Tabia 7 za mwanamke zinazoshangaza

Tabia 7 za mwanamke zinazoshangaza

Hizi Tabia 7 za Mwanamke zinazoshangaza, nawe ongezea uzijuazo.

1.Mwanamke siku zote hufikiria apate(kuolewa) na Mwanaume mwenye pesa na mwonekano mzuri japo yeye ni kituko na hana chochote zaidi ya begi na sim.

2.Ukimtongoza(au kumwomba urafiki),anakuuliza unafanya kazi gani wakati yeye hana kazi na anaishi kwao ama kwa dada yake mwaka wa sita huu.

3.Anapenda aolewe na mtu mwenye kazi nzuri,pesa,elimu ,nyumba ama wadhifa flani wakati yeye alifeli na yupo kwao hana dira.

4.Mkikutana mara ya kwanza kama mlikuwa hamfahamiani,anatarajia akukute smart,umetupia vitu kama suti,jeans na t-shirt ya ghalama,umenyoa vizur,unanukia manukato ya bei wakati yeye amekuja na gauni la PAJAMA,la tsh.2500 pale k/koo na amesuka mabutu,amepaka mafuta ya mgando(mamiz ama juakali.)

5.Mkiwa baa mkiagiza anakodoa macho aone unatoa sh.ngapi kulipa na kama unazitoa pesa kwenye wallet(pocket money,pochi) ama moja kwa moja kwenye surual.Wakati huo yeye zake amefunga fundo kwenye kitenge au ameshikilia au amedumbukiza kifuani zimenasa mwenye sindiria.

6.Akiona uko Smart,unapesa ama unakazi nzur kuliko jamaa aliyenae, ukimuuliza kama ana mtu atajibu yuko Single.

7.Ukiongea nae kwenye sim kabla hamjaonana,utasikia maneno kama,nacheki movie,naangalia tamthilia niko na mom na dad,Nimetoka out na mafrend zangu,niko saluni,.Kimbembe kinakuja mnapoonana unakuta hafanani na saluni wal tamthilia.Kaz inakuwa kukuonesha kwao,.Ukifanikiwa kupajua utashangaa kukuta hata hakuna kigoda.

Hao ndo wanawake bana ,ila big up wanawake mnatulea miezi tisa!Respect !.
naona umeamua kutudhlilisha nitongoze mie uone........kamahuna hela lala mbele hiyo K yenyewe kusafisha na kuivalisha chupi nzuri kunaitaji pesa.
 
Akijikanyaga akaingia kwa mwanaume chokambaya kila mara anabaki kuwasifia anao waona kwenye tv na filamu, ukiona hivyo jua imekula kwako, anza kutafuta wa saizi yako.
 
Amaa kweli wanatamani wenye Range wakati baba zao hawana hata baiskeli,kwanini wasiwe wapole kama mama zao? Penda unapopendwa,shika uliposhhikwa la sivyo vilio vya kutumiwa na kutoswa havitoisha
 
4.
Mwanamke akiolewa hataki mawifi zake wamtembelee au waongee na mime wake wakati yeye ndio namba wani anataka awakontroo wake za kaka zake.
2. Mwanamke aakiolewa hataki kabisa mama mkwe awatembelee wakati yeye anawasema mawifi hawamuangalii mama yake mzazi.
3. Mshahara wa mwanamke unakotumika hutajua ni wapi ila wewe ukiondoka asubuhi na laki anategemea ununue mafuta ya gari na gazeti tu chenji irudi na aione.
4. Hataki uwe na nyumba ndogo ila ukimsogelea usiku kama haumwi na kichwa basi ni tumbo au kuchoka au subiri mtoto alale ili mradi tu akuache frustrated.
I HATE WOMEN

Hataki uwe na nyumba ndogo ila
ukimsogelea usiku kama haumwi na kichwa
basi ni tumbo au kuchoka au subiri mtoto
alale ili mradi tu akuache frustrated.
I HATE WOMEN

MHH KWA HAPA NDIYO UMEUA MAZIMA JAMANI!!!!!!!!!
 
mimi mke wangu ndo huwa ananitoa na toka enzi za kutongoza kwangu nimekuwa nikitolewa mimi fulu mijizawadi! Kwahiyo hapa nani mwenye tabia yako hii..................... Nisaidie ili kama sina uwezo nikaibe nipate cha kuweka kwenye wallet!
 
hizi tabia 7 za mwanamke zinazoshangaza, nawe ongezea uzijuazo.

1.mwanamke siku zote hufikiria apate(kuolewa) na mwanaume mwenye pesa na mwonekano mzuri japo yeye ni kituko na hana chochote zaidi ya begi na sim.

2.ukimtongoza(au kumwomba urafiki),anakuuliza unafanya kazi gani wakati yeye hana kazi na anaishi kwao ama kwa dada yake mwaka wa sita huu.

3.anapenda aolewe na mtu mwenye kazi nzuri,pesa,elimu ,nyumba ama wadhifa flani wakati yeye alifeli na yupo kwao hana dira.

4.mkikutana mara ya kwanza kama mlikuwa hamfahamiani,anatarajia akukute smart,umetupia vitu kama suti,jeans na t-shirt ya ghalama,umenyoa vizur,unanukia manukato ya bei wakati yeye amekuja na gauni la pajama,la tsh.2500 pale k/koo na amesuka mabutu,amepaka mafuta ya mgando(mamiz ama juakali.)

5.mkiwa baa mkiagiza anakodoa macho aone unatoa sh.ngapi kulipa na kama unazitoa pesa kwenye wallet(pocket money,pochi) ama moja kwa moja kwenye surual.wakati huo yeye zake amefunga fundo kwenye kitenge au ameshikilia au amedumbukiza kifuani zimenasa mwenye sindiria.

6.akiona uko smart,unapesa ama unakazi nzur kuliko jamaa aliyenae, ukimuuliza kama ana mtu atajibu yuko single.

7.ukiongea nae kwenye sim kabla hamjaonana,utasikia maneno kama,nacheki movie,naangalia tamthilia niko na mom na dad,nimetoka out na mafrend zangu,niko saluni,.kimbembe kinakuja mnapoonana unakuta hafanani na saluni wal tamthilia.kaz inakuwa kukuonesha kwao,.ukifanikiwa kupajua utashangaa kukuta hata hakuna kigoda.

Hao ndo wanawake bana ,ila big up wanawake mnatulea miezi tisa!respect !.

kazi kwelikweli, yangu kusoma na kufuatilia maoni ya wachangiaji wa mada husika tu bhass!!.
 
halafu kama tabia hizi zinakushangaza basi mbona hushangai na nyiniy siku hizi mkitongoza na kuanza kumuuliza mwanamke " eti unasoma una kazi au unajishughulisha na nini? swali hili linatofauti gani na tabia uliyoiweka na 2 wote wanadhamira ya kimaslai.

siku hizi wanadamu wamekaa kimaslai si wanawake si wanaume.

na hapo namba 5. wewe unamatatizo ya akili yani unatumia hasira zako kuandika vitu visivyofanana na uhalisia yani mwanamke utoke nae akiwa amevaa tenge kaweka hela katika fundo na wewe akutegemee uwe umevaa suti tena unaweka hela katika wallet. labda useme baa hiyo iliyokuwa fikirani kwako wakati unaandika ilikuwa ni ipi je ya sinza masaki manzese tabata au mbagala? au the kilimanjaro hotel?

sikiliza waswahili husema ndege warukao pamoja hufanana kwa namna moja au nyingine.
mwanamke anayekunywa pombe za kienyeji mara nyingi hutoka na wenzake wafananano hadhi .

vitu ulivyoandika vinaweza kuwapo ila si kwa namna uliyoeleza. hutemeana sana na aina ya mwanake na mahali ulipompata na makuzi malezi mazoea n.k
ila nikuhabarishe kuwa hata wanaumwe siku hizi wana vijitabia vifanannavyo na hivyo.

ukishaishi sana duniani utatamani kubadili ulichoandika na kukiweka namna nyingine.

MAONI YAKO YOTE NIMEYAPENDA KWA KIASI FULANI, ILA MSITALI HUU HAPA CHINI NIMEUPENDA ZAIDI COZ KILICHOSEMA KIKO REALISTIC MAZIMA, MSTALI WENYEWE NDIYO HUU HAPA:-

"siku hizi wanadamu wamekaa kimaslai si wanawake si wanaume."
 
tabia nyingine ya mwanamke ni kujidai anakula hotelini lakini ukienda naye hotelini hata umma hajui kushika--amezoea kula kwa mikono kwa mama muuza.
 
Hizi Tabia 7 za Mwanamke zinazoshangaza, nawe ongezea uzijuazo.

1.Mwanamke siku zote hufikiria apate(kuolewa) na Mwanaume mwenye pesa na mwonekano mzuri japo yeye ni kituko na hana chochote zaidi ya begi na sim.

2.Ukimtongoza(au kumwomba urafiki),anakuuliza unafanya kazi gani wakati yeye hana kazi na anaishi kwao ama kwa dada yake mwaka wa sita huu.

3.Anapenda aolewe na mtu mwenye kazi nzuri,pesa,elimu ,nyumba ama wadhifa flani wakati yeye alifeli na yupo kwao hana dira.

4.Mkikutana mara ya kwanza kama mlikuwa hamfahamiani,anatarajia akukute smart,umetupia vitu kama suti,jeans na t-shirt ya ghalama,umenyoa vizur,unanukia manukato ya bei wakati yeye amekuja na gauni la PAJAMA,la tsh.2500 pale k/koo na amesuka mabutu,amepaka mafuta ya mgando(mamiz ama juakali.)

5.Mkiwa baa mkiagiza anakodoa macho aone unatoa sh.ngapi kulipa na kama unazitoa pesa kwenye wallet(pocket money,pochi) ama moja kwa moja kwenye surual.Wakati huo yeye zake amefunga fundo kwenye kitenge au ameshikilia au amedumbukiza kifuani zimenasa mwenye sindiria.

6.Akiona uko Smart,unapesa ama unakazi nzur kuliko jamaa aliyenae, ukimuuliza kama ana mtu atajibu yuko Single.

7.Ukiongea nae kwenye sim kabla hamjaonana,utasikia maneno kama,nacheki movie,naangalia tamthilia niko na mom na dad,Nimetoka out na mafrend zangu,niko saluni,.Kimbembe kinakuja mnapoonana unakuta hafanani na saluni wal tamthilia.Kaz inakuwa kukuonesha kwao,.Ukifanikiwa kupajua utashangaa kukuta hata hakuna kigoda.

Hao ndo wanawake bana ,ila big up wanawake mnatulea miezi tisa!Respect !.

man wewe ni genious
 
hahahah umewapata kweli kweli. mie nashangaa demu anasema eti nataka man mwenye pesa sasa kwani kuna mwanaume anataka mwanamke asiyekuwa na hela....eti mie nitengenezwe na wazazi wangu ili ukuje kula raha wewe kisha kibubu chako cha utamu...loh!
 
Kwa uzoefu,wanawake ni headache japo naona wanajitutumua kujitetea ila vichwa vyao vinapenda kuwaza vya kusadikika.
Japo wanaume nasi ni pasua kichwa ila kinamana ni fumua kichwa kwani duh!
 
nathani hiyo tafiti iliyofanyika inalenga zaidi wadada wa miaka 10 iliyopita coz wadada wa sasa hivi walio wengi wanapenda kusoma ili waolewe wakiwa na kazi zao au hata kujiajiri katika shughuli mbalimbali ili tu asimtegemee mwanaume
 
Wenye mawazo kama hayo ni 2:80
 
naunga mkono hoja na kwa tabia hizi wife material majanga ndo maana wengine wanachezewa tu!

Huwa hawachezewi kwa sababu kama kiuno anakata mwenyewe afu baada ya shoo anatoa big up za kutosha kwamba mechi ilifana na magoli kibao yalifungwa.
 
si Kweli bwana labda uko kijijini kwenu, mbona tumeshuhudia wanawake wengi siku hizi wanawalea wanaume kwa kuwafanyia shopping, kuwapa magari wauze sura mpka kuwafuga ndani ya majumba yao, wanaume wengi wanahamia kwa wanawake, wanawake mjini ndio wenye pesa ndio watafutaji ndio watongozaji wakubwa sasa sijui huyo wa kwako umetoa wapi tena unasema kasuka mabutu wanawake siku hizi anasuka mabutu si kweli labda uko kishumundu;

Tena wanaume wengi utasikia natamani janamke la kunihonga yeye kazi yake iwe moja tu mapenzi, wanaume wa siku hizi hata kuonga shida naye anataka aongwe na mwanamke avae vizuri kama mwanamke mbona hao hujawazungumzia?

Tena wanawake wengi hawataki mambo ya kunganganiana sk hizi wanajua kutafuta anaenda mwenyewe bar, kokote anakotaka labda ashikwe tu na hamu kdg hatafuta wa faster faster maisha yanasonga mbona hao hamzungumzii.

Kuna wanaume wako bar wanawaomba bia wanawake na ananyweshwa mpka anaangusha gari mbona hao hamzungumzii. mimi nimeona mtoa maada ni alitongozaga zamani sana mbona wanawake hao siku hizi hawapo wanawake wengi siku hizi chinaaaaaaa, wanakopi faki, kucha faki, rangi feki, shepu feki mapesa ya kumwaga akitaka mwanaume anamnunua na akimzingua anachuka time vilevile a.k. dinzel
Jamani yeye kaamua kuzungumzia wanawake na tabia zao,wala hakutaka malumbano na mahojiano mengi<ameomba tuu muongezee tabia nyingine zinazowakera walizonazo wanawake,kama wewe unataka kuzungumzia wa kiume,post thread mpya!!
 
Hizi Tabia 7 za Mwanamke zinazoshangaza, nawe ongezea uzijuazo.

1.Mwanamke siku zote hufikiria apate(kuolewa) na Mwanaume mwenye pesa na mwonekano mzuri japo yeye ni kituko na hana chochote zaidi ya begi na sim.

2.Ukimtongoza(au kumwomba urafiki),anakuuliza unafanya kazi gani wakati yeye hana kazi na anaishi kwao ama kwa dada yake mwaka wa sita huu.

3.Anapenda aolewe na mtu mwenye kazi nzuri,pesa,elimu ,nyumba ama wadhifa flani wakati yeye alifeli na yupo kwao hana dira.

4.Mkikutana mara ya kwanza kama mlikuwa hamfahamiani,anatarajia akukute smart,umetupia vitu kama suti,jeans na t-shirt ya ghalama,umenyoa vizur,unanukia manukato ya bei wakati yeye amekuja na gauni la PAJAMA,la tsh.2500 pale k/koo na amesuka mabutu,amepaka mafuta ya mgando(mamiz ama juakali.)

5.Mkiwa baa mkiagiza anakodoa macho aone unatoa sh.ngapi kulipa na kama unazitoa pesa kwenye wallet(pocket money,pochi) ama moja kwa moja kwenye surual.Wakati huo yeye zake amefunga fundo kwenye kitenge au ameshikilia au amedumbukiza kifuani zimenasa mwenye sindiria.

6.Akiona uko Smart,unapesa ama unakazi nzur kuliko jamaa aliyenae, ukimuuliza kama ana mtu atajibu yuko Single.

7.Ukiongea nae kwenye sim kabla hamjaonana,utasikia maneno kama,nacheki movie,naangalia tamthilia niko na mom na dad,Nimetoka out na mafrend zangu,niko saluni,.Kimbembe kinakuja mnapoonana unakuta hafanani na saluni wal tamthilia.Kaz inakuwa kukuonesha kwao,.Ukifanikiwa kupajua utashangaa kukuta hata hakuna kigoda.

Hao ndo wanawake bana ,ila big up wanawake mnatulea miezi tisa!Respect !.

8.Kwenye mahusiano wanalalamika sana husipomcare wakat wao hawajui kucare

9.Huwa wanalalamika sana nakuona unawaonea hata kama upo right
 
Haya yote yanampata mwanaume asiyejitambua , kama wewe upo grad fulani basi utampata wa grade yako ukiona umepata kimeo jua nawe ndio kimeo namba moja....
Kama wewe ni msomi na uko smart utadondokaje kwa demu choka mbaya anayevaa gauni la mafungu k/koo?

Wakatimwingine chujeni mada zenu kabla yakuweka sio mtu unakurupuka na mada mladi uponde mademu sio issue....
 
Back
Top Bottom