Rejao
JF-Expert Member
- May 4, 2010
- 9,220
- 4,059
Kumbe hapa ni mvuto na wala siyo hoja??Tatizo habari za CHAUSTA hazivutii wachangiaji!
Kumbe hapa ni mvuto na wala siyo hoja??Tatizo habari za CHAUSTA hazivutii wachangiaji!
...leo mnawanunua waislam feki kuwasafisha.
kwanza taasisi zenyewe zimeanzishwa lini izo mbona sijawai kuziskia,au ndo kazi maalum ya kuisafisha cdm?
hii jf kwa cdm!! Lol..naona kila kukicha ni habari za cdm tu..hivi tz kuna chama kimoja tu cha upinzani?
Hii JF kwa CDM!! Lol..naona kila kukicha ni habari za CDM tu..hivi TZ kuna chama kimoja tu cha upinzani?
Hata mimi nasubiri Bakwata. Hawa nao inawezekana wanaganga njaa
Ndani ya CCM kuna wakristo na waislam makini. Ndani ya CDM kuna wakristo na waislamu makini. Vivyo hivyo katika Taasisi mbalimbali za Umma na kijamii. Huko kote watu hao wanafanyakazi bila kubaguana na wakati mwingine bila hata kuulizana dini zao.mimi sijui cha ccm apa,rais wa kwanza wa tz alikuwa mkiristo na watanzania wote tulimkubali,mkapa ni mkristo tumemwamini wote hawa wanatoka ccm.kwa ivo huwezi kuinasibu ccm na uislam ni kujidanganya na kupotosha umma.CHAGA Development manifesto ndio imejikita kanisani na hilo wao wanalikubali..nashukuru pia na wewe umekubaliana na hilo,sasa cdm isajiliwe kama taasisi ya kidini badala ya chama cha siasa...
mti wenye matunda ndio unaorushiwa mawe
CDM hawana tofauti na TLP 2005. Nimejaribu kufanya karesearch kadogo hapa JF nimegundua kuwa CDM imepoteza mvuto sana. Mpaka 2014 naamini watakuwa wamepotea kabisa!vema sana, umejijibu swali lako mwenyewe vizuri sana
Tena wewe kaa pembeni kabisa na wala mimi si mwana-CCM mie CUF dam dam. Inaonekana huna data. Tena usihusianishe POLISI na siasa that is Governmental institute. Hivi unajua maeneo ambayo polisi walitumia nguvu? sasa leo nakueleza ili ukawashauri viongozi wako vizuri. Maeneo mengi ambayo polisi walitumia nguvu ni yale ambayo Katibu wako mkuu na Mwenyekiti wako walipanda majukwaani kuwaambia wananchi wasitii amri ya Polisi. Maeneo hayo ni kama vile Arusha, Igunga, Dodoma, Mara na kwingineko, Sasa kama wananchi walishaambiwa majukwaani wasitii amri na chombo halali cha Serikali what did u expect. Yaani hata ile semina waliyopewa Bungeni na SAID MWEMA ya Utii wa bila kushurutishwa haikuingia akilini mwao. What these type of leaders do we expect in the future?
hao waislamu unaosema hapo kwenye nyekundu ni wangapi? Mi naona kama kuna wawili tu, mmoja ni yule mpemba na mwingine anaefanyiwa kila njia atolewe(Zitto)Ndani ya CCM kuna wakristo na waislam makini. Ndani ya CDM kuna wakristo na waislamu makini. Vivyo hivyo katika Taasisi mbalimbali za Umma na kijamii. Huko kote watu hao wanafanyakazi bila kubaguana na wakati mwingine bila hata kuulizana dini zao.
Humu JF pia makundi hayo yapo, lakini utagungua ya kuwa wale wachangiaji makini wanakwepa sana kuyazungumza maneno ya kijinga kama haya yako kwa vile ni fikra potofu na mara nyingi zinatoka kwa watu wasiojiamini au wanaotumiwa kuvuruga kutokana na kuendekeza njaa zao.
Dini ni Imani binafsi, ya mwenzio haikusaidii kuongoka katika ile ya kwako kwa nini usiachane nayo? watu wamejikita kwenye malumbano ya Uislamu na Ukristo kama vile hakuna dini zingine kwa nini kama huo sii ujinga? mbona kuna wahindu,Budha nk hatusikii kelele?
Tuache ujinga na ufinyu wa mawazo, hawa watawala wa ovyo ovyo wataendelea kutumia UDINI kama silaha ya kuvuruga harakati za mageuzi kwa kutugawa. TUUKATAE.
CCM,CHADEMA,CUF na vinginevyo ni vyama vya Watanzania wote bila kujali dini, ila TEC,BAKWATA, BAMITA, CCT nk ndizo Taasisi za dini.
Kumbe tanzania bado utumwa upo? Au ni maneno ya kisiasa kuwahadaa wananchi kuwa wanahitaji ukombozi?Hadi hapo wantazania watamtambua adui wao ambao anawagawa kwa madhumuni ya kuendelea kutawala, ukombozi wa kweli wa mtanzania utaendelea kuwa ndoto.
Mbowe alimpiga kofi mwangalizi maalum wa kiislam huko hai na kesi ipo mahakamani,sumbawanga wakristo walitengwa kanisani kisa wameunga mkono mgombea mwislam wa ccm,leo mnawanunua waislam feki kuwasafisha.
Kwanza taasisi zenyewe zimeanzishwa lini izo mbona sijawai kuziskia,au ndo kazi maalum ya kuisafisha cdm?
hujui utendalo wewe,unafata tu mkumbo.hiyo tarifa tunayo na jana mmeufuta ukweli ulotolewa apa kuhusu hao waislam feki na taasisi zao feki maalum kwa ajili ya kuisafisha chaga development manifesto ionekane si ya wakatoliki....leo mmekurupuka toka usingizini mmeleta ndoto zenu apa...wizi mtupu..hao jamaa mtawaongeza sh ngp toka hiyo laki 8 mlowapa?
ccm ni uislam damdamhawa wamenunuliwa kwa pesa ndogo sana ili wafanye propaganda ya kuwadanganya waislam.jana kulikuwa na thred inayosema wamehongwa laki 8 si mmeona?hatudanganyiki ht siku moja.cdm na ukristo na uchaga dam dam