M.E.M.A
JF-Expert Member
- Jul 27, 2013
- 1,373
- 472
Kwa muda mrefu nimekuwa kwenye relation na huyu Ladymasa. Lakini tangu nitoe post iliyokuwa inaeleza wanawake ambao majina yao yanaanza na A ni wazuri zaidi, wana akili zaidi na wanaishi muda mrefu basi uhusiano ukaingia doa.
Zikiwa zimebaki dakika 6, samahan siku 6 kufika siku ya wapendanao mimi natangaza rasmi kubwaga manyanga. Na kuanzia sasa naanza search upya. Vigezo na masharti ya jina kuanza na A kuzingatiwa. Ila pia natafuta bestman na bestwoman.
NB:
Wenye A tu wanaruhusiwa ku-apply. Na application zote zitumwe hapa hapa. Na SITAKI aliyekaguliwa na babu Asprin

Last edited by a moderator: