Taarifa.

Taarifa.

Basi tengua kauli mapema si unajua valentine day imekaribia hakuna anayependa kuwa mpweke lakini ww si umesema wenye heruf A tu tena kwa msisitizo

Basi sitengui kauli. Ngoja nijitegeshe kwa Atu au Avemaria
 
Last edited by a moderator:
Usimsemee moyo. Vipi kakurithisha mikoba nini..haha..
Hapana naona bado anaing'ang'nia dunia wakati umri umemtupa na ufanisi umepungua,lakini ni mbishi huwa tunapigana vikumbo kusaka totoz
 
Hapana naona bado anaing'ang'nia dunia wakati umri umemtupa na ufanisi umepungua,lakini ni mbishi huwa tunapigana vikumbo kusaka totoz

Duh...kwa hiyo inakuwa kama nyau na wanae wanawinda.
 
kwa taarifa yako sijui kama utampata mtu humu mjengoni kwani wote waliomo humu wameshakaguliwa na bazazi Asprin SASA sijui utafanyaje na walioanzia majina ya A ni nadra sana kupatikana kwenye uongozi humu mjengoni labda wale wanaofifia kwa muda sana hapa
Mmmmmmh! mimi mbon sijakaguliwa na babu Asprin
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom