ladyfurahia
JF-Expert Member
- May 10, 2011
- 14,758
- 9,592
Mbona kitupe cha like hakipo jamani wamekitoa au ndo kudata kwao?
huyo m.e.m.a ananisingizia tu
huyo m.e.m.a ananisingizia tu
Mbona kitupe cha like hakipo jamani wamekitoa au ndo kudata kwao?
kuna watu wamekuwa wachoyo wa kutoa likes kwa hiyo kuna utaratibu mwingine utatumika hizo ni nyepesi lakini
mh! taratibu kakaaMbona unacheka tena?,unajua umenivutia sana kwa urembo ulio nao na moyo wanu unawiwa kuwa na wewe niko tayari kutangaza ndoa hata saizi endapo utaniruhusu niwe wako
Taratibu ya nini nisikuambie kama kwako nimekufa nimeoza?mh! taratibu kakaa
Yaani wameniboa basi mtuletee cha luv ili kitusaidie sis tunaotafuta wenzi bwana mtu unabofya tu kinapeleka ujumbe sehemu husikahizo nyepesi umezipata wapi nawe bestito jamani au wewe no moderator baada ya mentor
mmh mwenzio nipo booked mieTaratibu ya nini nisikuambie kama kwako nimekufa nimeoza?
Hilo siyo tatzo unaweza ukawa booked lakini hauko confortable niruhusu nikuonyeshe maana halisi ya mapenzi kamwe hautajutammh mwenzio nipo booked mie
weeeeeee niko very very confortable, na wala cjawahi kujutaHilo siyo tatzo unaweza ukawa booked lakini hauko confortable niruhusu nikuonyeshe maana halisi ya mapenzi kamwe hautajuta
Yaani wameniboa basi mtuletee cha luv ili kitusaidie sis tunaotafuta wenzi bwana mtu unabofya tu kinapeleka ujumbe sehemu husika
Siyo uvivu kitarahisisha mambo hata mabango ya kutafuta mchumba yatapungua mtu unabofya tu kinasend ujumbeHahaha.. watu wavivu..duh!
Hahahahaaa matokeo yanategemea maandalizi mkuuMatokeo mbona hamna..au kinamna kama lile tangazo la 'muheshimiwa unakula, tena unakula mwenyewe'.
Na hayo mapendekezo yafanyiwe kazi maana cha like wamekiondoa so tunategemea mabadilikoIla kweli. Kuna mdau kapendekeza kiwekwe cha kiss..hahaha