KING COBRA
JF-Expert Member
- Nov 10, 2011
- 2,782
- 877
Umemsikia Prof Maji MarefuWakati dunia na mataifa ya Magharibi ya Ulaya na Marekani, yakifanya jitihada kubwa kukusanya wasomi wenye vipaji toka sehemu mbalimbali duniani, kwa ajili ya tafiti na vumbuzi ili kijipeleka mbele zaidi kisayansi na kiteknolojia;
na wakati wasomi wanaosaka maslahi zaidi kimaisha wakiendelea kukimbilia Ulaya na Marekani (Brain drain), Wabunge masilahi Tanzania wanafanya jitihada za kubwa kufukuza na kuwakatisha tamaa wachache wenye nyoyo za Uzalendo.
Profesa Muhongo, ni mmoja wa wanasayansi mahiri katika sayansi ya madini (Geologist), anayetambuliwa na kuheshimika na mashirika mbalimbali ya kisayansi na tafiti ulimwenguni.
Miongoni mwa taasisi zinazoaminika kimataifa zinazomtambua na kumtumia Profesa Muhongo katika uwezo wake wa utendaji wa Kazi ni pamoja na FGSA la Marekani, FGS la London, Uingereza: Hon FCAGS la London, Uingereza; Hon FCGS la China, na Chuo cha kuendelea Sayansi ya dunia (FTWAS).
(Source AL-HUDA)
Hana tatizo kwenye profession yake (geologist)
Tatizo lake liko kwenye uwajibikaji wake kama waziri.
Akaendelee kupiga chaki na kuandika mapaper mbona atafika mbali sana, lakini asiingie kwenye siasa malumbano hayawezi atakufa mapema bure kwa pressure.
hata mimi pia simkubaliPunguza jazba wewe! Si kosa la Prof. Muhongo wewe kuwa hivyo ulivyo. Huoni kuwa wewe ndo unajidhalilisha kwa chuki zako za waziwazi?! Kama wewe humkubali, wapo wanaomkubali na kila mtu ana haki ya kutoa maoni yake. Huyo fisadi papa Mengi ndo unadai anatambulika ndani na nje ya nchi? Kwa lipi? Wizi, wivu na chuki kwa wapenda maendeleo?
Wakati dunia na mataifa ya Magharibi ya Ulaya na Marekani, yakifanya jitihada kubwa kukusanya wasomi wenye vipaji toka sehemu mbalimbali duniani, kwa ajili ya tafiti na vumbuzi ili kijipeleka mbele zaidi kisayansi na kiteknolojia;
na wakati wasomi wanaosaka maslahi zaidi kimaisha wakiendelea kukimbilia Ulaya na Marekani (Brain drain), Wabunge masilahi Tanzania wanafanya jitihada za kubwa kufukuza na kuwakatisha tamaa wachache wenye nyoyo za Uzalendo.
Profesa Muhongo, ni mmoja wa wanasayansi mahiri katika sayansi ya madini (Geologist), anayetambuliwa na kuheshimika na mashirika mbalimbali ya kisayansi na tafiti ulimwenguni.
Miongoni mwa taasisi zinazoaminika kimataifa zinazomtambua na kumtumia Profesa Muhongo katika uwezo wake wa utendaji wa Kazi ni pamoja na FGSA la Marekani, FGS la London, Uingereza: Hon FCAGS la London, Uingereza; Hon FCGS la China, na Chuo cha kuendelea Sayansi ya dunia (FTWAS).
(Source AL-HUDA)
Wewe usipende kutukana wenzio jibu hoja. Wewe mwenyewe ulete hoja halafu uanze kutukana. Hao wanaomtukuza ndiyo waliomtumia ili atuibie ili wao wanufaike. Mzungu diku zote anajali masilahi na si taaluma. Hao wamarekani unaowasifu wanevamia mataifa mangapi na kuua wananchi ovyo kwa ajili ya maslahi yao ?!! kama hujui kusoma hata vyombo vya habari husikilizi !!?Zimamoto
Alhuda ni gazeti: majukwaa yametajwa katika thread: hajakuharibia kitu we pimbi: hajapakwa mafuta kwa mgongo wa chupa, ni juhudi zake binafsi, acha kujidharau mwafrika wewe.
Sasa alikubali nini kutumika katika mambo ya kisiasa ambayo hajui hili wala lile!Kwani Prof. Muhongo alikuwa mwanasiasa?
Wakati dunia na mataifa ya Magharibi ya Ulaya na Marekani, yakifanya jitihada kubwa kukusanya wasomi wenye vipaji toka sehemu mbalimbali duniani, kwa ajili ya tafiti na vumbuzi ili kijipeleka mbele zaidi kisayansi na kiteknolojia;
na wakati wasomi wanaosaka maslahi zaidi kimaisha wakiendelea kukimbilia Ulaya na Marekani (Brain drain), Wabunge masilahi Tanzania wanafanya jitihada za kubwa kufukuza na kuwakatisha tamaa wachache wenye nyoyo za Uzalendo.
Profesa Muhongo, ni mmoja wa wanasayansi mahiri katika sayansi ya madini (Geologist), anayetambuliwa na kuheshimika na mashirika mbalimbali ya kisayansi na tafiti ulimwenguni.
Miongoni mwa taasisi zinazoaminika kimataifa zinazomtambua na kumtumia Profesa Muhongo katika uwezo wake wa utendaji wa Kazi ni pamoja na FGSA la Marekani, FGS la London, Uingereza: Hon FCAGS la London, Uingereza; Hon FCGS la China, na Chuo cha kuendelea Sayansi ya dunia (FTWAS).
(Source AL-HUDA)
Rais alijua kabisa atasimamia vizuri rasilimali za nchi akiwa Waziri wa Nishati na Madini ndio maana wezi walichukia! Wewe Mburula kweli . Hilo nalo sawali? Nimekuonea tu huruma kukujibu!
Wakati dunia na mataifa ya Magharibi ya Ulaya na Marekani, yakifanya jitihada kubwa kukusanya wasomi wenye vipaji toka sehemu mbalimbali duniani, kwa ajili ya tafiti na vumbuzi ili kijipeleka mbele zaidi kisayansi na kiteknolojia;
na wakati wasomi wanaosaka maslahi zaidi kimaisha wakiendelea kukimbilia Ulaya na Marekani (Brain drain), Wabunge masilahi Tanzania wanafanya jitihada za kubwa kufukuza na kuwakatisha tamaa wachache wenye nyoyo za Uzalendo.
Profesa Muhongo, ni mmoja wa wanasayansi mahiri katika sayansi ya madini (Geologist), anayetambuliwa na kuheshimika na mashirika mbalimbali ya kisayansi na tafiti ulimwenguni.
Miongoni mwa taasisi zinazoaminika kimataifa zinazomtambua na kumtumia Profesa Muhongo katika uwezo wake wa utendaji wa Kazi ni pamoja na FGSA la Marekani, FGS la London, Uingereza: Hon FCAGS la London, Uingereza; Hon FCGS la China, na Chuo cha kuendelea Sayansi ya dunia (FTWAS).
(Source AL-HUDA)
Wakati dunia na mataifa ya Magharibi ya Ulaya na Marekani, yakifanya jitihada kubwa kukusanya wasomi wenye vipaji toka sehemu mbalimbali duniani, kwa ajili ya tafiti na vumbuzi ili kijipeleka mbele zaidi kisayansi na kiteknolojia;
na wakati wasomi wanaosaka maslahi zaidi kimaisha wakiendelea kukimbilia Ulaya na Marekani (Brain drain), Wabunge masilahi Tanzania wanafanya jitihada za kubwa kufukuza na kuwakatisha tamaa wachache wenye nyoyo za Uzalendo.
Profesa Muhongo, ni mmoja wa wanasayansi mahiri katika sayansi ya madini (Geologist), anayetambuliwa na kuheshimika na mashirika mbalimbali ya kisayansi na tafiti ulimwenguni.
Miongoni mwa taasisi zinazoaminika kimataifa zinazomtambua na kumtumia Profesa Muhongo katika uwezo wake wa utendaji wa Kazi ni pamoja na FGSA la Marekani, FGS la London, Uingereza: Hon FCAGS la London, Uingereza; Hon FCGS la China, na Chuo cha kuendelea Sayansi ya dunia (FTWAS).
(Source AL-HUDA)
Tena unaambiwa deni la Tanesco limepanda mara tatu zaidi tokea aingie madarakani. Huyo ndio wa kujivunia?
Sikubaliani nawe MTK. Najua wapo walio usingizini bado, wanaomwabudu fisadi Mengi kama Mungu-mtu wao. Hao ndio wanamwogopa Muhongo na wanahofu kubwa akirejea ulingoni. Kwa sababu hiyo wanapambana usiku na mchana kuhakikisha wanamchafua na kujaribu kuwaaminisha watu kuwa hafai. Watanzania wengi tunamwmini Muhongo na tunamhitaji saaana. So, mleta mada Kudos!!
hatukatai. tatizo lake ni kukubali kwenda kuchanganyika na serikali ya wezi. alipokubali ule uteuzi wa dezo wa JK ndipo wengi tulipogundua huyu jamaa ni wale wale tu miongoni mwa maprofesa vilaza.
So he's dead like you eh??? You are already dead my dear! Yani wewe ndio huna chembe kabisa za akili. Tena nitamwambia baba yako akudai ada yake aliyokusomeshea. Umempotezea kabisa rasilimali fedha zake!
Sasa alikubali nini kutumika katika mambo ya kisiasa ambayo hajui hili wala lile!
In fact alikuwa kama samaki anyeogelea nchi kavu!!!