Tabia Gani Uliyokuwa Nayo Utotoni Mpaka Leo Ukubwani Bado Unayo???

Umejuaje kama ni rijali tena wa nguvu. Hebu iseme na tabia mbaya hii, plz!
Afu mbona hakuna anayesema ana tabia mbaya ya kufanya matusi, au hiyo ni tabia nzuri?

Ana watoto 2 wanguvu.
Na huwa 'anasimama dede' 'ukimsalimia'.
Matusi hayatajwi kwa kuwa ndio Uhai wa Kila mwanadamu ulipo.
 
Asante sana mpendwa CL,
Ila cjui kama nitaweza kuacha.
Yani nimekuwa kama mchawi.
Nikiona kucha za mtu yeyote,mwili unanisisimka na hamu ya kuzitafuna inanijia.
Nilishawekwaga Kitimoto baada ya kukutwa namkata kucha mtoto wa jirani huku nazitia ktk kikaratasi.
Nilinywea acha tu.
Yani cjui nina ugonjwa gani.

lQuAAAAAElFTkSuQmCC
h8f8BHkcBkFI9jwUAAAAASUVORK5CYII=
G+jz+AAAAAElFTkSuQmCC


Si unaona kucha zina maradhi bibie?
 
kucha gani au ni hizi hapa

celebritynailsladygagastilettonailsbecomegorgeous_thumb.jpg
[

QUOTE=Arushaone;4705796]
Nizyef8ww57HX20FGvA37nfUMTQtOL47NL
UEsgV36YYZJOR1Hg1Aa
+pkf3ExH5m4ry0


Si unaona kucha zina maradhi bibie?[/QUOTE]
 
Back
Top Bottom