Taarifa.

Taarifa.

Haya nambie

Ni hivii..nahitaji kuwa na ww katika maisha haya na pia nitamuomba Mola hata maisha ya baadae niendelee kuwa na wewe peke yako. Na kutokana na namna ambavyo najisikia kwako basi nataka kutangaza ndoa moja kwa moja. Will you be mine please Honey Faith? I need you.
 
Last edited by a moderator:

Mh!!!!!makubwa haya
 
Last edited by a moderator:
ahahahaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
Mbona unacheka tena?,unajua umenivutia sana kwa urembo ulio nao na moyo wanu unawiwa kuwa na wewe niko tayari kutangaza ndoa hata saizi endapo utaniruhusu niwe wako
 
Back
Top Bottom