Tabia 7 za mwanamke zinazoshangaza

Tabia 7 za mwanamke zinazoshangaza

Haya yote yanampata mwanaume asiyejitambua , kama wewe upo grad fulani basi utampata wa grade yako

Nimeshasema,nimejikuna panaposha!Hujaelewa?Omba uelweshwe!
ukiona umepata kimeo jua nawe ndio kimeo namba moja..

kimeo maana yake nini?andika lugha zinazoeleweka ndugu.
Kama wewe ni msomi na uko smart utadondokaje kwa demu choka mbaya anayevaa gauni la mafungu k/koo?

Sio lazima kudondoka kwa mdada anayeendana na wewe.Mapenzi hayana macho.
Wakatimwingine chujeni mada zenu kabla yakuweka sio mtu unakurupuka na mada mladi uponde mademu sio issue....
Sijakurupuka nina uhakika we ndo umekurupuka mkuu.
 
Mwanamke akiolewa hataki mawifi zake wamtembelee au waongee na mime wake wakati yeye ndio namba wani anataka awakontroo wake za kaka zake.
2. Mwanamke aakiolewa hataki kabisa mama mkwe awatembelee wakati yeye anawasema mawifi hawamuangalii mama yake mzazi.
3. Mshahara wa mwanamke unakotumika hutajua ni wapi ila wewe ukiondoka asubuhi na laki anategemea ununue mafuta ya gari na gazeti tu chenji irudi na aione.
4. Hataki uwe na nyumba ndogo ila ukimsogelea usiku kama haumwi na kichwa basi ni tumbo au kuchoka au subiri mtoto alale ili mradi tu akuache frustrated.
I HATE WOMEN

Heeeeeee U hate women? Go and find men. Unalalamika nini sasa huzijui plan B wewe?
 
Hizi Tabia 7 za Mwanamke zinazoshangaza, nawe ongezea uzijuazo.

1.Mwanamke siku zote hufikiria apate(kuolewa) na Mwanaume mwenye pesa na mwonekano mzuri japo yeye ni kituko na hana chochote zaidi ya begi na sim.

2.Ukimtongoza(au kumwomba urafiki),anakuuliza unafanya kazi gani wakati yeye hana kazi na anaishi kwao ama kwa dada yake mwaka wa sita huu.

3.Anapenda aolewe na mtu mwenye kazi nzuri,pesa,elimu ,nyumba ama wadhifa flani wakati yeye alifeli na yupo kwao hana dira.

4.Mkikutana mara ya kwanza kama mlikuwa hamfahamiani,anatarajia akukute smart,umetupia vitu kama suti,jeans na t-shirt ya ghalama,umenyoa vizur,unanukia manukato ya bei wakati yeye amekuja na gauni la PAJAMA,la tsh.2500 pale k/koo na amesuka mabutu,amepaka mafuta ya mgando(mamiz ama juakali.)

5.Mkiwa baa mkiagiza anakodoa macho aone unatoa sh.ngapi kulipa na kama unazitoa pesa kwenye wallet(pocket money,pochi) ama moja kwa moja kwenye surual.Wakati huo yeye zake amefunga fundo kwenye kitenge au ameshikilia au amedumbukiza kifuani zimenasa mwenye sindiria.

6.Akiona uko Smart,unapesa ama unakazi nzur kuliko jamaa aliyenae, ukimuuliza kama ana mtu atajibu yuko Single.

7.Ukiongea nae kwenye sim kabla hamjaonana,utasikia maneno kama,nacheki movie,naangalia tamthilia niko na mom na dad,Nimetoka out na mafrend zangu,niko saluni,.Kimbembe kinakuja mnapoonana unakuta hafanani na saluni wal tamthilia.Kaz inakuwa kukuonesha kwao,.Ukifanikiwa kupajua utashangaa kukuta hata hakuna kigoda.

Hao ndo wanawake bana ,ila big up wanawake mnatulea miezi tisa!Respect !.

So what!
 
4.

Hataki uwe na nyumba ndogo ila
ukimsogelea usiku kama haumwi na kichwa
basi ni tumbo au kuchoka au subiri mtoto
alale ili mradi tu akuache frustrated.
I HATE WOMEN

Hapo nimekuelewa saana mzee! "Its true women are some kind of another calamity".
 
Mwanamke akiolewa hataki mawifi zake wamtembelee au waongee na mime wake wakati yeye ndio namba wani anataka awakontroo wake za kaka zake.
2. Mwanamke aakiolewa hataki kabisa mama mkwe awatembelee wakati yeye anawasema mawifi hawamuangalii mama yake mzazi.
3. Mshahara wa mwanamke unakotumika hutajua ni wapi ila wewe ukiondoka asubuhi na laki anategemea ununue mafuta ya gari na gazeti tu chenji irudi na aione.
4. Hataki uwe na nyumba ndogo ila ukimsogelea usiku kama haumwi na kichwa basi ni tumbo au kuchoka au subiri mtoto alale ili mradi tu akuache frustrated.
I HATE WOMEN

..vunja ukimya , sema na mkeo
 
Kwan ili mtu aishi lazima aamini katika kitu/mtu?
haswa. lazima uamini katika kitu mfno ili uishi vizuri lazima uamini kuwa either maisha bora ni kitu kizuri au ukifanya kitu fulani lazima utapata maisha bora.
ili ufanye mambo yako vizuri lazima uamini kuwa unaweza kuyafanya tena kwa ufanisi ndipo unapoweza kuyafanya vizuri. ili upende au ukubali kupendwa ni lazima uamini kwanza kuwa mapenzi ni mazuri
ili ufaulu mitihani lazima uamini katika kusoma kwa bidii, au kuibia
ili ufwate mila na desturi fulani ni lazima kwanza uamini kuwa mila na desturi hizo zina make sense to you.

imani ndio msingi wa maisha ya mwanadamu. na ili uende mbinguni au motoni ni lazima uamini katika uzuri wa pepo au mbingu au uamini kuwa hayo yote ni uongo. vyote hivi ni imani.

hakuna mwanadamu ambaye haamini katika kitu chochote. lazima utakuwa unaamini katika kitu fulani.

labda ungerudi kwenye maana ya imani. imani maana yake ni kuwa na hakika juu ya jambo au kitu fulani.
je wewe humuamini yoyote hata kama ndio basi umeshaamini kuwa mtu huyo haaminiki.
you see
 
Jamani yeye kaamua kuzungumzia wanawake na tabia zao,wala hakutaka malumbano na mahojiano mengi<ameomba tuu muongezee tabia nyingine zinazowakera walizonazo wanawake,kama wewe unataka kuzungumzia wa kiume,post thread mpya!!

hili sio swali la darasani ukiambiwa eleza faida unaeleza faida ukiambiwa eleza hasara unaeleza hasara. hapa tunachambua mambo kwa kina na kwa mitazamo tofauti. sasa mkuu mbona unalazimisha watu waongeze tabia badala ya kuwaachia ukumbi wa wazi wa tafakuri za kina juu ya kilichowekwa mbele yetu?
 
haswa. lazima uamini katika kitu mfno ili uishi vizuri lazima uamini kuwa either maisha bora ni kitu kizuri au ukifanya kitu fulani lazima utapata maisha bora.
ili ufanye mambo yako vizuri lazima uamini kuwa unaweza kuyafanya tena kwa ufanisi ndipo unapoweza kuyafanya vizuri. ili upende au ukubali kupendwa ni lazima uamini kwanza kuwa mapenzi ni mazuri
ili ufaulu mitihani lazima uamini katika kusoma kwa bidii, au kuibia
ili ufwate mila na desturi fulani ni lazima kwanza uamini kuwa mila na desturi hizo zina make sense to you.

imani ndio msingi wa maisha ya mwanadamu. na ili uende mbinguni au motoni ni lazima uamini katika uzuri wa pepo au mbingu au uamini kuwa hayo yote ni uongo. vyote hivi ni imani.

hakuna mwanadamu ambaye haamini katika kitu chochote. lazima utakuwa unaamini katika kitu fulani.

labda ungerudi kwenye maana ya imani. imani maana yake ni kuwa na hakika juu ya jambo au kitu fulani.
je wewe humuamini yoyote hata kama ndio basi umeshaamini kuwa mtu huyo haaminiki.
you see

Naogopa kukijibu hapa maana ntabadili uhalisi wa uzi huu,lakini kiufupi tu mi sipo kabisa huko
 
hili sio swali la darasani ukiambiwa eleza faida unaeleza faida ukiambiwa eleza hasara unaeleza hasara. hapa tunachambua mambo kwa kina na kwa mitazamo tofauti. sasa mkuu mbona unalazimisha watu waongeze tabia badala ya kuwaachia ukumbi wa wazi wa tafakuri za kina juu ya kilichowekwa mbele yetu?

Duuuh haya lady wa chumaa!!
 
Maneno mengi lakini umetaja kitu kimoja yaani pesa/uchumi, tabia ulizosema sio saba ni Moja tu ila kwa mnyumbulisho,
Tafadhali ongeza 6 nyingine tofauti ili thread ikamilike

Hizi Tabia 7 za Mwanamke zinazoshangaza, nawe ongezea uzijuazo.

1.Mwanamke siku zote hufikiria apate(kuolewa) na Mwanaume mwenye pesa na mwonekano mzuri japo yeye ni kituko na hana chochote zaidi ya begi na sim.

2.Ukimtongoza(au kumwomba urafiki),anakuuliza unafanya kazi gani wakati yeye hana kazi na anaishi kwao ama kwa dada yake mwaka wa sita huu.

3.Anapenda aolewe na mtu mwenye kazi nzuri,pesa,elimu ,nyumba ama wadhifa flani wakati yeye alifeli na yupo kwao hana dira.

4.Mkikutana mara ya kwanza kama mlikuwa hamfahamiani,anatarajia akukute smart,umetupia vitu kama suti,jeans na t-shirt ya ghalama,umenyoa vizur,unanukia manukato ya bei wakati yeye amekuja na gauni la PAJAMA,la tsh.2500 pale k/koo na amesuka mabutu,amepaka mafuta ya mgando(mamiz ama juakali.)

5.Mkiwa baa mkiagiza anakodoa macho aone unatoa sh.ngapi kulipa na kama unazitoa pesa kwenye wallet(pocket money,pochi) ama moja kwa moja kwenye surual.Wakati huo yeye zake amefunga fundo kwenye kitenge au ameshikilia au amedumbukiza kifuani zimenasa mwenye sindiria.

6.Akiona uko Smart,unapesa ama unakazi nzur kuliko jamaa aliyenae, ukimuuliza kama ana mtu atajibu yuko Single.

7.Ukiongea nae kwenye sim kabla hamjaonana,utasikia maneno kama,nacheki movie,naangalia tamthilia niko na mom na dad,Nimetoka out na mafrend zangu,niko saluni,.Kimbembe kinakuja mnapoonana unakuta hafanani na saluni wal tamthilia.Kaz inakuwa kukuonesha kwao,.Ukifanikiwa kupajua utashangaa kukuta hata hakuna kigoda.

Hao ndo wanawake bana ,ila big up wanawake mnatulea miezi tisa!Respect !.
 
Mwanamke akiolewa hataki mawifi zake wamtembelee au waongee na mime wake wakati yeye ndio namba wani anataka awakontroo wake za kaka zake.
2. Mwanamke aakiolewa hataki kabisa mama mkwe awatembelee wakati yeye anawasema mawifi hawamuangalii mama yake mzazi.
3. Mshahara wa mwanamke unakotumika hutajua ni wapi ila wewe ukiondoka asubuhi na laki anategemea ununue mafuta ya gari na gazeti tu chenji irudi na aione.
4. Hataki uwe na nyumba ndogo ila ukimsogelea usiku kama haumwi na kichwa basi ni tumbo au kuchoka au subiri mtoto alale ili mradi tu akuache frustrated.
I HATE WOMEN
Ndugu hapo penye red omba radhi.Pamoja na mapungufu wana mazuiri yao,na huku afrika bila mke huna heshima ktk jamii.
 
Panua kwanza akili yako, then you'll meet descent women
 
Jamani mi kunakitu kinaniumiza kichwa ivi kwanini hawa wanawake wanojifanya ma sister du wanakamtindo mtu lambda ulimwomba namba tu kama rafiki basi cku akifulia tu mtamsikia anakupigia cm best nikwambie kitu we utajibu poa naomba niazime Pesa kidogo utamuliza kiasi gani 50000 haya utamjibu poa atakwambia basi nilushie humu haya umefanikiwa kumlushia ssasa basi ujinga wao akipata tu atauchuna kimya kama siye yeye mpaka umpigie ivi nikwann wapo hivi misielewi ukimnyima basi zarau znanza ukipiga simu utaskia kunakazi nafanya hawa nimashetani kiukweri nawachukia
 
Hizi Tabia 7 za Mwanamke zinazoshangaza, nawe ongezea uzijuazo.

1.Mwanamke siku zote hufikiria apate(kuolewa) na Mwanaume mwenye pesa na mwonekano mzuri japo yeye ni kituko na hana chochote zaidi ya begi na sim.

2.Ukimtongoza(au kumwomba urafiki),anakuuliza unafanya kazi gani wakati yeye hana kazi na anaishi kwao ama kwa dada yake mwaka wa sita huu.

3.Anapenda aolewe na mtu mwenye kazi nzuri,pesa,elimu ,nyumba ama wadhifa flani wakati yeye alifeli na yupo kwao hana dira.

4.Mkikutana mara ya kwanza kama mlikuwa hamfahamiani,anatarajia akukute smart,umetupia vitu kama suti,jeans na t-shirt ya ghalama,umenyoa vizur,unanukia manukato ya bei wakati yeye amekuja na gauni la PAJAMA,la tsh.2500 pale k/koo na amesuka mabutu,amepaka mafuta ya mgando(mamiz ama juakali.)

5.Mkiwa baa mkiagiza anakodoa macho aone unatoa sh.ngapi kulipa na kama unazitoa pesa kwenye wallet(pocket money,pochi) ama moja kwa moja kwenye surual.Wakati huo yeye zake amefunga fundo kwenye kitenge au ameshikilia au amedumbukiza kifuani zimenasa mwenye sindiria.

6.Akiona uko Smart,unapesa ama unakazi nzur kuliko jamaa aliyenae, ukimuuliza kama ana mtu atajibu yuko Single.

7.Ukiongea nae kwenye sim kabla hamjaonana,utasikia maneno kama,nacheki movie,naangalia tamthilia niko na mom na dad,Nimetoka out na mafrend zangu,niko saluni,.Kimbembe kinakuja mnapoonana unakuta hafanani na saluni wal tamthilia.Kaz inakuwa kukuonesha kwao,.Ukifanikiwa kupajua utashangaa kukuta hata hakuna kigoda.

Hao ndo wanawake bana ,ila big up wanawake mnatulea miezi tisa!Respect !.

Sema mchepuko unawakosea heshima ambao si mchepuko
 
Inaonekana hizo tabia ni za mtu mmoja na unamfahamu fika. Pole aliyewako hataangalia hivyo vigezo. Mchunguze kwanza kabla ya kumpa somo akikupa maneno hayo kama ndio kigezo cha mwanamke tapeli. Piga chini
 
Hizi Tabia 7 za Mwanamke zinazoshangaza, nawe ongezea uzijuazo.

1.Mwanamke siku zote hufikiria apate(kuolewa) na Mwanaume mwenye pesa na mwonekano mzuri japo yeye ni kituko na hana chochote zaidi ya begi na sim.

2.Ukimtongoza(au kumwomba urafiki),anakuuliza unafanya kazi gani wakati yeye hana kazi na anaishi kwao ama kwa dada yake mwaka wa sita huu.

3.Anapenda aolewe na mtu mwenye kazi nzuri,pesa,elimu ,nyumba ama wadhifa flani wakati yeye alifeli na yupo kwao hana dira.

4.Mkikutana mara ya kwanza kama mlikuwa hamfahamiani,anatarajia akukute smart,umetupia vitu kama suti,jeans na t-shirt ya ghalama,umenyoa vizur,unanukia manukato ya bei wakati yeye amekuja na gauni la PAJAMA,la tsh.2500 pale k/koo na amesuka mabutu,amepaka mafuta ya mgando(mamiz ama juakali.)

5.Mkiwa baa mkiagiza anakodoa macho aone unatoa sh.ngapi kulipa na kama unazitoa pesa kwenye wallet(pocket money,pochi) ama moja kwa moja kwenye surual.Wakati huo yeye zake amefunga fundo kwenye kitenge au ameshikilia au amedumbukiza kifuani zimenasa mwenye sindiria.

6.Akiona uko Smart,unapesa ama unakazi nzur kuliko jamaa aliyenae, ukimuuliza kama ana mtu atajibu yuko Single.

7.Ukiongea nae kwenye sim kabla hamjaonana,utasikia maneno kama,nacheki movie,naangalia tamthilia niko na mom na dad,Nimetoka out na mafrend zangu,niko saluni,.Kimbembe kinakuja mnapoonana unakuta hafanani na saluni wal tamthilia.Kaz inakuwa kukuonesha kwao,.Ukifanikiwa kupajua utashangaa kukuta hata hakuna kigoda.

Hao ndo wanawake bana ,ila big up wanawake mnatulea miezi tisa!Respect !.

Noumaaa sanaa
 
Tatito kubwa nimeliona kwa wanawake haswa wa Kitanzania ni ile tabia ya Kuomba pesa kwa mwanamme kila mara na muda wote hata kama ana mamilioni ya pesa!

Fanya tu utafiti mdogo mwanamke ataomba pesa tu!

Sijui sababu yake!
 
sio kila kitu muwe negative ili tu kujionyesha au kwenda na flow ya wa kwanza kucomment.... ujinga
jamaa alichodanganya kipi hapo? ni fantasy kwa kila mwanamke siku hizi kua na jamaa handsome na mwenye pesa za kutosha, awe mwenye mzuri na elimu au pesa awe hana sifa zote hizo bado ni kitu kila mwanamke anawish kua nacho...
we cha kufanya piga kazi upate hela ya kutosha, uhandsome ka huna ukiwa na hela utakuja tu ukishaanza kula vizuri unajenga mwili.. watakuja tu mwisho wa cku, tatizo watakuganda superglue cha mtoto
 
Back
Top Bottom