shansarie
JF-Expert Member
- May 25, 2013
- 5,690
- 3,373
Haujamwambia kuwa uko under control of somebody
anajua basi tu ubishi siunajua wengine wanapenda vya watu kutafuta vyao wavigharamie hataki
Haujamwambia kuwa uko under control of somebody
Eti wanasema vya watu ni vitamu sijui kweli..........??anajua basi tu ubishi siunajua wengine wanapenda vya watu kutafuta vyao wavigharamie hataki
Eti wanasema vya watu ni vitamu sijui kweli..........??
Haujawahi kula cha mtu kutibitisha huo utamu? maana wanasema et mke wa mtu ndo sumu ila mume ni mtamuntajulia wapi miye
Mbona mimi nimeshaolewa mda sana siwaelewi kabisa yaani!.
Njoo kipenzi changu nakuhaidi kulienzi penzi lako
Haaaaa mgonjwa umepona? mume wangu anakusalimia.
Karibu kwenye harusi yangu tarehe 18/2/14, lakini kadi nitaituma kesho!Mume yupi tena..? Niweekeeni zulia zuuri na laini maana nahisi kizunguzungu na sitaki kuangukia mawe
Mahari baba alishakula, karibu kwa harusi rafiki!Niambie ni lini nilete barua nyumbani kwenu?