Wapigaji ninyi ndio mlimfanya aonekane hivyo!
nani alisema umekwisha wakati Takukuru bado wanaendelea na upepelezi!
mkuu achana na muhongo,kapagawa baada ya kupigwa chini uwaziri na nguvu ya umma!
Kama zilivyo za kwako . Maana wewe muda wote mlevi. Hujawahi kuongea kauli inayopimika tangu nianze kukufahamu. Kauli zako zote Mataputapu!
Nyabhingi, kwanini unawadhalilisha watanzania kwamba si wafuatiliaji wa mambo?! Ni lini Muhongo alipigwa chini uwaziri? Sote tulishuhudia Prof akijiuzulu mwenyewe wadhifa wake. Mwenzetu unatoa wapi taarifa hizo za uongo?
Yani kama mimi ni Zero Brain wewe ni matope.
Katika kikao cha ndani ya CCM, Waziri wa Nishati Prof. Sospeter Muhongo amesema bayana kwamba hatishwi na wababaishaji na kamwe hawezi kujiuzulu kutokana na chuki za mafisadi wanaopigania vitalu vya gesi na kama atalazimika kujiuzulu siyo bunge litayumba bali ardhi ya Tanzania itatikisika.
Kama wewe unavyopitiwa nao kila siku.
Mimi ninadhani tunachanganya mambo. Hata hapa nchini hakuna mtu wala kikundi ambacho kimedai au kutilia shaka uwezo wa Prof Muhongo kwenye taaluma yake ya miamba. Prof aliporejea hapa nchini aidha kwa kuitwa au kwa ridhaa yake alikuja kutumika zaidi kisiasa wala sio kwenye taaluma yake, na kilichomuandama hakihusiani na taaluma yake bali ni utendaji kama mwana siasa na ndicho kilichomtoa kwenye uwaziri. Tatizo liko wapi?Wakati dunia na mataifa ya Magharibi ya Ulaya na Marekani, yakifanya jitihada kubwa kukusanya wasomi wenye vipaji toka sehemu mbalimbali duniani, kwa ajili ya tafiti na vumbuzi ili kijipeleka mbele zaidi kisayansi na kiteknolojia;
na wakati wasomi wanaosaka maslahi zaidi kimaisha wakiendelea kukimbilia Ulaya na Marekani (Brain drain), Wabunge masilahi Tanzania wanafanya jitihada za kubwa kufukuza na kuwakatisha tamaa wachache wenye nyoyo za Uzalendo.
Profesa Muhongo, ni mmoja wa wanasayansi mahiri katika sayansi ya madini (Geologist), anayetambuliwa na kuheshimika na mashirika mbalimbali ya kisayansi na tafiti ulimwenguni.
Miongoni mwa taasisi zinazoaminika kimataifa zinazomtambua na kumtumia Profesa Muhongo katika uwezo wake wa utendaji wa Kazi ni pamoja na FGSA la Marekani, FGS la London, Uingereza: Hon FCAGS la London, Uingereza; Hon FCGS la China, na Chuo cha kuendelea Sayansi ya dunia (FTWAS).
(Source AL-HUDA)
Hilo swali kamuulize Shangazi yako , kizaa mjomba, kizaa mpwa wako maana limechanganyikana sana, HAKIKA sikuelewii
Wewe umedhihirisha upu.uzi wako hapa jamvini na sijui ni ugeni wako au uwezo mdogo wa fikra. Mada hii umeileta wewe na mdau kakuuliza tena kiungwana kabisa sasa hayo mambo ya shangazi yake mara mjomba yametoka wapi?
Ni watu wenye uwezo hafifu tuu ndio wanaoleta hoja JF kisha kushindwa kuisimamia na kuishia kutukana watu. Usitushushie heshima ya jukwaa letu. Ndio maana watu hapo juu wamekuita Muhungo kwani hata yeye alikuwa hana majibu ya maana ya akisemacho zaidi ya kejeli na zimemtoa kwa aibu.
So, hao RAIA according to you ni Mengi peke yake? Kama Mengi ni mzalendo kama unavyodai, alishindwa nini kuviendeleza vitalu vya madini alivyopewa kabla kwa manufaa ya Taifa ukiwemo wewe? Kwa sifa hiyo hata mimi ningemwunga mkono kuwa apewe vitalu vya gesi. Anajilimbikizia tu mali kwa manufaa ya tumbo lake binafsi, eti MZAWA!! Hana uchungu na nchi wala watanzania kama anavyojinadi. Wewe tukana kadri uwezavyo lakini ukweli utabaki palepale, Mengi ni fisadi la kutupa na tumeling'amua hilo. Tunashukuru Muhongo kwa kututoa tongotongo. Nina amani sana sababu najua hata ktk uongozi mpya wa wizara, hapati kitu. In short, amekwama!!
Wakati dunia na mataifa ya Magharibi ya Ulaya na Marekani, yakifanya jitihada kubwa kukusanya wasomi wenye vipaji toka sehemu mbalimbali duniani, kwa ajili ya tafiti na vumbuzi ili kijipeleka mbele zaidi kisayansi na kiteknolojia;