Tabia Gani Uliyokuwa Nayo Utotoni Mpaka Leo Ukubwani Bado Unayo???

Madame B

JF-Expert Member
Apr 9, 2012
29,967
32,250
Hapa Nazungumzia Ile Tabia Uliyokuwa Unaifanya Utotoni Na Umekuwa Nayo Mpaka Leo Ukubwani.

Mimi Tabia Niliyokuwa nayo Mpaka ukubwani ni Kupenda Kukaa Pamoja na Makundi ya Wanaume.

Wewe Je?
 
Mimi nilikuwa napenda kuchungulia ch....i za wasichana, na hadi leo bado nimekuwa nayo,sijui kwa nini loh!
Madame B
 
Last edited by a moderator:
me tabia ya kujichungulia maumbile yangu, huwa naichukia basi tu nashindwa kuiacha!

duh. Mi nna tabia ya kunusa vitu aisee. Na nikivua nguo hata pichu lazma niinuse! Sometimes nanusa chakula, kijiko ama sahani. Na nna pua very sensitive kama sungura! Kama sahani ilikushwa na towel chafu naisikia. Sijui nna kichaa?
 
King'asti bidada,
yani kuna watu wana tabia ya ajabu acha tu.
Kuna mkaka mmoja anaishi huku mitaa ya kwetu anapenda sana harufu ya Uke.
Hana tatizo lolote la Kiakili na ana familia yake nzuri tu.
Yani Wadada wanakoma nae,maana anaweza akakunywesha Pombe mpaka ukalewa,afu anachukua kitambaa anakufuta sirini afu anaondoka,
Hana historia ya Kubaka wanawake ila tabia yake ndo hyo tu.
 
Last edited by a moderator:
Yeyote yule atakae kaa vibaya..hasa wale ninaowapa lifti kwa gari yangu..ukijisahau tu imekula kwako..lazima nkupige chabo.
Ila sitembei na kioo King'asti

hahahahahaha,
Afu badae mje kutuweka Jukwaa la Wakubwa.
 
Last edited by a moderator:
duh. Mi nna tabia ya kunusa vitu aisee. Na nikivua nguo hata pichu lazma niinuse! Sometimes nanusa chakula, kijiko ama sahani. Na nna pua very sensitive kama sungura! Kama sahani ilikushwa na towel chafu naisikia. Sijui nna kichaa?

duh,pole inamaana hata ukienda 5* hotel huwa unanusa sahani?
 
Tabia ya kuonjaonja chakula kikiwa kwenye hatua za maandalizi. Sasa hivi nikijiandalia chakula, hadi kinaiva mie tayari nshashiba.
 
Tabia ya kuonjaonja chakula kikiwa kwenye hatua za maandalizi. Sasa hivi nikijiandalia chakula, hadi kinaiva mie tayari nshashiba.

Afu usiombee uwe unakaanga nyama au samaki.
Mpaka afike mezani samaki hana Kichwa,mkia wala upande mmoja.
 
Back
Top Bottom