Taasisi ya kuzuia na kupambana na rushwa iliyoundwa na Ben Mkapa rasmi imeshajifia. Rushwa sasa haimshitui mtoaji wala mpokeaji

Wakusoma 12

JF-Expert Member
Joined
Jul 3, 2017
Posts
5,149
Reaction score
14,488
Hiki ndicho kilichopo kwa sasa TAKUKURU haina meno yake, zamani maofisa wa serikali na sekta binafsi walikuwa wakisikia TAKUKURU inawafuatilia walikuwa wanaingia ubaridi lakini kwa sasa mambo ni tofauti.

Kinara wa rushwa ni Taasisi za umma ili kuziba madhaifu yao.

Yaani TAKUKURU imekufa na huenda taasisi tanzu kama Financial intelligence unity zikawa hazina nguvu maana misingi ya utakatishaji fedha ipo kwenye rushwa.
 
Kuleni kulingana na urefu wa kamba zenu

Sasa hapo unategemea nini? 😡😡😡
 
Hiki ndicho kilichopo kwa sasa TAKUKURU haina meno yake, zamani maofisa wa serikali na sekta binafsi walikuwa wakisikia TAKUKURU inawafuatilia walikuwa wanaingia ubaridi lakini kwa sasa mambo ni tofauti.

Kinara wa rushwa ni Taasisi za umma ili kuziba madhaifu yao.

Yaani TAKUKURU imekufa na huenda taasisi tanzu kama Financial intelligence unity zikawa hazina nguvu maana misingi ya utakatishaji fedha ipo kwenye rushwa.
They are useless
 
Kabla ya TAKUKURU tulikuwa na TAKURU ikiyokuwepo miaka nenda. Kipindi cha JK jina likabadilika na meno kidogo.

Lini Mkapa kaianzisha!
Mkuu ni kweli Mkapa siyo mwanzilishi ila maudhui ya uzi yabaki yalivyo
 
TAKUKURU ipo lakini sio kwa viongozi wa kitaifa,wanasiasa na watendaji wa ngazi za juu..ipo kwa ajili ya watendaji wa vijiji, wahasibu wa halmashauri na wakata..wao wanasingizia et rushwa inaanzia chini..upuuzi mtupu...
 
Hiki ndicho kilichopo kwa sasa TAKUKURU haina meno yake, zamani maofisa wa serikali na sekta binafsi walikuwa wakisikia TAKUKURU inawafuatilia walikuwa wanaingia ubaridi lakini kwa sasa mambo ni tofauti.

Kinara wa rushwa ni Taasisi za umma ili kuziba madhaifu yao.

Yaani TAKUKURU imekufa na huenda taasisi tanzu kama Financial intelligence unity zikawa hazina nguvu maana misingi ya utakatishaji fedha ipo kwenye rushwa.
Kipi ambacho kipo chini ya OR/PO walau kinafanya kazi kwa 60%!!!!!?????
 
Hiki ndicho kilichopo kwa sasa TAKUKURU haina meno yake, zamani maofisa wa serikali na sekta binafsi walikuwa wakisikia TAKUKURU inawafuatilia walikuwa wanaingia ubaridi lakini kwa sasa mambo ni tofauti.

Kinara wa rushwa ni Taasisi za umma ili kuziba madhaifu yao.

Yaani TAKUKURU imekufa na huenda taasisi tanzu kama Financial intelligence unity zikawa hazina nguvu maana misingi ya utakatishaji fedha ipo kwenye rushwa.
Hii huwa inapambana na watu wa hali za chini pekee, mapapa ya rushwa hawayagusi
 
Hiki ndicho kilichopo kwa sasa TAKUKURU haina meno yake, zamani maofisa wa serikali na sekta binafsi walikuwa wakisikia TAKUKURU inawafuatilia walikuwa wanaingia ubaridi lakini kwa sasa mambo ni tofauti.

Kinara wa rushwa ni Taasisi za umma ili kuziba madhaifu yao.

Yaani TAKUKURU imekufa na huenda taasisi tanzu kama Financial intelligence unity zikawa hazina nguvu maana misingi ya utakatishaji fedha ipo kwenye rushwa.
Uwe Chadema wanuse harufu ndio utajua ipo au haipo
 
Hiki ndicho kilichopo kwa sasa TAKUKURU haina meno yake, zamani maofisa wa serikali na sekta binafsi walikuwa wakisikia TAKUKURU inawafuatilia walikuwa wanaingia ubaridi lakini kwa sasa mambo ni tofauti.

Kinara wa rushwa ni Taasisi za umma ili kuziba madhaifu yao.

Yaani TAKUKURU imekufa na huenda taasisi tanzu kama Financial intelligence unity zikawa hazina nguvu maana misingi ya utakatishaji fedha ipo kwenye rushwa.
TAKUKURU ni sikio la kufa. Hii ni taasisi moja ambayo haina FAIDA kwa Taifa letu. Nchi inaweza ku survive kwa kuwa na Polisi tu bila TAKUKURU na tusiathirike

Ila hatuwezi kama nchi tuka survive japo siku moja bila POLISI. Soma pia hapa
 
Hiki ndicho kilichopo kwa sasa TAKUKURU haina meno yake, zamani maofisa wa serikali na sekta binafsi walikuwa wakisikia TAKUKURU inawafuatilia walikuwa wanaingia ubaridi lakini kwa sasa mambo ni tofauti.

Kinara wa rushwa ni Taasisi za umma ili kuziba madhaifu yao.

Yaani TAKUKURU imekufa na huenda taasisi tanzu kama Financial intelligence unity zikawa hazina nguvu maana misingi ya utakatishaji fedha ipo kwenye rushwa.
Wenyewe wanadai mlungula Kwa washtakiwa.
 
Back
Top Bottom