Taasisi za Kiislamu zaisafisha CHADEMA

A fresh breath of air in the mucky waters our poiitics has turned out to be. IPF and BATAMIKI must be commended for setting the facts straight.
 
Waislamu siyo wajinga kiasi hicho. IPF na BATAMIKI siyo wasemaji wa waislamu, these are just institutions.

Kawambie waislamu wa Mtambani maneno hayo kama hujatoka na ngeu. Wale ndo wanaijua vizuri CHADEMA na tafiti wamefanya wanajua ukweli kuhusu Chadema siyo tu kwamba ni cha kidini na cha familia bora hata kingekuwa cha kikabila. Mtambani noma bwana wanajua mpaka fedha za CDM zinatoka wapi.

Waislamu tusidanganyike , Huyo GODIGODI kishalishwa. Hivi hana uhusiano kweli na Prof. Safari?
 
Mbowe alimpiga kofi mwangalizi maalum wa kiislam huko hai na kesi ipo mahakamani,sumbawanga wakristo walitengwa kanisani kisa wameunga mkono mgombea mwislam wa ccm,leo mnawanunua waislam feki kuwasafisha.

Kwanza taasisi zenyewe zimeanzishwa lini izo mbona sijawai kuziskia,au ndo kazi maalum ya kuisafisha cdm?
 
Hawa wamenunuliwa kwa pesa ndogo sana ili wafanye propaganda ya kuwadanganya waislam.jana kulikuwa na thred inayosema wamehongwa laki 8 si mmeona?hatudanganyiki ht siku moja.cdm na ukristo na uchaga dam dam
Mi nadhani utakuwa mwelewa mzuri in case hauamini kila jambo na unakuwa mtu unaye badilika usiye rigid

halafu uangalie jamii inayokuzunguka kwa uwingi wao wanaaminije au wanasemaje hii itakusaidia sana kukukomboa kifikra maana hapa naona bado fikra zako bado ni za mgando na ni wa mtu kuamini sana uzushi na umbea wowote ule
 
Only truth will set us free! Hatimaye wenye hekima zao wameanza kuona ukweli ni upi na uongo uko vipi. Tumewanufaisha watu wachache kwasababu ya kuamini maneno ya mizengwe ya wanasiasa wanaotaka kuendelea kututawala kwa kutuchonganisha.
 
CHADEMA bwana, I don't understand how lessminded they are. Hivi sasa nanyie mmekubali kuwa CCM B. Wawoooooooooo. Mmenasika kirahisi kweli. I knew it, there is only parties in this Contry CCM and CUF. Jamaa kaone anafilisika sasa anaamua kukabidhi chama kwa wenyewe. Au BILCANA imezidiwa na madeni? na sikia walikubaliana kwamba mshiko wa ruzuku na zile za kutoka kwa mama kule Ujerumani ni kwa ajili ya maandamano na vurugu zisizo za lazima then contributions za Mtei, Mbowe na Ndesa ndo zifanye mambo ya kama kujenga ofisi na vitu kama hivyo. Tusubiri tuone mwisho wake. Ila nadhani sasa Atasimamishwa prof. LIPUMBA 2015
 
Mbowe alimpiga kofi mwangalizi maalum wa kiislam huko hai na kesi ipo mahakamani,sumbawanga wakristo walitengwa kanisani kisa wameunga mkono mgombea mwislam wa ccm,leo mnawanunua waislam feki kuwasafisha.kwanza taasisi zenyewe zimeanzishwa lini izo mbona sijawai kuziskia,au ndo kazi maalum ya kuisafisha cdm?
kuwa mkweli ni sifa inayo hitajika sana hapa JF;
  • Mbowe alimpiga huyu jamaa kwa sababu alikuwa mfuasi wa CCM
  • Sumbawanga waliwatenga si kwa sababu hiyo mkuu, Usiwe mdini kihivyo tafuta sababu nyingine ya kuwachukia CDM ila si ya UDINI
  • Unakashifa za rejareja Waislamu feki wakoje au kwa sababu si watu wakujitoa mhanga kuua watu wengine " ufeki wa imani iliyoko ndani ya mtu ukoje usiwe bias kihivyo, tupendane tusigombane
 
Hawataki kusikia facts hawa jamaa achana nao. Si unaona walivyokushambulia kwenye mchango wako uliowaambia habari ya hongo ya laki nane. Ukweli wanaujua. Ila waislamu tunajiamini huyu jamaa GODIGODI lazima atueleze ukweli aliyempa hizo pesa
 
CHADEMA bwana, I don't understand how lessminded they are. Hivi sasa nanyie mmekubali kuwa CCM B. Wawoooooooooo. Mmenasika kirahisi kweli. I knew it, there is only parties in this Contry CCM and CUF. Jamaa kaone anafilisika sasa anaamua kukabidhi chama kwa wenyewe. Au BILCANA imezidiwa na madeni? na sikia walikubaliana kwamba mshiko wa ruzuku na zile za kutoka kwa mama kule Ujerumani ni kwa ajili ya maandamano na vurugu zisizo za lazima then contributions za Mtei, Mbowe na Ndesa ndo zifanye mambo ya kama kujenga ofisi na vitu kama hivyo. Tusubiri tuone mwisho wake. Ila nadhani sasa Atasimamishwa prof. LIPUMBA 2015

Unajua mkuu hoja zako hazifanani kabisa na unachopenda kukiita "hadhi yako" by the way vp bado napenda CCM eeh???????? Polisi iko fanya kazi inavyotakiwa?
 
kuwa mkweli ni sifa inayo hitajika sana hapa JF;
  • Mbowe alimpiga huyu jamaa kwa sababu alikuwa mfuasi wa CCM
  • Sumbawanga waliwatenga si kwa sababu hiyo mkuu, Usiwe mdini kihivyo tafuta sababu nyingine ya kuwachukia CDM ila si ya UDINI
  • Unakashifa za rejareja Waislamu feki wakoje au kwa sababu si watu wakujitoa mhanga kuua watu wengine " ufeki wa imani iliyoko ndani ya mtu ukoje usiwe bias kihivyo, tupendane tusigombane

So you mean akiwa mfuasi wa CCM na apigwe. Toka hapa, na mbona husemi kwa nini waliwatenga kule Sumbawanga. kama huna hoja tulia.
 
hiyo ile thread ya hongo ya laki nane nayo ni propaganda. Tusubiri tutaona ukweli , lisemwalo lipo na kama halipo laja. Acha Mbowe mwenyewe akanushe au wewe ndo msemaji wa CDM?

Junior Member
reputation_pos.png
reputation_pos.png
reputation_pos.png
reputation_pos.png
reputation_pos.png
reputation_highpos.png
reputation_highpos.png
reputation_highpos.png

Join Date : 25th October 2011
Posts : 3

Rep Power : 0

Naona umeingia kwa malengo maalum.Karibu sana lakini!
 
Unajua mkuu hoja zako hazifanani kabisa na unachopenda kukiita "hadhi yako" by the way vp bado napenda CCM eeh???????? Polisi iko fanya kazi inavyotakiwa?
Tena wewe kaa pembeni kabisa na wala mimi si mwana-CCM mie CUF dam dam. Inaonekana huna data. Tena usihusianishe POLISI na siasa that is Governmental institute. Hivi unajua maeneo ambayo polisi walitumia nguvu? sasa leo nakueleza ili ukawashauri viongozi wako vizuri. Maeneo mengi ambayo polisi walitumia nguvu ni yale ambayo Katibu wako mkuu na Mwenyekiti wako walipanda majukwaani kuwaambia wananchi wasitii amri ya Polisi. Maeneo hayo ni kama vile Arusha, Igunga, Dodoma, Mara na kwingineko, Sasa kama wananchi walishaambiwa majukwaani wasitii amri na chombo halali cha Serikali what did u expect. Yaani hata ile semina waliyopewa Bungeni na SAID MWEMA ya Utii wa bila kushurutishwa haikuingia akilini mwao. What these type of leaders do we expect in the future?
 
Poleni sana ndungu zangu. U are always late like fire brigade!? Moto ukishaanza kuunguza nyumba ndio wanapewa taarifa na hadi wafike, nyumba imeteketea! Ndivyo mlivyotumika Igunga, waliowatumia wameshafanikiwa, nyie ndio mnashtuka.
Ninachoweza kuwaambia kwa sasa ni kuwakaribisha tena kwenye mapambano ya kuikomboa nchi huku mkiangalia mbele kwa makini ili msitumike tena kijingajinga na kuturudisha nyuma.

Mungu ibariki Tanzania na watu wake (waislamu, wakristo, wapagani, makabila yote na wa kanda zote)!

Naamini hawa wamefanya vema kwa kujua ukweli uko wapi na wameufanyia kazi, naamini watazidi kuto elimu kwa jamii ya kiislamu kuwa kuhusisha ukristo na CDM zilikuwa propaganda za ccm
 
CHADEMA bwana, I don't understand how lessminded they are. Hivi sasa nanyie mmekubali kuwa CCM B. Wawoooooooooo. Mmenasika kirahisi kweli. I knew it, there is only parties in this Contry CCM and CUF. Jamaa kaone anafilisika sasa anaamua kukabidhi chama kwa wenyewe. Au BILCANA imezidiwa na madeni? na sikia walikubaliana kwamba mshiko wa ruzuku na zile za kutoka kwa mama kule Ujerumani ni kwa ajili ya maandamano na vurugu zisizo za lazima then contributions za Mtei, Mbowe na Ndesa ndo zifanye mambo ya kama kujenga ofisi na vitu kama hivyo. Tusubiri tuone mwisho wake. Ila nadhani sasa Atasimamishwa prof. LIPUMBA 2015
Usilazimishe kuandika kiingereza kama hukijui andika lugha unayoimudu tutakuelewa.
 
Acha kushabikia siasa za kidini haitakusaidia kitu,embu uwe unatafakari kwanza kabla hujaandika chochote!!
 
CHADEMA bwana, I don't understand how lessminded they are. Hivi sasa nanyie mmekubali kuwa CCM B. Wawoooooooooo. Mmenasika kirahisi kweli. I knew it, there is only parties in this Contry CCM and CUF. Jamaa kaone anafilisika sasa anaamua kukabidhi chama kwa wenyewe. Au BILCANA imezidiwa na madeni? na sikia walikubaliana kwamba mshiko wa ruzuku na zile za kutoka kwa mama kule Ujerumani ni kwa ajili ya maandamano na vurugu zisizo za lazima then contributions za Mtei, Mbowe na Ndesa ndo zifanye mambo ya kama kujenga ofisi na vitu kama hivyo. Tusubiri tuone mwisho wake. Ila nadhani sasa Atasimamishwa prof. LIPUMBA 2015

Hahahahaha, Igunga kwa Lipumba mlipata kura ngapi? Hahaha
 
Back
Top Bottom