Taasisi za Kiislamu zaisafisha CHADEMA

Taasisi za Kiislamu zaisafisha CHADEMA

Wakati waislam wanakomaa na matamko wakristu wanzidi kufungua vyuo, na humo watosama waislam,wakristu na wasio na dini. Wakati wanakomaa na mahakama ya kadhi wakristu wanafungua mahospitali na huduma nyingine za kijamii pia humo waislam na wasio waislam wanatibiwa. Jamani waislamu shindaneni na wakristu kwa kuanzisha miradi ya maendeleo yaani kujenga vyuo,shule za msingi na sekondari, hospitali za kutosha nk. Hii chadema icheni inashinda na Ccm sio dini tena, mnaacha ya maana mnakomaa na Cdm. Kiukweli mnapoteza muda, na mkiamka wakristu watakuwa mbali.
 
sisi hatugombani ila ukweli ndo unaotenganisha nyeupe na nyeusi...hapa jf na cdm kwa ujumla ukifatilia vizuri utagundua kuwa komenti na thred nyingi zinawaponda waislam,ccm,cuf na gazeti la habari leo,tbc 1 na associates.nashangaa leo taasisi feki zinatumika kuwadanganya muslems na chanzo ni habarileo!be critical mkuu..

usiwe kama unaumwa napeism. Jf inao watu makini wanaochangia na kupost thread ila wenye upeo finyu kama wewe ndio mliovamia.wanaopondwa si waislamu maana utofautishe mwislamu kuwa ccm na akafanya madudu hatutamhurumia kwa sababu ya uislamu wake. Na tunavyokuwa tunawashambulia watu wa chama chako cha magamba hatuangalii dini ya mtu kwani tutaijuaje? Jina la kiislamu haina maana huyo mtu ni mwislamu au la kikristo haina maana hutu mtu ni mkristo.hivyo kama na wewe hutaki kubadilika ukawa popo na palepale ndege kama sitta samweli na nape tutakubomoa. Tuzipongeze taasis za kiislamu ambazo zimeuona mwanga na kujua kuwa cdm inaongea lugha ya wanyongo, lugha ya watu na lugha ya maendeleo endelevu
 
sasa naamini matatizo yetu yanatuunganisha ni habari njema sana hii!
 
Ifahamike kuwa ni % ndogo sana ya waislamu ambao wanakubaliana na hoja mfu ya udini iliyoasisiwa na JK kwa maslahi yake. Wengi wamekataa kuwa chadema ni chama udini, wengine ni kweli wako straunded - wanatafakari na kufuatilia chadema kwa karibu - Muda si mrefu watajua ukwel.
 
Ishu ya Udini hata Julius Mtatiro(Mkristo) alitumia kuwadanganya Waislam Igunga eti CDM chama cha wakristo.Je,kwann na yeye asijiunge hukohuko??
Na ninyi Waislam acheni U-mamuma mtatumika mno. CCM mtaji wao ni mamuma.
 
Hata mimi nasubiri Bakwata. Hawa nao inawezekana wanaganga njaa
Bakwata imeonekana inatumiwa na heshima yake imeshuka sana. Hata baada ya kauli zake zote Igunga imeonyesha kuwa watanzania hawana udini ila viongozi wa dini ndio wanaendekeza maslahi yao binafsi.
Na kwa picha iliyotoka Igunga, bila shaka viongozi hawa wa dini wamejiuliza na kuona kuwa wimbo wa dini hauwezi kuwasaidia.
Pia inaonekana wamepima upepo na kuona kwa kuwa nguvu ya Chadema waisilamu wanaweza kukikutimia kuingia kwenye maamuzi ya serekali kwa kugombea ubunge etc. mana Chadema haijawa taasisi yenye msululu wa taratibu katika kuteuliwa kama ilivyo CCM.
Pia kuna uwezekano wamesoma kuwa CCM mgombea wa Urais anaweza kuwa mkristu so wanatafuta jinsi ya kupata mahali pa kutetea maslahi yao.
OFF Course: Wanaweza pia wakawa wamesukumwa na utaifa zaidi kwa jinsi wanavyoona watanzania wanataabika...

Kwa Chadema: Kwa vile Bakwata inaonekana ni taasisi ya CCM ilani yenu ihusishe kipengele cha uhuru wa kuabudu na kuwapa waislamu uhuru wa kuunda chombo chao kama wanavyotaka na sio kutengenezewa na serekali (Bakwata).
 
CDM hawana tofauti na TLP 2005. Nimejaribu kufanya karesearch kadogo hapa JF nimegundua kuwa CDM imepoteza mvuto sana. Mpaka 2014 naamini watakuwa wamepotea kabisa!

Umefanya research au observation? Kama ni research tafadhali twaomba reference ya research paper yako ili na sisi tuifuatilie.
 
Mashaka yangu ni kwamba mjadala wowote wa siasa unapochukua sura ya dini unapoteza objectivity and reasoning katika kutoa arguments nzuri. Ni wazi kwamba huwezi kupata equal representation (kwa maana ya dini) kwa kila kitu. Lazima tukubaliane hapo. Je tunaweza kusema wazanzibar ni wadini simply because HAKUNA MWAKILISHI HATA MMOJA ALIYE MKRISTU? Lakini je zanzibar wapo wakrito waliogombea wakanyimwa nafasi? Mtu yeyote kwenye jukwaa hili anayejadili ufanisi wa chamana kikihusisha na dini nadhani anapoteza mwelekeo na anapotosha mijadala jadidi
Uislam ni kitu gani?

Kama ni dini basi ningejikita kwenye imani zaidi kuliko kuleta habari za Muhadhara hata Gadaffi naye alijiita Islam
 
Na hapa waislamu wangapi?

Halima James Mdee -Kawe/Chadema

Tundu Lissu - Singida Mashariki/Chadema
Mustapha Quorro Akonaay- Mbulu/Chadema
Israel Yohana -Karatu/Chadema
John Mnyika -Ubungo/Chadema
Silinde David -Mbozi Magharibi/Chadema
Salvatory Naluyaga Machemuli-Ukerewe/Chadema
Ole Sambu -Arumeru Magharibi/Chadema
Joseph Mbilinyi -Mbeya Mjini/Chadema
Philemon Ndesamburo Kiwelu-Moshi Mjini/Chadema
Dk Antony Mbasa -Biharamulo Magharibi/Chadema
Joseph Selasini -Rombo/Chadema
Hezekiah Wenje -Nyamagana/Chadema
Peter Msigwa -Iringa Mjini/Chadema
CHAPOMBE -Hai/Chadema
Vincent Nyerere -Musoma Mjini/Chadema
JAMBAZI -Arusha Mjini/Chadema
Zitto Kabwe/C -Kigoma Kaskazini/Chadema
Hayness Samson -Ilemela/Chadema
John Shibuda -Maswa Magharibi/Chadema
Meshack Opulukwa -Meatu/Chadema
Sylvester Kasulimbayi Mhoja-Maswa Mashariki/Chadema
Prof. Kayogela Kahigi-Bukombe/Chadema

Omary bana,inaonesha ni jinsi gani uwezo wako wa kufikiri ulivyo,kila kukicha ni udini tu,na cha ajabu zaidi wakristo awana muda wakupoteza kama wewe omary ulivyo wao wanaendelea kununua maeneo hasa vijijini na kujenga shule,vyuo,hospitali na n.k watu wengine mnabaki tu kuorodhesha wabunge wa Chadema,kweli akili ni nywele,endeleeni tu hivyo watu wanadhidi kusonga mbele,hadi mkija kushtuka kuwa yesu ni mungu,dahaaa watu tuppo mbali sana.
 
Wakati waislam wanakomaa na matamko wakristu wanzidi kufungua vyuo, na humo watosama waislam,wakristu na wasio na dini. Wakati wanakomaa na mahakama ya kadhi wakristu wanafungua mahospitali na huduma nyingine za kijamii pia humo waislam na wasio waislam wanatibiwa. Jamani waislamu shindaneni na wakristu kwa kuanzisha miradi ya maendeleo yaani kujenga vyuo,shule za msingi na sekondari, hospitali za kutosha nk. Hii chadema icheni inashinda na Ccm sio dini tena, mnaacha ya maana mnakomaa na Cdm. Kiukweli mnapoteza muda, na mkiamka wakristu watakuwa mbali.

Smartboy uwezo wa kufikiri wa hao wenzetu ndio umefika hapo,wewe unategemea mtu kama omary atatoa hoja gani ya maendeleo kama si kusema Wabunge wengi wa chadema ni wakristo,shida sana kuwa na watu kama wenye mawazo mgando.
 
mimi sijui cha ccm apa,rais wa kwanza wa tz alikuwa mkiristo na watanzania wote tulimkubali,mkapa ni mkristo tumemwamini wote hawa wanatoka ccm.kwa ivo huwezi kuinasibu ccm na uislam ni kujidanganya na kupotosha umma.CHAGA Development manifesto ndio imejikita kanisani na hilo wao wanalikubali..nashukuru pia na wewe umekubaliana na hilo,sasa cdm isajiliwe kama taasisi ya kidini badala ya chama cha siasa...
Nataka nifanye utafiti....kwasasa naamini 75% ya waswahili na watu duni hapa Tanzania ni Waislamu. Ngoja ni-prove hii hypothesis
 
CCM ni kikundi cha watu wajanja sana, wanawatumia watu wa usalama wa taifa kupanga namna ya kuvuruga watu ili wawezekushinda katika chaguzi mbalimbali, kila tunapokaribia uchaguzi wowote watu wa usalama wanatumia intelejensia yao kujua ni jambo gani litumike ili kuwachanganya wananchi, kibaki kulaumiana na kutoana macho wao wanashinda,

Saa yaja ambapo watanzania watayatambua yote haya, ninaamini sio wote waalio ndani ya ccm ni wachafu, wapo ambao ni safi na hawaipendi ccm kabisa, sasa nao wanatakiwa wawe wazi.
 
Wakati waislam wanakomaa na matamko wakristu wanzidi kufungua vyuo, na humo watosama waislam,wakristu na wasio na dini. Wakati wanakomaa na mahakama ya kadhi wakristu wanafungua mahospitali na huduma nyingine za kijamii pia humo waislam na wasio waislam wanatibiwa. Jamani waislamu shindaneni na wakristu kwa kuanzisha miradi ya maendeleo yaani kujenga vyuo,shule za msingi na sekondari, hospitali za kutosha nk. Hii chadema icheni inashinda na Ccm sio dini tena, mnaacha ya maana mnakomaa na Cdm. Kiukweli mnapoteza muda, na mkiamka wakristu watakuwa mbali.
Smartboy, hapa umesema kweli wao kazi yao kubwa ni kuoanisha idadi ya WAKRISTO na WAISLAM tu kwenye nafasi za uongozi tu hawaangalii uwezo wa kufanya kazi

Muhimu waelewe kuwa DINI katika maendeleo ya jamii haihusiani na uwezo wa mtu kufanya kazi Vyama vya siasa vitalishindanisha sera zake na wananchi watajudge Ila DINI zinahubiri watu waishi kwa upendo, umoja, ushirikiano, na mshikamano katika utofauti wa itikadi za kisiasa

hapa TANZANIA hatuna chama kinachoendeshwa kwa misingi ya KIDINI tatizo la hawa jamaa ni ufahamu wao upo kwenye boundary
 
Watu hamjajua ee wanatarget uenyekiti wa CDM, COZ Mbowe ameshatangaza kustaafu sasa hapa nafikiri wanataka wamuweke mwenyekiti Muslim ili akipita tu wamuunge mkono. Nimekaa nimetafakari sana lakin naona wamelenga huko, na nafikiri watamuweka Prof Safari au yeyote Muslim ambaye anainfluence CDM. Yangu macho tatizo waislam ni opportunistic sana tatizo hawatumii akili sijui wanatumia masaburi am sorry 4 this word.
 
Bakwata imeonekana inatumiwa na heshima yake imeshuka sana. Hata baada ya kauli zake zote Igunga imeonyesha kuwa watanzania hawana udini ila viongozi wa dini ndio wanaendekeza maslahi yao binafsi.
Na kwa picha iliyotoka Igunga, bila shaka viongozi hawa wa dini wamejiuliza na kuona kuwa wimbo wa dini hauwezi kuwasaidia.
Pia inaonekana wamepima upepo na kuona kwa kuwa nguvu ya Chadema waisilamu wanaweza kukikutimia kuingia kwenye maamuzi ya serekali kwa kugombea ubunge etc. mana Chadema haijawa taasisi yenye msululu wa taratibu katika kuteuliwa kama ilivyo CCM.
Pia kuna uwezekano wamesoma kuwa CCM mgombea wa Urais anaweza kuwa mkristu so wanatafuta jinsi ya kupata mahali pa kutetea maslahi yao.
OFF Course: Wanaweza pia wakawa wamesukumwa na utaifa zaidi kwa jinsi wanavyoona watanzania wanataabika...

Kwa Chadema: Kwa vile Bakwata inaonekana ni taasisi ya CCM ilani yenu ihusishe kipengele cha uhuru wa kuabudu na kuwapa waislamu uhuru wa kuunda chombo chao kama wanavyotaka na sio kutengenezewa na serekali (Bakwata).
Asante sana hivi ndivyo tunatakiwa wanaJF tuwe tunachangia kwa kujiuliza sio wale wanaokurupuka na kuja na list ya majina ya wabunge waislamu ambayo hayasaidii hapa.
 
So you mean akiwa mfuasi wa CCM na apigwe. Toka hapa, na mbona husemi kwa nini waliwatenga kule Sumbawanga. kama huna hoja tulia.
Tatizo huelewi maada inahusu nini na jibu linacorrelate vipi O.K
  • Mbowe alimpinga kwa sababu za kisiasa, si halali ndiyo maana kuna kesi mahakamani. siyo kwa sababu za kidini Mara nyingine uwe unajilazimisha kuelewa mkuu
  • Hao wa S'wanga walifananisha utatu mtakatifu na utatu wa kisiasa ndilo kosa lao na kiongozi wao wa kanisa ndiyo maana baadaye walitambua makosa yao wakatubu, wakasamehewa na sasa wanasema YESU ni Bwana wao
  • Hofu yangu UDINI utakumaliza mkuu
 
Dhana za udini na ukabila HAZIFAI katika nchi hii. Miaka 50 ya Tanganyika nashauri viongozi wakuu wote na hata Watawala wetu wawe wa kwanza KUPIGA VITA dhana hii MBAYA YA UBAGUZI! Na tena kauli za namna hii ziepukwe na kuchukuliwa kama SARATANI inayotaka KULITAFUNA Taifa letu!
 
CCM ni kikundi cha watu wajanja sana, wanawatumia watu wa usalama wa taifa kupanga namna ya kuvuruga watu ili wawezekushinda katika chaguzi mbalimbali, kila tunapokaribia uchaguzi wowote watu wa usalama wanatumia intelejensia yao kujua ni jambo gani litumike ili kuwachanganya wananchi, kibaki kulaumiana na kutoana macho wao wanashinda,

Saa yaja ambapo watanzania watayatambua yote haya, ninaamini sio wote waalio ndani ya ccm ni wachafu, wapo ambao ni safi na hawaipendi ccm kabisa, sasa nao wanatakiwa wawe wazi.
Watu wa usalama huwa hawanaga maisha marefu hawana future maisha yao hukatika kama ya panzi wajifunze kwa watu wa usalama wa Gaddafi wako wapi wataomba kazi wapi ndio mwisho wao leo wanadunguliwa mmoja baada ya mwingine.
 
Back
Top Bottom