Taasisi za Kiislamu zaisafisha CHADEMA

Taasisi za Kiislamu zaisafisha CHADEMA

Kama BAKWATA wamenunuliwa na CCM,basi nayo Chadema imenunua kwa bei poa BATAMIKI na IPF kwa bei poa kwa kuwapa viongozi wa taasisi hizo viroba vya mchele na mafuta ya kula! Chadema lazima iamue yenyewe bila unafiki kuachana na Kanisa Katoliki isitafute vibaraka wa kuikanushia kuwa haina udini! Viongozi wa Chadema wafike waseme sasa Kanisa basi tuacheni tuiendeshe Chadema yetu! Ukiristo Chadema na Uchaga upo bila kificho!

Hajjat Mlengo wa Kati nadhani Bar Kwata watatolea tamko
 
Kuelewa jambo si kwa kueleweshwa tu,ila mpaka mtu mwenyewe aamue kuelewa.
Humu ndani kuna watu kumwelewesha ni sawa na kumpigia mbuzi gitaa ukadhani unamburudisha atacheza
 
Suala la Udini hasa Ukiristo ndani ya Chadema kwa kushirikiana na Kanisa Katoliki kulikanusha lazima Uwe kichaaa! Chadema inanuka harufu mbaya ya Ukiristo hasa Kanisa Katoliki!

Wanatumia Waislam kukanusha eti Chadema hakuna Ukiristo! Waseme wao viongozi na waachane na siasa uchwara za Ukabira(uchaga) na Udini(ukiristo/Katoliki)!
 
Suala la Udini hasa Ukiristo ndani ya Chadema kwa kushirikiana na Kanisa Katoliki kulikanusha lazima Uwe kichaaa! Chadema inanuka harufu mbaya ya Ukiristo hasa Kanisa Katoliki!
Mbona hili lipo wazi? Katibu mkuu wao mwenyewe Padre, sasa hapo unategemea nini?
 
Kama BAKWATA wamenunuliwa na CCM,basi nayo Chadema imenunua kwa bei poa BATAMIKI na IPF kwa bei poa kwa kuwapa viongozi wa taasisi hizo viroba vya mchele na mafuta ya kula! Chadema lazima iamue yenyewe bila unafiki kuachana na Kanisa Katoliki isitafute vibaraka wa kuikanushia kuwa haina udini! Viongozi wa Chadema wafike waseme sasa Kanisa basi tuacheni tuiendeshe Chadema yetu! Ukiristo Chadema na Uchaga upo bila kificho!
Niko bize nasoma SATANIC VERSES ni kitabu kizuri mno kukisoma
 
Uungwana ni vitendo. So tuwape nafasi taasisi hizi za dini kujirekebisha......tamko lao lazima liendane na vitendo otherwise halitakuwa na maana.
 
Chadema watoe tamko waseme kuanzia mwaka 2012 wata achana na Kanisa Katoliki na wasema wataachana na siasa za ukabira kwa Chama hicho kutokumilikiwa na Wachaga!
nlikuwa nakukumbusha kuwa OSAMA is dead
Mbowe ni mkatoliki????????
slaa ni mchagaaa
Zitto ni mkatoliki????????
AFRI NI MKATOLIKI

CDM dini pembeni uwezo kwanza. Mlikuja na hoja yenu ya kipuuzi mara Habib Mchange afanywe mwenyekiti BAVICHA kisa muislam
 
Mbowe alimpiga kofi mwangalizi maalum wa kiislam huko hai na kesi ipo mahakamani,sumbawanga wakristo walitengwa kanisani kisa wameunga mkono mgombea mwislam wa ccm,leo mnawanunua waislam feki kuwasafisha.

Kwanza taasisi zenyewe zimeanzishwa lini izo mbona sijawai kuziskia,au ndo kazi maalum ya kuisafisha cdm?

kaka kaka uwe mkweli kutengwa kule kuliwahusu wakatoliki tu ambao walikufuru kanisa na utatu mtakatifu usiwe mwongo sumbawanga yenyewe unayosema ina wakatoliki 90% ambapo na uhakika waisilamu kule Rukwa hata hawafiki 5%, acha unafiki na ueche udini huo. Hivi imagine kama wakristo tungekuwa na roho nyepesi ya ugomvi kama zenu hivi hii nchi au hata dunia hii ingekalika kweli! Nafika mahari kwa kiasi fulani naamini maneno ya sheik Yahaya kuwa waisilamu wangezidi hata kwa 1% tu dunia isingekalika hebu angalia nchi zifuatazo Iraq, Libya, Tunisia, Misri, Sudan, Somalia, Syria, Lebanon, Palestine zote hizi zinatawaliwa na sharia lakin watu ni wabinafsi wanaopenda kujilimbikizoia mali. Hebu tulieni tumechoka kusikia watu wakiuana kwenye hizi nchi tuacheni tuishi kwa amani mmezidi uzushi. Nashangaa Leo mnabadirisha eti wale waliotengwa na kanisa ni Muslim mbona wameomba msamaha na wamerudi kanisani, msijichanganye kama sakata la mkuu wa wilaya ambaye sisi tunampa yesu ekaristi na kumlisha kiti moto baadaye mnadai muumini wenu. Sis wezenu watu wetu tunajua kwa ubatizo na si kwamajina kama mfanyavyo. Hebu elimikeni ili mgundue jinsi ya kuwatambua watu wenu. Hadi vyeti vya ubatizo vinatambulika na serikali nyinyi natumia identy gani, kama kusingekuwa na vyeti vya kupigia kura basi nyinyi hamna identy yeyote. Kuweni wabunifu bwana haiwezekani waumini wenu mkawatambua kwa kuvaa kanzu na balaghashia sio wote wavaao hivyo ni waisilamu wengine wanavaa kama style tu.
 
Wapinzani wa CDM inabidi wabadili mbinu za kukipaka matope, maana huo wimbo wa udini na ukabila unaonekana kabisa umeshindwa kufanya kazi.
 
CHADEMA bwana, I don't understand how lessminded they are. Hivi sasa nanyie mmekubali kuwa CCM B. Wawoooooooooo. Mmenasika kirahisi kweli. I knew it, there is only parties in this Contry CCM and CUF. Jamaa kaone anafilisika sasa anaamua kukabidhi chama kwa wenyewe. Au BILCANA imezidiwa na madeni? na sikia walikubaliana kwamba mshiko wa ruzuku na zile za kutoka kwa mama kule Ujerumani ni kwa ajili ya maandamano na vurugu zisizo za lazima then contributions za Mtei, Mbowe na Ndesa ndo zifanye mambo ya kama kujenga ofisi na vitu kama hivyo. Tusubiri tuone mwisho wake. Ila nadhani sasa Atasimamishwa prof. LIPUMBA 2015

...Ungeandika kwa kiswahili ungeeleweka vizuri zaidi. Hapo kwenye nyekundu panatufanya tuanze kuhoji uelewa wako.
 
kaka kaka uwe mkweli kutengwa kule kuliwahusu wakatoliki tu ambao walikufuru kanisa na utatu mtakatifu usiwe mwongo sumbawanga yenyewe unayosema ina wakatoliki 90% ambapo na uhakika waisilamu kule rukwa hata hawafiki 5%, acha unafiki na ueche udini huo. Hivi imagine kama wakristo tungekuwa na roho nyepesi ya ugomvi kama zenu hivi hii nchi au hata dunia hii ingekalika kweli! Nafika mahari kwa kiasi fulani naamini maneno ya sheik yahaya kuwa waisilamu wangezidi hata kwa 1% tu dunia isingekalika hebu angalia nchi zifuatazo iraq, libya, tunisia, misri, sudan, somalia, syria, lebanon, palestine zote hizi zinatawaliwa na sharia lakin watu ni wabinafsi wanaopenda kujilimbikizoia mali. Hebu tulieni tumechoka kusikia watu wakiuana kwenye hizi nchi tuacheni tuishi kwa amani mmezidi uzushi. Nashangaa leo mnabadirisha eti wale waliotengwa na kanisa ni muslim mbona wameomba msamaha na wamerudi kanisani, msijichanganye kama sakata la mkuu wa wilaya ambaye sisi tunampa yesu ekaristi na kumlisha kiti moto baadaye mnadai muumini wenu. Sis wezenu watu wetu tunajua kwa ubatizo na si kwamajina kama mfanyavyo. Hebu elimikeni ili mgundue jinsi ya kuwatambua watu wenu.
kaka usihangaike kumshauri huyo jamaa mwambie aje jioni tumlishe kitimoto
 
Hakuna chama ambacho kimesajiliwa kwa imani ya dini au ukabila, chama kinatakiwa kiwe cha kitaifa. Hayo mengine yote ni propaganda za kuwania uongozi kwa kutumia kila mbinu. Tunawayumbisha wapiga kura.!!!!!!!!!
 
Back
Top Bottom