Taarifa za njaa: Waandishi wa vituo vya televisheni muonyesheni Rais hali halisi ilivyo

Salary Slip

JF-Expert Member
Apr 3, 2012
48,684
149,887
Sitaseme mengi.

Baada ya Raisi kudai hakuna njaa,nawashauri tembeleeni maeneo mbalimbali na mchukue picha za hali ya mazao mashambani,mifugo wanaodaiwa kufa na mtembelee kwenye masoko.

Katika kupita kwenu, muhoji wakulima, wafugaji,wafanyabiashara wa mazao na wanaodaiwa kuathirika na njaa.

Vikwazo vinaweza kuwa ma-DC na ma-RC ila msisahau kuwa kila kazi ina changamoto zake.

Tulipofika tunahitaji documentary/documentaries.
======

Hoja hii imetumika ktk JamiiLeo
 
Sitaseme mengi.

Baada ya Raisi kudai hakuna njaa,nawashauri tembeleeni maeneo mbalimbali na mchukue picha za hali ya mazao mashambani,mifugo wanaodaiwa kufa na mtembelee kwenye masoko.

Katika kupita kwenu, muhoji wakulima, wafugaji,wafanyabiashara wa mazao na wanaodaiwa kuathirika na njaa.

Vikwazo vinaweza kuwa ma-DC na ma-RC ila msisahau kuwa kila kazi ina changamoto zake.

Tulipofika tunahitaji documentary/documentaries
Hizi taarifa za njaa hata kama ni kweli wewe zinakunufaisha nini. Kama una hio taarifa basi chukua hatua binafsi na sio kuichukulia kisiasa kama unavyofanya. Magufuli yupo mpaka 2025 ije mvua lile jua. Tatuta eneo kalime! Hao wafugaji wakiuza Ng'ombe watano tu wanauwezo wa kuchimba kisima na kuweka solar wanapata maji mwaka mzima kunywesha mifugo
 
Tanzania ina njaa tangu enzi za mababu, tajeni ni mwaka gani ulikuwa na neema zaidi, kama Arusha mifugo inakufa kwa ukame kila mwaka sasa sijui mwaka huu nini kipya????
 
Basi Hifadhi ya Taifa ya Chakuka ifutwe.
 
Tanzania ina njaa tangu enzi za mababu, tajeni ni mwaka gani ulikuwa na neema zaidi, kama Arusha mifugo inakufa kwa ukame kila mwaka sasa sijui mwaka huu nini kipya????
Mkuu, hawa jamaa wamevurugwa. Maendeleo ya Tanzania chini ya Rais Magufuli yanawachanganha sana aiseeee
 
Hawawezi thubutu, ya cosmas makongo bado hayajawatoka kichwani, wakuu hawataki kusikia kuna njaa hata kama imesababishwa na majanga kama ukame.
 
Wewe unaesema taarifa zinamhusu nini nafikiri uwezo wako wa kufikiria ni ndogo inamaana gani kukaa kimya kutosema kuna njaa na ni kweli?hapa hatua naliombea siasa tunaangalia uhalisia nadhani kama ingekua ni wewe ndio njaa inakupiga usingesema? Uko wapi uwerevu na hekima yako?
 
Sitaseme mengi.

Baada ya Raisi kudai hakuna njaa,nawashauri tembeleeni maeneo mbalimbali na mchukue picha za hali ya mazao mashambani,mifugo wanaodaiwa kufa na mtembelee kwenye masoko.

Katika kupita kwenu, muhoji wakulima, wafugaji,wafanyabiashara wa mazao na wanaodaiwa kuathirika na njaa.

Vikwazo vinaweza kuwa ma-DC na ma-RC ila msisahau kuwa kila kazi ina changamoto zake.

Tulipofika tunahitaji documentary/documentaries
kuna tofauti kubwa kati ya ukame na njaa....
 
Tanzania ina njaa tangu enzi za mababu, tajeni ni mwaka gani ulikuwa na neema zaidi, kama Arusha mifugo inakufa kwa ukame kila mwaka sasa sijui mwaka huu nini kipya????
Kuna hali kuwa mbaya zaidi
 
Sitaseme mengi.

Baada ya Raisi kudai hakuna njaa,nawashauri tembeleeni maeneo mbalimbali na mchukue picha za hali ya mazao mashambani,mifugo wanaodaiwa kufa na mtembelee kwenye masoko.

Katika kupita kwenu, muhoji wakulima, wafugaji,wafanyabiashara wa mazao na wanaodaiwa kuathirika na njaa.

Vikwazo vinaweza kuwa ma-DC na ma-RC ila msisahau kuwa kila kazi ina changamoto zake.

Tulipofika tunahitaji documentary/documentaries
Yuko kwenye mhimili uliojikita Zaidi kuliko mihimili mingine, kituo cha luninga kitakacho tangaza njaa kitafungiwa na kunywng'anywa leseni.
 
mm nnawasomeshea watoto wenu bure,nawajengea barabara,nawaletea maji niwape na chakula?.Maneno haya kwangu ni tata! HV ni msaada au kodi zetu!?
Shangaa, labda analinganisha anavyotumia kodi kuliko walivyo zoea
 
Hizi taarifa za njaa hata kama ni kweli wewe zinakunufaisha nini. Kama una hio taarifa basi chukua hatua binafsi na sio kuichukulia kisiasa kama unavyofanya. Magufuli yupo mpaka 2025 ije mvua lile jua. Tatuta eneo kalime! Hao wafugaji wakiuza Ng'ombe watano tu wanauwezo wa kuchimba kisima na kuweka solar wanapata maji mwaka mzima kunywesha mifugo
kweli ni AKILI yako.
kwanini BINADAMU tunakua na ROHO mbaya kumzidi SHETANI?
 
  • Thanks
Reactions: ibn
Back
Top Bottom