Wewe kama hujui au ulizaliwa karibuni nyamaza Mkapa ndio rais bora kabisa aliyepaisha uchumi wa hii nchiWewe na iyo sexless yako unakumbuka nini kwa mkapa kuzidi Magufuli,Rais atawala miaka sita ila kawaiku wote waliotawala kumi kumi
1. Hajakopa deni la taifa lilipungua ukilinganisha alipo Ingia na alipo toka hivyo alilipa badala yakukopa
2. Kabineti yake ijae watu weredi kabisa ambao wali-set regulatory zote unazoziona, TRA, ewura, takukuru, Tcra etc
3. Wanafunzi walifwatwa vyuo vikuu kufanyiwa interviewed kabla hata kufanya university exam hii ina maana ajira ilikuwa bwerere
4. Ndiyo kipidi ambacho hata Bima ya afya ilianzishwa
Kikwete alikuta njia nyeupe Nate hakuivuruga