secretarybird
JF-Expert Member
- Aug 22, 2024
- 21,119
- 43,026
🔥💪Wapelekee moto
🔥💪Wapelekee moto
Siweziii [emoji23][emoji23][emoji23][emoji28][emoji28]
Ndio maisha kaka 😁🙏🏽Nimecheka lakini umeongea fact!
ni kwel nikikupangia kisasi huchomoki asilimia 100% make hutanidhania asee.Inasemekana watu wanaotabasamu wakati wa hasira hua watu wabaya sana wanaweza kufanya matukio ya kutisha
Usilipe visasini kwel nikikupangia kisasi huchomoki asilimia 100% make hutanidhania asee.
Mim ni mpole mkimya
na bora nikupangie kisasi tu, nikisema nimuachie Mungu, utajuta nakunihs mim mchawi.Usilipe visasi
Tabasamu 😊😊na bora nikupangie kisasi tu, nikisema nimuachie Mungu, utajuta nakunihs mim mchawi.
Ila kwa sasa nishajigundua mtu akinikosea natabasam na kupotezea
NIPATE FURAHATabasamu
wap my dear nije chap?Nikupe location uje kunywa bia