Mupirocin
JF-Expert Member
- Jan 28, 2011
- 1,763
- 819
kaka usihangaike kumshauri huyo jamaa mwambie aje jioni tumlishe kitimoto
asante bro nafikiri amtuelewa vema karibu jioni mi nitkuwepo maeneo ya keko.
kaka usihangaike kumshauri huyo jamaa mwambie aje jioni tumlishe kitimoto
hao waislamu unaosema hapo kwenye nyekundu ni wangapi? Mi naona kama kuna wawili tu, mmoja ni yule mpemba na mwingine anaefanyiwa kila njia atolewe(Zitto)
Shikamoo padri..naona umekuja kuitetea dini yako ya CDM!
Chadema mlivyo wepesi kusaha mbona Uchaguzi wa Mwaka 2010 mlisimamisha Mgombea Urais Padre! Kama haitoshi mkaja na Mkakati wa Kikiristo kuamusha siasa Tanzania TEC ambao Ndugu Komu wa Chadema Makao Makuu Utawala na Fedha alishirikiana na Mapadre kuandia waraka huo wa TEC,sasa mnakanusha nini? Chadema fikeni mahali msime Kanisa Katoliki basi!
wewe dogo una akili timamu? ....BAN inakunyemelea ...hizi thread zote ni za chadeama? ...mbona zipo jf...natoa mwongozo ...wewe dogo lazima uthibitishe kauli yako...Hii JF kwa CDM!! Lol..naona kila kukicha ni habari za CDM tu..hivi TZ kuna chama kimoja tu cha upinzani?
hizo mbona ni kama ngo za kiislamu za vitongoji tu. Mabaraza makubwa ni kama bakwata, baraza kuu la taasisi za kiislam na ayat l ulamai (taasisi ya wana taaluma wa kiislamu.
CCM bana wakati wa uchaguzi Igunga BATAMIKI walikuwa malaika leo wamekuwa mashetani msilaumu wakunga na uzazi ungalipo kesho na kesho kutwa mtawahitaji.BATAMIKI wanataka kumuhusisha Mungu na Ushirikina. Mungu awalaani nyie mashetani wakubwa.
Hizo mbona ni kama Ngo za kiislamu za vitongoji tu. Mabaraza makubwa ni kama Bakwata, baraza Kuu la taasisi za kiislam na Ayat l ulamai (Taasisi ya wana taaluma wa kiislamu.
ccm ni uislam damdam
ccm ni uislam damdam
Kwa wale mnaoshabikia udini, basi tukubari kuwa CDM ni chama cha Wakiristo na CCM ni chama
chama cha Waislamu halafu viongozi wetu wakuu wa kidini kama TEC, CCT waanzae kukampain for CDM
na viongozi wakuu wa BAKWATA, BAMITA wakampain for CCM, labda ndiyo mtafunguka akili.
Maana mijutu mingine haiwezi kuona hatari iliyo mbele yetu kuendekeza udini ktk siasa hadi ione kama
Thomaso.
Haya viongozi wetu wa kidini go gooo Wakiristu for CDM, na Waislamu for CCM and CUF, hiyo ndiyo
Tanzania wanayoitamani watanzania.
Hajjat Mlengo wa Kati nadhani Bar Kwata watatolea tamko