Taasisi ya Benjamin William Mkapa imeandaa mdahalo kuhusu Maisha ya Rais Mkapa

Babati

JF-Expert Member
Aug 7, 2014
49,061
2,000
Alikuwa fisadi sana. Aliuza nchi kwa bei chee. Yeye mwenyewe akanunua mali za umma kwa pesa ya mboga. Na akafanya ufisadi wa kustaajabisha kwa kuuza nyumba za serikali. Na hakukuza uchumi wowote.
Kina mtu na mapungufu yake
 

damper

JF-Expert Member
Feb 27, 2011
659
1,000
ni kweli kawapiku.
aliwapiku kwenye idadi kubwa ya watu waliopotea na kuuwawa katika mazingira tatanishi.

aliwapiku kwa kufungia vyombo habari vilivyokuwa vinaandika habari za kumkosoa.

aliwapiku kwenye kuwanyanyasa viongozi wa vyama vya upinzani na kuwafungulia kesi za zisizo na kichwa wala miguu.

aliwapiku kwa kuunda task force iliyojikita katika ujangili wa kuwapora fedha baadhi ya wafanyabiashara na kuwafilisi.

aliwapiku kwenye ku-create vijana wawili makatili ambao ni makonda na sabaya.
Kama hayo aliyafanya alikuwa sawa kabisa, inawezekana ndo vilivyokuwa vikwazo vya kufika hapa tulipo leo.
 

Mwana

JF-Expert Member
Aug 6, 2010
5,382
2,000
Ni kweli kawapiku kwa.
  • kuuwa,
  • kuteka,
  • kupora fedha,
  • kuwa na faili Milembe (kama livyosema mzee Diallo),
  • kupiga watu risasi,
  • kutukana matusi hadharani,
..n.k
You can go to hell./ Hospitali, barabara, bvijiji vyote 2022 kupata umeme sasa hivi ni 2000 to havijapata umeme, Boats Nywasa, Ziwa Victore etc, Mwendo kasi kuanza kufanya kazi yalikuwa yamelala bila sababu ya kueleweka. Miezi tu mmesahau haya yote. Elimu Bure., Uchumi wa Kati Fasta- kabla ya myda ukuokadiriwa. Elimu Butre mpaka form Fiur. Huduma za afya zimeboreswah., Mengine malizia nimeshinda kytype. Kumaliza kero za wananchipoapo kwa papo. Utalii kushamori! Watanzania kujitambua na kujiamini. Na kuondokana na dhana sisi ni masikini we are not!
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom