Taasisi za Kiislamu zaisafisha CHADEMA

Taasisi za Kiislamu zaisafisha CHADEMA

  1. Lucy Owenya,
  2. Ester Matiko,
  3. Mhonga Ruhwanya,
  4. Anna Mallac,
  5. Paulina Gekuli
  6. Conchesta Rwamlaza,
  7. Suzan Kiwanga,
  8. Suzan Lyimo,
  9. Grace Kiwelu,
  10. Regia Mtema,
  11. Christowaja Mkinda,
  12. Anna Komu,
  13. Mwanamrisho Abama,
  14. Joyce Mukya,
  15. Leticia Nyerere
  16. Chiku Abwao.
  17. Naomi Kaihula,
  18. Grace Kiwelu,
  19. Rose Kamili,
  20. Christina Lissu Mughiwa,
  21. Raya Ibrahim,
  22. Philipa Mturano,
  23. Miriam Msabaha
  24. Rachel Mashishanga.
Wabunge wa kuteuliwa wa CDM, wangapi waislamu

Na hapa waislamu wangapi?

Halima James Mdee -Kawe/Chadema

Tundu Lissu - Singida Mashariki/Chadema
Mustapha Quorro Akonaay- Mbulu/Chadema
Israel Yohana -Karatu/Chadema
John Mnyika -Ubungo/Chadema
Silinde David -Mbozi Magharibi/Chadema
Salvatory Naluyaga Machemuli-Ukerewe/Chadema
Ole Sambu -Arumeru Magharibi/Chadema
Joseph Mbilinyi -Mbeya Mjini/Chadema
Philemon Ndesamburo Kiwelu-Moshi Mjini/Chadema
Dk Antony Mbasa -Biharamulo Magharibi/Chadema
Joseph Selasini -Rombo/Chadema
Hezekiah Wenje -Nyamagana/Chadema
Peter Msigwa -Iringa Mjini/Chadema
CHAPOMBE -Hai/Chadema
Vincent Nyerere -Musoma Mjini/Chadema
JAMBAZI -Arusha Mjini/Chadema
Zitto Kabwe/C -Kigoma Kaskazini/Chadema
Hayness Samson -Ilemela/Chadema
John Shibuda -Maswa Magharibi/Chadema
Meshack Opulukwa -Meatu/Chadema
Sylvester Kasulimbayi Mhoja-Maswa Mashariki/Chadema
Prof. Kayogela Kahigi-Bukombe/Chadema
Mimi nafikiri ungetumia muda wako vizuri kufanya utafiti kuona ni waislamu wangapi wanahitaji elimu bora na shule ngapi za waislamu zipo dhidi ya zile zinazomilikiwa na jamii ya kikristo ili uwashauri nao wajenge mpya kuliko kupoteza muda wako kuangalia kuna waislamu wangapi ndani ya Chadema.
 
TAASISI ya Kiislamu ya Islamic Peace Foundation (IPF) kwa kushirikiana na Baraza la Mikutano ya Kiislamu (BATAMIKI), zimesema Chadema si chama cha kidini.
Tamko hilo walilitoa jana kwa vyombo vya habari na kudai kuwa wamefikia uamuzi huo kutokana na dhana waliodai imeenezwa katika jamii ya Watanzania na Waislamu nchini kuwa Chadema ni chama cha kidini.
“Tunatoa mwito kwa Waislamu na Watanzania wote kwa ujumla kuipuuza dhana hii na kuwapuuza wale wanaoieneza ili tuwaunge mkono watu wote wanaotetea maslahi ya wanyonge na rasilimali za taifa letu,” ilieleza sehemu ya taarifa hiyo iliyosainiwa na Mkurugenzi wa IPF, Shehe Sadik Godigodi.
Kwa mujibu wa taarifa hiyo, viongozi wa taasisi hizo baada ya kutafakari dhana hiyo na hatima ya Taifa, wamebaini kuwa hakuna ukweli wowote wa jambo hilo bali ni propaganda.
Taarifa hiyo pia imewataka Watanzania kupuuza propaganda hiyo kwa kile ilichodai kuwa haikuanzia Chadema, bali katika Chama cha Wananchi (CUF).
Shehe Godigodi alidai kuwa CUF ilidaiwa ni ya kikabila na kidini (Uislamu) na kuleta athari kubwa katika Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2000.
“Hali kama hiyo sasa tunaiona inajitokeza ndani ya Chadema ambacho mwanzo kiliitwa cha kikabila kwa maana ya chama cha Wachaga.
“Lakini baada ya chama hicho kuimarika katika uchaguzi wa mwaka 2010 kama ilivyokuwa kwa CUF, kikabadilishiwa wimbo na kuwa chama cha udini yaani Ukristo,” ilieleza taarifa hiyo.
Viongozi wa taasisi hizo katika taarifa yao hiyo wamedai kuwa udini ndani ya Chadema haupo kwa kuwa chama hicho kama vilivyo vyama vingine kina Waislamu, Wakristo na wasio na dini.
Waliwataka Waislamu kutowabagua wenzao walio katika chama hicho kwa kuwa kufanya hivyo ni kinyume cha matakwa ya dini ya Kiislamu.
 
kufuatia tamko la Wanaojiita IPF ( Islamic Peace Foundation ) na BATAMIKI kutoa tamko na kuisafisha chadema na udini hili limezusha mjadala miongoni mwa wasomi na vijana wa kiislam ... tamko la hao wanafiki lilikuwa hivi -

"Tunatoa mwito kwa Waislamu na Watanzania wote kwa ujumla kuipuuza dhana hii na kuwapuuza wale wanaoieneza ili tuwaunge mkono watu wote wanaotetea maslahi ya wanyonge na rasilimali za taifa letu," ilieleza sehemu ya taarifa hiyo iliyosainiwa na Mkurugenzi wa IPF, Shehe Sadik Godigodi.

Kwa mujibu wa taarifa hiyo, viongozi wa taasisi hizo baada ya kutafakari dhana hiyo na hatima ya Taifa, wamebaini kuwa hakuna ukweli wowote wa jambo hilo bali ni propaganda.

Taarifa hiyo pia imewataka Watanzania kupuuza propaganda hiyo kwa kile ilichodai kuwa haikuanzia Chadema, bali katika Chama cha Wananchi (CUF).

Shehe Godigodi alidai kuwa CUF ilidaiwa ni ya kikabila na kidini (Uislamu) na kuleta athari kubwa katika Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2000.

"Hali kama hiyo sasa tunaiona inajitokeza ndani ya Chadema ambacho mwanzo kiliitwa cha kikabila kwa maana ya chama cha Wachaga.

"Lakini baada ya chama hicho kuimarika katika uchaguzi wa mwaka 2010 kama ilivyokuwa kwa CUF, kikabadilishiwa wimbo na kuwa chama cha udini yaani Ukristo," ilieleza taarifa hiyo.

Viongozi wa taasisi hizo katika taarifa yao hiyo wamedai kuwa udini ndani ya Chadema haupo kwa kuwa chama hicho kama vilivyo vyama vingine kina Waislamu, Wakristo na wasio na dini.

Waliwataka Waislamu kutowabagua wenzao walio katika chama hicho kwa kuwa kufanya hivyo ni kinyume cha matakwa ya dini ya Kiislamu.

swali lilizusha mjadala hapa https://www.facebook.com/groups/tanzaniamuslims/ ( Je,hizi taasisi zinafahamika? ofisi zao zipo wapi?,Je,chadema ni "mfumokristo" kweli au si kweli?)

na mimi nashindwa kuelewa walikuwa wapi kipindi kile CUF inazushiwa ni chama cha kidini ...?!

Kumbe mko wengi mnaoendeleza propaganda za kipuuzi za udini? Poleni sana, naona mmeanza kuitana "wanafiki".
Iko siku yatakwisha haya!
 
hongera kwa IPF na BATAMIKI kuwafumbua macho waliokuwa wakiamini kuwa chadema ni chama cha kikristo.
 
kufuatia tamko la Wanaojiita IPF ( Islamic Peace Foundation ) na BATAMIKI kutoa tamko na kuisafisha chadema na udini hili limezusha mjadala miongoni mwa wasomi na vijana wa kiislam ... tamko la hao wanafiki lilikuwa hivi -

swali lilizusha mjadala hapa https://www.facebook.com/groups/tanzaniamuslims/ ( Je,hizi taasisi zinafahamika? ofisi zao zipo wapi?,Je,chadema ni "mfumokristo" kweli au si kweli?)

na mimi nashindwa kuelewa walikuwa wapi kipindi kile CUF inazushiwa ni chama cha kidini ...?!

Hapo Kwenye red, kwani ukiwaelezea tu bila kuwaita wanafiki utakuwa hujafikisha ujumbe mkuu? Dah, hapa ndo naposhindwa kuwaelewa watu wengine! Utakuta mtu anajiita mfuata dini (Some christians and Muslims) lakini kauli zake na matendo hayareflect kile mwenyezi mungu anakipenda.
 
Peleka upuuzi wako huko! Unawatukana viongozi wako wakiroho unadhani tutakusapoti!? Huu ni ujinga na ninakushauri uurudishe huko fb. Hapa huwa hatujadili ujinga.
 
TAASISI ya Kiislamu yaIslamic Peace Foundation (IPF) kwa kushirikiana
na Baraza la Mikutano ya Kiislamu (BATAMIKI), zimesema Chadema sichama
cha kidini.

Tamko hilo walilitoa jana kwa vyombo vya habari na kudai kuwa
wamefikia uamuzi huo kutokana na dhana waliodai imeenezwa katika jamii
ya Watanzania na Waislamu nchini kuwa Chadema ni chama cha kidini.

“Tunatoa mwito kwa Waislamu na Watanzania wote kwa ujumla kuipuuza
dhana hii na kuwapuuza wale wanaoieneza ili tuwaunge mkono watu wote
wanaotetea maslahi ya wanyonge na rasilimali za taifa letu,” ilieleza
sehemu ya taarifa hiyo iliyosainiwa na Mkurugenzi wa IPF, Shehe Sadik
Godigodi.
Kwa mujibu wa taarifa hiyo, viongozi wa taasisi hizo baada ya
kutafakari dhana hiyo na hatima ya Taifa, wamebaini kuwa hakuna ukweli
wowote wa jambo hilo bali ni propaganda.

Taarifa hiyo pia imewataka Watanzania kupuuza propaganda hiyo kwa kile
ilichodai kuwa haikuanzia Chadema, bali katika Chama cha Wananchi
(CUF).
Shehe Godigodi alidai kuwa CUF ilidaiwa ni ya kikabila na kidini
(Uislamu) na kuleta athari kubwa katika Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2000.

“Hali kama hiyo sasa tunaiona inajitokeza ndani ya Chadema ambacho
mwanzo kiliitwa cha kikabila kwa maana ya chama cha Wachaga.
“Lakini baada ya chama hicho kuimarika katika uchaguzi wa mwaka 2010
kama ilivyokuwa kwa CUF, kikabadilishiwa wimbo na kuwa chama cha udini
yaaniUkristo,” ilieleza taarifa hiyo.

Viongozi wa taasisi hizo katika taarifa yaohiyo wamedai kuwa udini
ndani ya Chadema haupo kwa kuwa chama hicho kama vilivyo vyama vingine
kina Waislamu, Wakristo na wasio na dini.

Waliwataka Waislamukutowabagua wenzaowalio katika chama hicho kwa kuwa
kufanya hivyo ni kinyume cha matakwa ya dini ya Kiislamu.

Chanzo: habarileo 26 Octoba 2011.

--

"If i will hide from the truth, i must be enjoying the company of
falsehood"

Mohamedi Shabani Mtoi.
Mail Bag 1849 Tanga, Tanzania.
+255 713 246 764.
 
Walikuwa wapi siku zote, Uchaguzi umekwisha ndo wanajikocha kwa Umma.
Nawasihi ndugu zanguni waislamu msiizalilishe dini yenu kwa kupewa hela za madafu.
Yawapasa kuwa makini na kusimamia ukweli siku zote kama wacha Mungu wa kweli.
 
Cuf ni CCM B angalieni na nyie msiwe CCM C, kwa mwenendo wenu mlio nao kwa sasa si mzuri sana machoni mwa watanzania.
Kama nimesema vibaya mnisamehe .
 
Ni muhimu sana vyombo vya kidini kusimamia ukweli siku zote na kuepuka kutumiwa na watawala kuendeleza agenda zao za kukandamiza vyama vya upinzani. Tangu lini vyama CUF na CHADEMA vilikuwa vya kidini au kikabila? Msajili wa vyama Siasa si angekuwa amefuta miaka sana?

Bora mmechoka kutumiwa na wenye hila.
 
Peleka upuuzi wako huko! Unawatukana viongozi wako wakiroho unadhani tutakusapoti!? Huu ni ujinga na ninakushauri uurudishe huko fb. Hapa huwa hatujadili ujinga.

mfumo unakukereketa hapo hakuna ujinga chadema na kanisa dam dam njoo sumbawanga uone makanisa yanavyowahimiza waumini kukichagua chadema na ukikaidi unafukuzwa kwenye dini
 
Acha uongo wewe.... Sumbawanga gani unayoiongelea, mbona watu tumo hapa na hatuoni hayo unayoongea.
 
mfumo unakukereketa hapo hakuna ujinga chadema na kanisa dam dam njoo sumbawanga uone makanisa yanavyowahimiza waumini kukichagua chadema na ukikaidi unafukuzwa kwenye dini

Wewe kilaza hao wamechoshwa na unyonyaji wa magamba,unataka waendelee kuipigia debe ccm wezi wa rasilimali zetu?hebu tutolee utumbo wako hapa.
 
TAASISI ya Kiislamu ya Islamic Peace Foundation (IPF) kwa kushirikiana na Baraza la Mikutano ya Kiislamu (BATAMIKI), zimesema Chadema si chama cha kidini.
Tamko hilo walilitoa jana kwa vyombo vya habari na kudai kuwa wamefikia uamuzi huo kutokana na dhana waliodai imeenezwa katika jamii ya Watanzania na Waislamu nchini kuwa Chadema ni chama cha kidini.
“Tunatoa mwito kwa Waislamu na Watanzania wote kwa ujumla kuipuuza dhana hii na kuwapuuza wale wanaoieneza ili tuwaunge mkono watu wote wanaotetea maslahi ya wanyonge na rasilimali za taifa letu,” ilieleza sehemu ya taarifa hiyo iliyosainiwa na Mkurugenzi wa IPF, Shehe Sadik Godigodi.
Kwa mujibu wa taarifa hiyo, viongozi wa taasisi hizo baada ya kutafakari dhana hiyo na hatima ya Taifa, wamebaini kuwa hakuna ukweli wowote wa jambo hilo bali ni propaganda.
Taarifa hiyo pia imewataka Watanzania kupuuza propaganda hiyo kwa kile ilichodai kuwa haikuanzia Chadema, bali katika Chama cha Wananchi (CUF).
Shehe Godigodi alidai kuwa CUF ilidaiwa ni ya kikabila na kidini (Uislamu) na kuleta athari kubwa katika Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2000.
“Hali kama hiyo sasa tunaiona inajitokeza ndani ya Chadema ambacho mwanzo kiliitwa cha kikabila kwa maana ya chama cha Wachaga.
“Lakini baada ya chama hicho kuimarika katika uchaguzi wa mwaka 2010 kama ilivyokuwa kwa CUF, kikabadilishiwa wimbo na kuwa chama cha udini yaani Ukristo,” ilieleza taarifa hiyo.
Viongozi wa taasisi hizo katika taarifa yao hiyo wamedai kuwa udini ndani ya Chadema haupo kwa kuwa chama hicho kama vilivyo vyama vingine kina Waislamu, Wakristo na wasio na dini.
Waliwataka Waislamu kutowabagua wenzao walio katika chama hicho kwa kuwa kufanya hivyo ni kinyume cha matakwa ya dini ya Kiislamu.
Si dhani kama hilo tamko linatuhusu sisi wengine. Aibu yao.
 
Back
Top Bottom