Taasisi za Kiislamu zaisafisha CHADEMA

Taasisi za Kiislamu zaisafisha CHADEMA

Hakuna chama ambacho kimesajiliwa kwa imani ya dini au ukabila, chama kinatakiwa kiwe cha kitaifa. Hayo mengine yote ni propaganda za kuwania uongozi kwa kutumia kila mbinu. Tunawayumbisha wapiga kura.!!!!!!!!!
 
Kumbe hili swala lilitakiwa kufanyiwa dua na mashehe wa afrika mashariki.
Kuna binadamu wamebahatika kuwa na uwezo mdogo sana wa kupima uzito wa mambo.
 
Suala la Udini hasa Ukiristo ndani ya Chadema kwa kushirikiana na Kanisa Katoliki kulikanusha lazima Uwe kichaaa! Chadema inanuka harufu mbaya ya Ukiristo hasa Kanisa Katoliki!

kwa hiyo unajaribu kusema kwamba aliyesajili cdm kama chama cha siasa hajui kazi yake?
 
Waislamu wepi? Wa bakwata, godogodi, batiki au shehe ponda?
Mimi mbona waislamu wa mtaani kwangu hawatoa matamko na tunakutana kula mboga kila siku wala hawana time na matamko.
Who is GODIGODI? ama kweli njaa noma. Fafanua sasa kuhusu Mkuu wa Wilaya ya Igunga alidhalilishwa au la! Waislamu watakusaka uwaeleze mlikubaliana na nani kutoa tamko kama hilo?
 
Hawa wamenunuliwa kwa pesa ndogo sana ili wafanye propaganda ya kuwadanganya waislam.jana kulikuwa na thred inayosema wamehongwa laki 8 si mmeona?hatudanganyiki ht siku moja.cdm na ukristo na uchaga dam dam

verify your statement before you write your crap. Period
 
Bora uwe mganaga wa kienyeji kuliko uwe muislam watu wanachuki na ubaguzi
 
Hongerana taasisi ya kiislam ya ISLAMIC PEACE FOUNDATION{IPF} na BARAZA LA MIKUTANO YA KIISLAM{BATAMIKI}.Tamko lenu limesomeka na ninaomba msiishie kwenye hilo tamko peke yake,embu pigeni hatua moja mbele,waelimishen waumini wenu elimu ya uraia ili waweze kupata ufaham mzuri wa kufikia maamuzi yatakayo lisaidia taifa hili kupata maendeleo.Tamko lenu limeeleza vizuri sana mwanzo wa hizo propaganda za udini zilivyoanza kwa kukiita chama cha CUF kuwa ni cha kidini.Chama cha CUF kilipachikwa sifa hiyo mbaya kwa sababu kilikuwa kinanguvu na mvuto ktk zama hizo za kupendwa,na kwakuwa leo Chadema nayo inanguvu na kimekuwa kimbilio la wanyonge si ajabu nacho kupewa/kupachikwa sifa hii ya kibaguzi,na hatuta shangaa kama kesho chama cha UDP au TLP ikatokea kimaja wapo kikapata nguvu kikaitwa chama cha kidini.TAIFA liko hatarini kuingia ktk vurugu za kidini kama viogozi hamtajitokeza kama Islamic Peace Foundation na Baraza la Mikutano ya Kiislam,na kuwa waeleza waumini wenu ubaya wa ubaguzi bilakujali ni wadini,wakikabila au wa inayoyote ile.Tusingoje hadi mambo yaharibike kabisa na kuanza kuunda mahakama za usuruhishi kama Afrika Kusini ama Rwanda,tuchukue atua sasa kukomesha hizo propaganda za kidini.
 
Sina uhakika sana na matamko wa hawa ndugu zangu coz wao wanaonekana kujichanganya wenyewe. Kesho kutwa kutakuwa na uchaguzi mdogo sehemu nyingine watatoka tena kivingine coz wengi wanasumbuliwa na njaaa na sio uadilifu wa imani yao ya dini
 
  1. Lucy Owenya,
  2. Ester Matiko,
  3. Mhonga Ruhwanya,
  4. Anna Mallac,
  5. Paulina Gekuli
  6. Conchesta Rwamlaza,
  7. Suzan Kiwanga,
  8. Suzan Lyimo,
  9. Grace Kiwelu,
  10. Regia Mtema,
  11. Christowaja Mkinda,
  12. Anna Komu,
  13. Mwanamrisho Abama,
  14. Joyce Mukya,
  15. Leticia Nyerere
  16. Chiku Abwao.
  17. Naomi Kaihula,
  18. Grace Kiwelu,
  19. Rose Kamili,
  20. Christina Lissu Mughiwa,
  21. Raya Ibrahim,
  22. Philipa Mturano,
  23. Miriam Msabaha
  24. Rachel Mashishanga.
Wabunge wa kuteuliwa wa CDM, wangapi waislamu
 
Hawa wamenunuliwa kwa pesa ndogo sana ili wafanye propaganda ya kuwadanganya waislam.jana kulikuwa na thred inayosema wamehongwa laki 8 si mmeona?hatudanganyiki ht siku moja.cdm na ukristo na uchaga dam dam
wewe ndio ungekuwa wa kwanza kupelekwa ocampo na uchochezi wako.
 
  1. Lucy Owenya,
  2. Ester Matiko,
  3. Mhonga Ruhwanya,
  4. Anna Mallac,
  5. Paulina Gekuli
  6. Conchesta Rwamlaza,
  7. Suzan Kiwanga,
  8. Suzan Lyimo,
  9. Grace Kiwelu,
  10. Regia Mtema,
  11. Christowaja Mkinda,
  12. Anna Komu,
  13. Mwanamrisho Abama,
  14. Joyce Mukya,
  15. Leticia Nyerere
  16. Chiku Abwao.
  17. Naomi Kaihula,
  18. Grace Kiwelu,
  19. Rose Kamili,
  20. Christina Lissu Mughiwa,
  21. Raya Ibrahim,
  22. Philipa Mturano,
  23. Miriam Msabaha
  24. Rachel Mashishanga.
Wabunge wa kuteuliwa wa CDM, wangapi waislamu

Si kila anayevaa suruali fupi fupi na kufuga ndevu yuko CUF!
 
Back
Top Bottom