Wakati dunia na mataifa ya Magharibi ya Ulaya na Marekani, yakifanya jitihada kubwa kukusanya wasomi wenye vipaji toka sehemu mbalimbali duniani, kwa ajili ya tafiti na vumbuzi ili kijipeleka mbele zaidi kisayansi na kiteknolojia;
na wakati wasomi wanaosaka maslahi zaidi kimaisha wakiendelea kukimbilia Ulaya na Marekani (Brain drain), Wabunge masilahi Tanzania wanafanya jitihada za kubwa kufukuza na kuwakatisha tamaa wachache wenye nyoyo za Uzalendo.
Profesa Muhongo, ni mmoja wa wanasayansi mahiri katika sayansi ya madini (Geologist), anayetambuliwa na kuheshimika na mashirika mbalimbali ya kisayansi na tafiti ulimwenguni.
Miongoni mwa taasisi zinazoaminika kimataifa zinazomtambua na kumtumia Profesa Muhongo katika uwezo wake wa utendaji wa Kazi ni pamoja na FGSA la Marekani, FGS la London, Uingereza: Hon FCAGS la London, Uingereza; Hon FCGS la China, na Chuo cha kuendelea Sayansi ya dunia (FTWAS).
(Source AL-HUDA)
IPILIMO, kwa kiasi fulani unanishawishi lakini, wizara kama ile ya nishati na madini inahitaji kiongozi msomi, mzalendo kwelikweli na asiyetetereshwa na mafisadi. Sifa hizo Muhongo anazo na ninaamini JK alimpa nafasi hiyo kwa kulitambua hilo.Kilicho mponza mhongo ni siasa; siasa ni mchezo mchafu; kamwe huwezi fananisha na taaluma zingine za kitaalamu; mtu kama prof. Mhongo haikuwa vema kumtumia katika siasa za nchi hii, na penginepo sehemu nyingi duniani, lazima mziki wa wanasiasa hasa ambao elimu ya shule ni ndogo ungemshinda.....si unajua kwenye siasa unaweza kuwa unajua kusoma na kuandika tu!!!!!!!!!! Ila kwakuwa mhongo anajitambua hawezi fedheheka sana, japo machoni pa watu wengi kwakweli alifedheheka..... Siasa waachiwe akina lukuvi na wengineo...
hajapumzishwa, kajipumzisha we kilaza, anawasoma tu, subirini ujio wake ambao wewe na vibaraka wenzio wote lazima mkimbie nchi
IPILIMO, kwa kiasi fulani unanishawishi lakini, wizara kama ile ya nishati na madini inahitaji kiongozi msomi, mzalendo kwelikweli na asiyetetereshwa na mafisadi. Sifa hizo Muhongo anazo na ninaamini JK alimpa nafasi hiyo kwa kulitambua hilo.
Yani wewe hadi leo hujui tu tatizo sio Utaalamu wake bali ni wanasiasa wenye chuki na visasi? wafanyabiashara wezi na warafi na mafisadi ndio wamesababisha? kama ni mfuatiliaji mzuri utagundua huyu Mzee hakuwa amekaa kianasiasa kama wanasiasa walio wengi. Mwanzo umeanza vizuri nashindwa kukuelewa kwanini umeshindwa kutegua kitendawili hiki! Na wewe changanya na akili zako. Nimeshakuona unashindwa sana katika hili!
Kama zinamtambua ndo iweje sasa....?
Mtaendelea ku guess hivyo hivyo. Makamanda wanamkubali wala yeye haitaji kuingia JF, atafute nini kwanza! Tuseme sisi wachokaza mada!
Sioni logic katika hii comment yako. Issue si lini mtu kajiunga JF. Jenga hoja.karibu JF muhongo
Join Date : 6th February 2015
Posts : 55 Rep Power : 312
Likes Received4
Likes Given1
kauli zingine kama za kilevi.
mkuu achana na muhongo,kapagawa baada ya kupigwa chini uwaziri na nguvu ya umma!
nimejiridhisha wewe ni zero brain soospeter muhongo,bora ungekaa kimya.
Wafanyabiashara na mafisadi wanahusika vipi kuhusu yeye kutambua kuna pesa ya uma kwenye account ya escrow?
Au walimpa rushwa ikalemaza uwezo wake wa kifikiri? Au aliamua kwa hiari yake kushiriki wizi na kuwatetea?
mkuu achana na muhongo,kapagawa baada ya kupigwa chini uwaziri na nguvu ya umma!