Tabata

Hii hadithi nishawahi kuisoma hapa jamvini...
Mentor hebu sogea kipande hii utoe muongozo
 
Last edited by a moderator:
Mentor hapa sasa umenifungua baada ya kupitia thread yako vizuri so kinachofanyika ni kwamba mtu kaiibia story kama ilivyo ila kaifanyia mabadiliko tu hili iwe ya kwake,ila Jerrymsigwa yeye alichofanya ni kutuletea habari hii tena amekua muwazi maana kasema kataja source simply alikua anatuelimisha ivi wenzie inawezekana na yeye ni muhanga labda katumiwa au kuisoma kwenye social networks ila alisema yeye sio mhusika.
 
Last edited by a moderator:
Kumbe ushafika kutoa muongozo, hii makitu nimeisoma mara mbili mbili ila nikakumbuka nishawahi kuisoma hapa na haraka nikahisi kama mwandishi si wewe basi atakuwa ni Mtambuzi...

Naona ameshindwa kubadilisha hata font type....salaleeeeh!!!

 
Last edited by a moderator:

Pole sana ... Huu wizi wa kimajicho majicho!!
 
Kumbe ushafika kutoa muongozo, hii makitu nimeisoma mara mbili mbili ila nikakumbuka nishawahi kuisoma hapa na haraka nikahisi kama mwandishi si wewe basi atakuwa ni Mtambuzi...

Naona ameshindwa kubadilisha hata font type....salaleeeeh!!!

Ha ha haa Dokta nawe bana, kwani kuna shida gani? Jf kila siku kuna wapya wanaingia, hata hivyo mm sukuwah iona/soma. Kuhusu font si kweli, hii nimechenji toka TNR mpk Century Gothic..anyway bado inabamba tu matukio kama haya huenda yanaendelea ni vzr kukumbushana
 
Last edited by a moderator:
RIP Jerrymsigwa aka Marehemu mtarajiwa
 
Wabongo kwa kupenda sifa za kijinga bana sasa kumbe mtu umeiba kazi/hadithi ya mtu kwa nini usiacknowlegde art ya mtu kwa style hii hatufiki wala nini mambo haya ni ya kuyafanya katika miaka mitano nyuma sio sasa,thanx Watu 8 na Mentor kwa kunifahamisha kwamba hii ni kazi ya wizi mi nilisoma juu juu tu na kupata main theme basi nikasepa
 
Last edited by a moderator:
Ilitakiwa iwepo na toleo la pili

Kwahiyo ndo kusema inawezekana na wewe ukawa umeambukizwa? Sababu ulisahau kabisa matumizi ya kinga!
 

mkuu sio tu dharau si kila king'acho ni dhahabu
 

Kumbe ushafika kutoa muongozo, hii makitu nimeisoma mara mbili mbili ila nikakumbuka nishawahi kuisoma hapa na haraka nikahisi kama mwandishi si wewe basi atakuwa ni Mtambuzi...

Naona ameshindwa kubadilisha hata font type....salaleeeeh!!!

Pole sana ... Huu wizi wa kimajicho majicho!!

not me..siibi stori za watu kuzifanya zangu bila ku acknowledge mwenye nayo

Mtu wa kwanza kunifumbua macho alikuwa mdogo wangu alitumiwa message hii kwenye whatsapp group yao ya waliomaliza JKT 2013 (mujibu). Then ikatumwa kwenye group la wafanyakazi wenzangu kisha mtu mmoja mmoja akawa ananifowadia bila kumjua mwandishi.

Part of me ikataka kuwaambia ukweli part of me ilitaka ku-conceal ID yangu ja JF..nikabaki kimya.

Leo nimeiona hapa...duh! Ningefurahi sana kama ingekuwa inasambaa in its original form (maybe na ka-acknowledgement) ila hii remix ambayo hata siko featured duh!

Eniwei naendelea na uchunguzi so far nina watuhumiwa wawili wote wanafunzi wa Mzumbe mmoja wa kike mmoja wa kiume sijajua bado ilianzia kwa nani kati yao exactly.
 
pole sana Mentor hayo ndio mambo ya copyright kaka yangu.
Ulinzi wa vitu hivi una changamoto nyingi, hivyo ni vyema ukifanya kitu chako kama kina thamani ukisajili COSOTA.

hii ni hadith but watu wanacopy dili kubwa na za maana.. mfano Dili la Malaria sugu (kama kuna ukweli ktk sakata lile)
 
Last edited by a moderator:

kaka kipaji hicho.. ongeza ubunifu uanze kunufaika sasa. Niliko bold.. hahaaaa, kweli mtunzi wetu ilibidi wakupe heshima yako bana.
 
Mentor samahani kwa hili swali langu,nataka kujua upande wako ni story ya kweli ambayo wewe ni mhusika au ilikua ni nadharia ya kutaka kuelimisha,bado sintokua na tatizo kama hauko katika utayari wa kujibu ni sahihi pia.
 
Last edited by a moderator:

Mhhh 2013 break point mpyaaa huu uwongo wa wazi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…