua mimi sina mapenzi ya hela baba, nanimeshakuona hunifai hata kidogo mschssssxuu!
Hahahaaaa. Kumbe kazi kumlambalamba. Lol.Tuko nao mtaani wanajisifu, utawasikia aaah yule nimemshika hapindui hapaaa!
Hahahaaaaa. Lol. Shida iliyopo wanatia hasara huku wao kama wao hawana faida.Wangeweza kuzaa walahh ningewaoa mm...
Hahahaaa. Sitaki mie lol.Maamaee zao,.wala sirogwi halafu uzuri hawajifichagi yaani mwanzoni tuu unamjua huyu hamna kitu ni tapeli tuu
ila kupokea vya wanaume unapenda??Daaah,.yaani hakuna MTU anayenikosesha amani moyoni kama mwanaume mpiga vizinga aisee afadhali ya mchawi kuliko viumbe dizaini hii...MTU anajitegemea,ana kazi nzuri tuu pengine,. lakini ana hulka za ombaomba aisee mwanaume wa hivi anipitie kushoto mm nivuje jasho jua linichomeeee mpaka kwenye utumbo mpana halafu ww huyoooo eti niazime laki maamaeee njoo kwanza nikupe kipande cha shamba ulime ndio nikupe hiyo laki shenzyy taipp...halafu wanaume wa hivi sijui walikosewaa maana hizi tabia hata sisi wengine hatuna...mxxieeeeww[emoji57][emoji57]
Ukishamjua mapema tu unampa makavu unatembea zako. Sema tatizo lenu mkishakuwa mlionjeshwa ndio tatizo- kama mleta mada nahisi atakuwa alishaonjeshwa utamu wa mshedede ndio maana anaugulia moyoni anakuja kulalamika huku. Kila ukisema unamwacha siku ukibanwa na nyegge unajikuta unakumbuka jinsi anavokukunja-ga unaenea kifuani pake unaona aaaah yanini kujitesa bas unaamua ngoja nimpigie aje anikune leo tu kisha nammwaga, ohooo na keshokutwa na mtondogoo na jumamosi hadi unakuwa addictedMaamaee zao,.wala sirogwi halafu uzuri hawajifichagi yaani mwanzoni tuu unamjua huyu hamna kitu ni tapeli tuu
Yaani mijitu kama hii ni kupelekwa jehanam wakachochee moto,..wanampa Mungu tuu masikitiko..[emoji58][emoji58]Hahahaaaaa. Lol. Shida iliyopo wanatia hasara huku wao kama wao hawana faida.
Hahahhahahaaaaaaaaaaaaa mumu baana ! eti ungewaoa hahahaaaa.Wangeweza kuzaa walahh ningewaoa mm...
Mmh. Angekuwa mwanamke ndio kafanya hivyo Mkuu sidhani kama ungeandika ulichoandika cha zaidi angeonekana mwanamke ni mdangaji na mngempa kila aina ya hila na wala haya maneno mazuri kiasi hiki yasingekuwepo.hivi mahusiano yapo kwaajili ya kugegedana tu na kushare furaha tu???
kama hutaki akuombe ww humsaidie unataka akamshirikishe nan tatzo lake???
ok sawa ameanza mapema mnoo kukuomba hivi shida ina hodi kwamba ichelewe au iwahi,,,,sasa imewahi akiwa nawewe so kakushirikisha sasa ....
nyie mabinti mpo tooo selfish in nature mnapenda kupokea kuliko kutoa,,,,hayo ni mapenzi ,,,,,,saidianeni kama u don care about his problem usimpotezee muda tel him the truth