Daudi1
JF-Expert Member
- Dec 14, 2013
- 15,838
- 26,244
Huyu atakuwa amesababisha umwage manyanga itakuwa alianza kummendea toka mwanzoHahaa mkuu umepigwa chenga ile ya mtu kujipa pasi mwenyewe. Ila speed yako ikiwa kubwa basi utaukuta mpira kabla yake..